Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 825
- 1,630
Habarini ndugu
Nimekuja mbele yenu ninaomba kazi yoyote ilimrad niingize kipato niwez kujkim mahtaj yang
Umri wangu 23
Jinsia kiume
Sehemu ninayoish Tegeta nyuki Dar es salaam
Kazi ninazoziweza
Kinyozi
Kuuza duka
Sheli
Supermarket
Konda daladala
Kaz za viwandani
Ntashukuru Sana mkinisaidia ndugu zangu wa jf🙏🙏