Je, Mfanyakazi akiumwa mwenzi mzima mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?

Jmwasele

Member
Dec 28, 2015
78
20
Habari zenu wakuu. Nilikuwa nauliza kama mfanyakazi wa tanesco akiwa anaumwa mwezi mzima kiasi cha kushindwa kufanya kazi na huku akiwa na ruhusa ya ofisi, je mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?
 
Mkuu nenda kwa afisa utumishi wa tanesco wa eneo la kazi la huyo mfanyakazi akakusaidie kukujibu swali lako,hapa sidhani kama ni mahali sahihi kwa swali lako,utaambulia kejeli tu..
 
Mkuu nenda kwa afisa utumishi wa tanesco wa eneo la kazi la huyo mfanyakazi akakusaidie kukujibu swali lako,hapa sidhani kama ni mahali sahihi kwa swali lako,utaambulia kejeli tu..

Asante mkuu
 
Back
Top Bottom