kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Iheshimu sehemu yako ya kazi

    Kuna watu tuna idharau sana sehemu tunazo fanyia kazi Sehemu unayo fanyia kazi watu hawataki kujua maisha yako kabisa punguza story nyingi na watu kuna baadhi akifa kazini ana anza kuhadithia yaliyo tokea jana kwake yaan ana kusanya watu na kuhadhia hii mbaya sana Epuka madeni una weza ika...
  2. JamiiForums Tanzania Kazini kwa mwandambo kuna kazi ah ahaha aitwa inbox na binti

    Kizazi cha 2000 siyo weka mbali
  3. JamiiForums Tanzania Nashiriki kazi zangu: Handmade home decor nilizotengeneza mwenyewe

    Habari wana jamii Ninashiriki nanyi handmade home decorations ninazotengeneza mwenyewe, kazi zinazochanganya art, light na modern interior design. Kila piece ni unique, imetengenezwa kwa umakini na passion, ikiwa na lengo la kuleta comfort, elegance na identity ndani ya nyumba au ofisi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Taasisi za Serikali ambazo ni Autonomous hazitoi nafasi za kazi..?

    Baada ya kufuatilia vizuri nimegundua kuwa taasisi za Serikali ambazo zinaweza kujiendesha zenyewe bila kutegemea bajeti za Serikali (Autonomous Institutions) Huwa hazitoagi ajira ama mpya au kuhamia. Hivi hizi Taasisi huwa zina-replace vipi watumishi wanaostaafu au changamoto zingine...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Askari afukuzwa kazi kwa kuikosoa serikali

    Askari magereza wa nchini Uganda aliyetambulika kwa jina la Lawrence Ampe amefukuzwa kazi baada ya kuikosoa serikali kupitia mtandao wa TikTok, huku mamlaka zikisema alichokifanya ni utovu mkubwa wa nidhamu na kuongeza kuwa Kanuni za kazi haziruhusu mtumishi wa umma kushiriki siasa. Lawrence...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Anahitaji kazi

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Nipo kumsaidia mtu mzuri na mwenye bidii kutafuta nafasi ya kazi ya Ugavi (Procurement/Supply Chain). Iptysam Salum ni mtaalamu aliye tayari kujifunza, kufanya kazi kwa uaminifu na kuongeza thamani popote atakapopata nafasi. Kama una taarifa, nafasi au unajua...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu bado natafuta kazi, na maelezo yangu ni hayo kwenye tangazo hapo chini

    Natafuta kazi na qualifications zangu zipo hapo kwenye picha ya Tangazo.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwa kiwango gani Maafisa Kazi wa Mikoa wanatimiza wajibu?

    Kukosekana kwa Ufuatiliaji Madhubuti* Maafisa kazi wengi hawatembelei maeneo ya kazi kwa ukaguzi wa mara kwa mara, hali inayowapa waajiri mwanya wa kuendelea kukiuka haki za wafanyakazi. Ukimya wa Maafisa Kazi Wakati wa Migogoro* Kumekuwa na kesi nyingi ambapo wafanyakazi wanatendewa...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, ni Wasanii wana jukumu la kuikosoa serikali pale inapokosea? Twende kazi

    Hamjambo wote! 1. Kumekuwa na vuguvugu mitandaoni la kuwapiga Pin Wasanii kwa sababu mbalimbali. 2. Nitaeleza sababu halisi bila kuficha kama ifuatavyo; a) Wasanii kutokemea maovu yanayohusishwa na Dola. Hii ndio sababu kuu. Ambayo wananchi wanaona Wasanii hawapo upande wao isipokuwa upande wa...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Rafiki anahitaji kazi. Amesomea udaktari na pia yupo vizuri katika masuala fedha

    Habari zenu nina rafiki yangu ambaye kwa sasa anahitaji kazi kwa namna yeyote Amesomea udaktari na pia yupo vizuri katika masuala fedha, ugavi na uhasibu yupo vizuri Sana (si mtaalmu sana eneo hili mnisamehe) Kwa Sasa anapitia changamoto za kifamilia na ni nzito, njia pekee ni yeye kujiokoa...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwandambo: PM unasema akina Diamond walikuwa kwenye ajira ya kutumbuiza CCM, kwa nini akina Roma na Nay wa Mitego wakiimba CHADEMA wanafungiwa?

    Clemence Mwandambo amemuhoji Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu hoja yake aliyoitoa akieleza kuwa wasanii wanapokuwa katika majukwaa ya CCM ni miongoni mwa sehemu ya kazi zao. Mwandambo amehoji je kwanini wasanii kama Roma na Nay wa Mitego wakiimbia Upinzani wanazuiliwa na BASATA ingali na wao...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za kwenye idara ya procurement, lakini pia nina ujuzi kwenye ulimwengu wa social media na naongea kiingereza vizuri

    Habari wakuu Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie. Sifa zangu Jinsia: Me Umri: 28 Eneo: Dar es salaam Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management Naonngea kiingereza vizuri sana Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
  13. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa JWTZ wapewe kazi za kufanya usafi wa mitaa

    Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma. Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Gen Z subirini tufe kwanza ndo muiwashe Tanzania moto, tusikubali kudanganywa na mabeberu, vijana fanyeni kazi

    Wakuu, Huyu Mzee anawasha moto kwa Gen Z, hii kauli ya kusema tunashawishiwa na mabeberu wanaikamia sana Hivi ni kweli vijana hatujui tunataka nini? Nani alisema tunataka kuiwasha moto Tanzania na si kuijenga kutoka kwa mafedhuli tena wazawa wa nchi hii Kama ni kazi tunafanya na ndo hii ya...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi Nyerere alivyofanyiwa hila hadi kuacha kazi ya ualimu

    Kitabu Uamuzi wa busara kinazungumzia maamuzi mbalimbali magumu yaliyofanywa na Mwalimu JK Nyerere na TANU. Kuanzia Mwalimi kujiuzulu kazi ya ualimu, TANU kuamua kutosusia uchaguzi, Mwalimu kujiuzulu ubunge, Mwalimu kujiuzulu Uwaziri Mkuu, Muungano, Azimio la Arusha. Kinapatikana ndani ya app ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Samia na wakubwa wa Jeshi Tanga ni kikao kazi au?

    Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi. Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
  17. JamiiForums Tanzania Watu, hasa waandishi wa habari huwa wanachanganya maneno 'muhanga' na 'mwathirika'. Twende kazi!

    1. Muhanga. Huyu ni mtu aliyejitoa/aliyetolewa sadaka au aliyepitia mateso kwa Kwa ajili ya jambo fulani lenye thamani kama imani, taifa n.k. Mfano, alikuwa 'muhanga' wa vita kwa kuwa alikuwa mstari wa mbele kwenye mapambano. 2. Mwathirika. Huyu ni mtu aliyepata madhara, maumivu au hasara...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania tufanye kazi miaka 20-40 si miaka ya kuishi kwa wazazi au kulelewa na mtu Fulani

    Huu ni msimu wa kilimo kwenye maeneo mengi ya mikoa ya Tanzania, hebu ndugu zangu watanzania tutafute maeneo tulime, Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassani anagawa mbolea za ruzuku za kutosha huku mikoani. Miaka 20 - 40 si miaka ya kuishi kwa kumtegemea mtu, au kuishi kwa kubet au kuishi kwa kulelewa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Vipi huko chawa, mnakunywa amani?

    Nyie Vyawa, mnakunywa amani? Kuoga je? Kwanza hamuogi nyie maana ni wachafu wa mwili mpaka akili. Watu wanaandamana mpate haki za kupata huduma bora bila kukosekana huduma na uwajibikaji pale mambo kama haya yanapotokea. Ila sababu mna vichwa tupu mnawaona wanaharibu amani nyie mnataka amani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la kazi/ kibarua

    Salaam za heshima, Natumaini ujumbe huu unawafikia mkiwa salama. Mimi ni kijana wa kiume, mwenye umri wa miaka 26, ninaishi Mbagara Kuu. Elimu yangu ni kidato cha nne. Naomba kazi au kibarua chochote halali kinachopatikana, kama vile: Kuuza dukani Uwinga Kufanya usafi kwenye ofisi au maeneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…