kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya upishi

    Habari wakuu, Polen sana na majukumu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tafuta kazi ya upishi. Mimi ni mpishi mzuri sana wa bites na chakula.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi wapendwa

    Naomba kazi yoyote itakayo niweka mjini wakati nikihangaikia mambo yangu ya kuwa employed kulingana na professional yangu. Niko dar es salaam, 0767908931 namba yangu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi

    Naitwa godfrey Nimesomea IT level ya degree nina uzoefu wa kufundisha chuo miaka miwili certificate na diploma...naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote
  4. JamiiForums Tanzania Nina leseni Class E, natafuta kazi ya udereva wa IT

    Habari wana jamii, Poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa jina naitwa kelvin nina umri wa miaka 25 naishi mbeya sae-Tanesco Natafuta kazi ya udereva katika campany yoyote inayojishughulisha na udereva wa IT nina lesen ya class E nimesoma mafunzo ya udereva VETA na pia ninaujuzi wa ufundi...
  5. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

    Habari Zenu Wakuu. Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi. Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY...
  6. JamiiForums Tanzania Eti tunamchanganya Mungu

    Eti tunamchanganya Mungu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mchezo mchafu sana, waachwe wanaoujua Waucheze

    Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :- 1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe -kesi, Lissu, Sabaya yanatengenezwa kwa Faida ya mtu mwingine (si ajabu kusikia Lissu alipigwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Nawezaje kumfanya paka niliemfanya anizoee asinizoee, Napata shida ya kuhisiwa mimi ni mshirikina sehemu ya kazi

    Napenda sana wanyama, kwangu ni viumbe wenzetu tulioumbwa nao pamoja isipokuwa sisi tulipewa upendeleo mkubwa wa kuwa na akili na kupewa mamlaka juu yao. Hata nyumbani kwangu nawajali sana wanyama, hata kuku nikimleta kwajili ya kitoweo basi haki yake ya mchele, maji na banda safi ataipata. Ipo...
  9. JamiiForums Tanzania Bwana Bonge alichanganywa na uchungu wa kuuguza mke na mapenzi ya mama wa kazi

    Bwana Bonge ni mmoja wa matajari wa nchi ya Kusadikika, alimuoa classmate wake ambae alijaliwa kupata nae watoto wanne. Wakike mmoja na wanaume watatu. Watoto wote walishakua na miji yao na wengine waliishi nchi za mbali. Mrs Bonge aligundulika na saratani ya ziwa akiwa na miaka 40, wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Kuchange jina la kozi ili uombe kazi Ajita portal

    Wakuu Salam, Kuna kazi hapa nataka kuomba na Nina vigezo lakini Kama manavyojua huu mfumo wa utumishi ulivyo na shida, umenikatalia. Sasa nataka ni-edit jina la kozi niliyosoma ili tu niweze kuomba kazi hii. Mfano katika nafasi ya kazi ya warden, Moja ya qualification waliyoitaka ni Bachelor...
  11. S

    JamiiForums Tanzania RPC Shinyanga anafanya kazi kwa weledi

    Leo nimeona taarifa ya Habari Itv afande ameyakamata na kuyapiga faini mabasi yote yanayotoka Mwanza kwenda Dar kwa kuzidisha Mwendo , vilevile amewakamata madereva 4 na kuwapeleka mahakamani kujibu mashitaka ya kuzidisha Mwendo kupindukia. Vilevile amewapa abiria elimu ya usalama barabarani...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa uandishi wa anuani kwenye maombi ya kazi kwa mfumo wa Ajira Portal

    Hello mambo zenu. Naomba kuuliza, ivi ukiwa kwenye mfumo wa kuomba ajira kwenye portal katika ku apply kazi, zile barua tunazotakiwa kuandika address ya muandikiwa tunaweka ipi? Mfano hapa unaomba ajira EMPLOYER Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI) Kwahyo address tunajaza ya muhimbili au...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ulezi wa wanyama Kenya: Fursa mpya ya ajira Kenya

    Kwa wale wanaopenda wanyama,nchini Kenya kuna fursa kubwa ya kulea wanyama kama paka na mbwa. Malipo ya kazi hii ni shilingi 1000 ya Kenya sawa na shilingi 18000 ya Tanzania kwa saa. Kazi ya mlezi wa mnyama ni kumpa chakula ,kucheza naye, kumsafisha na kumpeleka hospitali mnyama Kabla...
  14. JamiiForums Tanzania Putin awafuta kazi Majenerali watano, kachanganyikiwa

    Huku majenerali wakiendeleea kuuawa vitani, kaona heri awapunguze mwenyewe maana sio kwa aibu ambayo Urusi inazidi kupata kutoka kwa kajirani kadogo Ukraine. Binafsi hainingii akilini hii ni ile ile Urusi niliyoiogopa siku zote, ndio inalizwa hivi ========= Vladimir Putin fired five generals...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi 100 ya kazi za Afisa Mauzo katika kampuni ya Sanlam Life Insurance LTD

  16. J

    JamiiForums Tanzania Maelekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaendelea kufanyiwa kazi

    MAELEKEZO YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YAENDELEA KUFANYIWA KAZI Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imekamata mifuko ya Salfa ya unga 1230 inayodaiwa kwisha Kwa muda wake wa matumizi ilibaini Salfa hiyo chapa makonde bechi ya III kuuzwa Kwa wananchi. Kwa mujibu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Dada wa kazi aliposababisha mtoto wa boss kupata utapiamlo

    Rachael alipata kazi katika shirika la kimataifa, akiwa pale alikutana na James kijana kutoka Cameroon, wakaka wa Cameroon wako very romantic, Rachael alijikuta ameingia mazima. Walipata mtoto na baada ya hapo James alipata uhamisho kwenda Angola. Kama aliomba uhamisho ule ni siri yake lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kazi au Connection ya Kazi

    Habari wakuu, Umri wangu ni miaka 28. Nimekuja kwenu kuomba ajira au mtu yoyote anayeweza kunisaidia kupata ajira au Connection. Jinsia: Me Elimu: Bachelor Degree of Banking and Finance. Ninapoishi: Dodoma Uzoefu wa kazi : Sina uzoefu mkubwa kwenye Carrier yangu zaidi ya kufanya Field mara...
  19. JamiiForums Tanzania Fursa za Ajira na Kazi kwa Vijana ni Muhimu kwa Maendeleo ya Dunia

    Kazi\ajira ni sehemu muhimu ya maisha ya watu. Ina maana kubwa zaidi ya malipo anayopata mtu. Inamaanisha kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi kuhusu jinsi anavyotaka kuishi maisha yake. Hata hivyo, wapo ambao wanakabiliwa na ukosefu wa kazi/ajira za kuwawezesha kiuchumi hivyo kuathiri kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma: Sehemu Sahihi ya Kupeleka Malalamiko Ukifutwa Kazi

    Kama ilivyowekwa bayana na Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Tanzania Posts Corporation Vs (dhidi ya) Dominic A. Kalangi, Rufaa ya Madai na. 12, 2022. Mwandishi: Zakaria Maseke (Advocate Candidate) MATERIAL FACTS (STORI YA KESI): -Dominic A. Kalangi alikuwa ameajiriwa na Shirika la Posta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…