kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani na mnajua kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center

    Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini. Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO). Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani, ikizingatiwa sehemu hiyo kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center kinachotoa Huduma za...
  2. JamiiForums Tanzania BASATA: Mwisho wa Ma-DJ, na MC kufanya kazi bila kujisajili ni Januari 31, 2026

    TAARIFA KWA UMMA WAONGOZA SHEREHE, BURUDANI NA MATUKIO (MC), MANJU MUZIKI (DJ) NCHINI WATAKIWA KUJISAJILI NA KUWA NA KIBALI HAI CHA BASATA IFIKAPO TAREHE 31 JANUARI, 2026. 29 Disemba, 2025 Baraza la Sanaa la Taifa kupitia kanuni ya 18.- kifungu (1) (a) na (b) ni msajili mkuu na mtoa vibali...
  3. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Serikali haitavumilia watendaji wasio wajibika wanaofanya kazi kwa mazoea au ujanjaujanja

  4. JamiiForums Tanzania Wanaume weupe hii ndio kazi yetu tu

    Hapo vip! Wanaume weupe tunaweka mbegu tu,alafu tunaendelea na kutafuta pesa na kubadisha dunia kuwa sehemu nzuri,ndio maana tumeleta technology,magari,umeme,computer,ndege n.k hapa hamna mwanaume mweusi anaweza kufanya haya, ndio maana hatupendi kugandana na wanawake kama hawa jamaa weusi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mna kazi sana mtafika mmechoka

    Hapo ni nyie ndo mnapajua yani ni heka heka kila siku 😂 hiyo yote kuwavuta kwenye chambo, Kuna mwingine ana mafuta ya nazi yani ni balaa😂 jua kwenu ni Kali sana
  6. JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi 100k kwa mwezi. Kazi unafanyia popote

    Nafasi za kazi huria Kazi ni digital services Mshahara -100k kwa mwezi Uwe na simu Uwe mkoa wowote Mkataba upo Uwe una uzoefu wa kuongea na watu (Communication skills) Ushawishi muhimu Wanaotaka ni PM AU ANDIKA NO YAKO NITAKUPIGIA CONTACT: zelemelohiym@gmail.com
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nimetathimini Kazi Nzuri alizofanya Rais Hussein Mwinyi Ndani ya Zanzibar, kiukweli kabisa ashukuriwe

    Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko. Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya kuwa watu wemewekeza nguvu, akili, muda, pesa na uhuru wao pia. Ndani ya miaka mitano ya utawala wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Kwa wenye uhitaji wa kazi ya construction helper Abudhabi na una Agent fee ya $1000. Kazi zipo za kutosha sana,Baada ya kufanyiwa medical checkup,work visa inatoka baada ya wiki moja na ndio utafanya initial payment ya $500 baada ya hapo utasubiri flight ticket na ikitoka utamalizia $500 na...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TRA: Makampuni Yenye Madeni Makubwa ya Kodi Yasiyofanya Kazi – Je, Kuna Njia Bora ya Kuyarejesha Kwenye Mfumo Rasmi?

    Ningependa kutoa ushauri wangu kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu changamoto ya makampuni na biashara zenye madeni makubwa ya kodi lakini ambazo kwa sasa hazifanyi kazi au zimekwama kabisa. Kwa uhalisia, biashara nyingi hazikufa kwa makusudi ya kukwepa kodi, bali kutokana na mazingira...
  10. JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi -Dental therapist

    Habari wana jamii 🙏. Natafuta kazi ya Dental Therapist. Nimemaliza masomo yangu Agosti 2025 na kwa sasa nipo Iringa, lakini niko tayari kufanya kazi popote. 📞0653711756
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi na ujuzi kwenye maswala ya kodi

    Kwa elimu nina Bachelor degree of science in taxation kutoka chuo cha usimamizi wa fedha IFM darasa la 2025 nipo na ujuzi kwenye maswala ya kodi sehemu tofauti tofauti hivyo naomba kazi au kibarua Namba yangu ya simu ni 0778190736
  12. JamiiForums Tanzania Naomba Nafasi ya internship.

    Habari viongozi, nimesoma Accounting with IT nimemaliza mwaka jana, nlikua natafuta sehemu nayoweza kufanya internship kusharpen skills. Kama kuna nafasi sehemu tupeane Deals
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kuanza safari yangu ya kuwa Data analyst unanishauri nini katika safari yangu?

    Habari zenu Mabro Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali?

    Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali? Udalali ni nini Dalali ni mtu anayeuza kitu kwa niaba ya mwingine na kisha kuchukua asilimia fulani ya faida ya kile kilichouzwa. Dalali pia anaweza kuwa mtu mwenye kutafuta soko la bidhaa ya mtu mwingine na kisha kuchukua asilimia ya faida inayopatikana...
  15. JamiiForums Tanzania 2026 Natafuta kazi bado sijapata wakuu

    Nipo Arusha, Naombeni connection yeyote tafadhali 🙏🏽
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Hello members Naomba kushare nafasi mbalimbali za kazi ninazokutana nazo huko mitandaoni, sihusiki directly ila naona wahitaji ni wengi na mnaoniulizia ni wengi pia. I hope hii itawasaidia wahitaji. Best Regards, Seran🖤
  17. JamiiForums Tanzania Msichana anaomba kazi yoyote halali

    Habar wapendwa Kuna huyu dada angu ana miaka 25 Elimu kidato cha one Amesomea utalii ngazi ya certificate Anaomba muamsaidie kazi yoyote halali ambayo anaweza kujiingizia kipato Anapatikana moshi kilimanjaro Anaweza kufanya kazi mahali popote yupo tayar Mawasiliano+255760119470
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Aliyeharibu asihamishwe afukuzwe kazi, hizi ni fedha za watanzania wanajibana

    "Inawezekana watu wanakuwa na ujasisri namna hiyo kwa sababu wanajua watukuwa protected mnawezaje kuwa na ujasiri wa kupindisha uamuzi kwa kiwango hicho. Nimeambiwa hawa watu wako kazini mpaka sasa kwaiyo yanakuja maneno hayo hayo kwmaba ni maneno ya wanasiasa. Sasa naelekeza hawa wasimamishwe...
  19. JamiiForums Tanzania Maeneo makuu ya kazi ya usalama wa taifa

    Kazi kuu ya usalama wa taifa ni kukusanya na kuchambua habari za kiusalama Kuna maeneo makuu manne ambayo yanafanywa usalama wa taifa 1. Ujasusi Inahusu ukusanyaji wa taarifa za kiusalama nje ya nchi hususani nchi adui. Usalama wa taifa huwa wanatumwa kimkakati kwenda nchi fulani ambayo hua...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Masasi – Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi tangu Awamu ya 5

    Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi kipindi cha Serikali ya Awamu ya 5 kutokana na suala la vigezo vya elimu. Tumefanya jitihada kuwasiliana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya WhatsApp lakini hajajibu badala yake amedai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…