kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Anahitajika mfanyakazi wa kazi za nyumbani

    Anahitajika msichana wa kazi kutoka sehemu yoyote ndani ya Tanzania. SIFA: umri kati ya miaka 18- 25 Mshahara: 70,000 (elimu ya darasa la saba kushuka chini) au 100,000 (elimu ya o'level) Eneo la kazi: Tanga mjini Awe tayari kuhama mkoa ikiwa muajiri atahamia mkoa mwengine. Malazi na...
  2. JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anapokea taarifa ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa leo tarehe...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya PC Maintanance and Networking

    Habari wapendwa I hope ni wazima wa afya, naitwa Kelvin Dickson natokea Dar es Saalam natafuta kazi ya PC maintanance and Networking ambapo nimefanikiwa kupata certificate veta kipawa naweza fanya kazi zifuatazo kama: Windows installation Computer Repair and Maintainance Network Installation...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta internship au kazi pale nitakapo maliza Diploma 2 in computer science. Au constructive criticism

    Habari, mimi ni mwanafunzi IFM mwaka wa pili dip in CS(nilianza certificate). Namaliza masomo mwezi wa 7. Natafuta internship, kazi au hata ushauri wa portfolio na skills. Nina skills za Html, css, JavaScript. JAVA (na oop), Oracle Sql, kotlin (na oop), adobe illustrator na blender 3D. Android...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba nisipoenda kuyasafisha makaburi ya wazazi na mababu nitapata laana au mikosi kwenye kazi zangu?

    Habari za muda huu! Kufuatia uzi wa tycoon wa fasihi ndugu ROBERT HERIEL alioeleza sababu za watu wengine kuishi umri mrefu na wengine umri mfupi, kuna nukta alieleza kwamba tunapaswa kuwaheshimu wazazi hata kama mameshakufa! Na akaeleza kwamba tutawaheshimu kwa kutembelea makazi yao(...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina bachelor degree in information technology"

    Habari wanajukwaa naamini humu kuna watu wa aina Tofauti Tofauti na wengine wamepata kazi zao kupitia hili jukwaa. Hivyo nakuja mbele yenu kuomba Nafasi au Connection itakayonisaidia Kuweza kupata Ajira ... Elimu yangu NI BACHELOR DEGREE IN INFORMATION TECHNOLOGY. nimespecialize kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mzee Sadalla Juma aliyembaka msichana wa kazi Zanzibar, itasomwa Jumatatu 21 Machi 2022

    HUKUMU YA MZEE SADALLA JUMA SADALLA (74) ALIYEMBAKA MSICHANA WA KAZI ZANZIBAR,ITASOMWA SIKU YA JUMATATU 21 MACHI 2022 KATIKA MAHAKAMA UA VUGA,UNGUJA. Mzee Sadalla Juma Sadalla (74)mkazi wa Bububu,Unguja anayeshitakiwa kwa kosa la kumbaka mshichana wake kazi (jina limeifadhiwa) atarajiwa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri wadau

    Wakuu, Leo ni Ijumaa? Kama kawa nimetoka..nipo na Pic kali nakumbukia ujana. Kama kawaida yangu napiga bia zangu za buku sh tano...ila pic I napiga savana. Pic ishakunywa kama savana 4 afu tushapata mbuz choma yaani mambo ni fresh...ila muda huu kuna savana mbili zimekuja mezani..sijajua...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi anahitajika Fundi (Security Services Technician Trainee)

    Natafuta kijana aliye tayari kufanya kazi ya ufundi , Elimu kuanzia kidato cha nne, tutamfundisha namna ya kufanya kazi vizuri, awe mkazi wa Dar maeneo ya karibu na Kinondoni Studio, umri kuanzia miaka 18-24. Awe mchapakazi , anayejituma, anayependa kujifunza, uelewa wa haraka , mwaminifu na...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafue adaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa kazi ya muda ya Postkodi Tsh. 15,000 kwa siku mkataba wa siku 15

    Mbunge wa CCM Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro, Mh. Saashisha Mafue anadaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa ajira ya muda ya Postikodi Tsh 15,000 kwa siku badala ya Tsh 30,000 kwa siku kama ilivyopangwa nss as Serikali ya Rais Samia. Pili, Mbunge huyo anadaiwa amewaambia vijana hao kuwa ajira...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Naitwa Clemence Joseph Njelekela, natafuta kazi ya udereva kampuni au binafsi. Nina leseni daraja C1 C2 C3 D E Namba 0769769587
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi (part time job)

    Mimi ni binti wa miaka 22 natafuta kazi part time job, ambayo nitaifanya baada ya kumaliza vipindi vyangu vya chuo na ambayo nitaifanya weekend, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na chuo changu Kiko dar es salaam posta. Tafadhali wanajamiiforums nisaidieni
  13. JamiiForums Tanzania Natufuta kazi (duka la dawa/ phamacy) Mbeya, Dodoma, Iringa na Singida

    Mimi nikijana wa miaka 23 nimesoma community health pia nimesoma addo dispensing Nina uzoefu wa kazi kwenye kuuza duka la dawa pia napiga kazi kweli Kwa sasa naitaji kazi mazingira hayo hapo tajwa. kama mtu ana connection ya kazi hayo maeneo naomba msaada tafazari ndugu zangu
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini demokrasia ya watu ‘ya mchakato mzima’ ya China inafanya kazi?

    Ni jambo lisilopingika kwamba demokrasia ni thamani inayotafutwa na binadamu wote bila kujali tofauti za tamaduni na mipaka ya nchi, na haiwezi kukiukwa. Lakini kwa sababu za kihistoria, haki ya kutafsiri na kueleza demokrasia imekuwa mikononi mwa nchi za magharibi, ambazo zinaona kuwa ni haki...
  15. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Nehemia Mchechu: Tunamchekea Rais Samia, lakini hapa ameonyesha udhaifu mkubwa

    Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika. Yawezekana kweli walionewa, lakini iweje Rais wa nchi awarudishe kwenye nafasi zile zile bila maelezo kwa wananchi? Hii haina maana...
  16. JamiiForums Tanzania Yu wapi mwanahabari Ufo Saro aliyepata kufanya kazi ITV?

    Kuna wakati huyu dada alikuwa maarufu sana kwenye tasnia ya Habari Tanzania. Sijui kwa kipindi hiki cha "hapa kazi tu" anafanya hiyo kazi kwenye chombo gani cha habari.
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujuzwa ujenzi wa meli mpya "Hapa Kazi Tu" umefikia wapi na mwisho wa mkataba ni lini?

    Mama na serikali yako mnaulizwa na watanzania juu ya ule ujenzi wa meli mpya "MV Mwanza" Hapa kazi tu iliyokuwa ikijengwa pale Mwanza ni nini kinaendelea kwa sahivi. Ile meli ilitakiwa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, ni meli ya safari kati ya Mwanza, Bukoba na Entebbe. Tunajua ujenzi...
  18. JamiiForums Tanzania NACTE Ffanyeni kazi kisasa

    Mwezi wa Pili 2022 Mm na Jamaa Tulilipia Malipo ya Huduma ya Transcript kwenda NACTE ila mpaka sasa kimya. Tumejitahidi kuwapigia kupitia Namba zao Ambazo Zinapatikana ktk tovuti yao Cha Ajabu Majibu Wanajibu Kwa Dharahu Mara Sihusiki. Sasa najiuliza hizo namba kwenye tovuti yenu zipo kwa kazi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Proffessionally mimi ni mwalimu, masomo ninayofundisha ni Kiswahili na Historia. Nilibahatika kuajiriwa serikalini mwaka 2013. Kutokana na matatizo ya kifamilia nilikazimika kuacha kazi 2019, matatizo yamekuwa yakiniandama bila suluhisho na nimejaribu kutafuta ajira sehemu mbali mbali bila...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimehitimu Diploma ya Utawala

    Habari za humu wana JamiiForum, Naitwa David (23), mkazi wa Arusha kwasasa Dar es salaam, kimara Nimhitimu wa diploma kwenye biashara na utawala. Dhumuni la kuandaa post hii kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu nahitaji kazi yoyote halali (kuuza duka la nguo, vyombo, vifaa vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…