Abby The Rider

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
444
672
Habar za Jumatatu
Kuna fursa kwa vijana wenye moyo wa utafutaji na weny uwezo wa kujituma.
Wanahitajika vijana kweny kampuni ya Zantel kwa ajili kufanya Mauzo

Sifa
Uwe na Smartphone inayofanya kazi vizuri
Uwezo wa kuongea na wateja na nguvu ya ushawishi

Vigezo
Barua ya uthibitisho kutoka serikali ya mtaa
Passport mbili
Kopi ya kitambulisho chako
Kopi ya kitambulisho mdhamini wa kwanza
Kopi ya kitambulisho mdhamini wa pili
Nb. Ambatanisha namba za simu za wadhamini kweny hizo kopi.

Usafiri upo wa kuanzia ofisini kupeleka vijana mauzo na kuwarudisha. Office zipo Dar es salaam, Mikocheni.
Karibuni wote tulijenge taifa.

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane

0776938796
0656913696
 
Yaan smartphone yangu halafu nije na barua ya mdhamini wakati Ni kitendo cha kuingiza link tu
 
Mnawaumiza sana vijana, ww unahic mtu akitaka laini, atawasubiri nyinyi, ukimshawishi mtu akinunua laini bs ujue hyo itakua nia laini ya tatu, so ataenda kuiweka kwenye droo tu
 
Kazi za kitoto hizo; unamiliki smart phone alafu huna hata kuku 10 wa kienyeji?
 
Kauli hizi ni za motivation speakers. Zimejaa nadharia usana.

Tatizo watu wamekalia sana nadharia kuliko uhalisia.
Hii ni kazi kama kazi nyingine. Kuna vijana wamefanikiwa vizur hadi kufikia hatua ya kujenga nyumba ya kwake kwa kazi hii,
Hii kazi ukiifanya kwa ufanisi na moyo wa kujituma pesa utakayopata haina tofaut na take-away ya mwalim anaeanza kazi au hata Mara tatu yake zaidi.
Tuache theory kupata pesa kirahisi tujikite kweny kazi tulijenge taiga
Kuna vijana weng tu sas hiv tunaendesha maisha kupitia ufreelancer.
Tuache lugha kukatishana tamaa
 
lajin co kwa zantel mkuu mm niepiga kazi hapo miaka 4 wanazngua kwenye kutoa kamishen hao nuksi tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom