kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania OMBI: Rais Samia naomba kazi ya kukusaidia kuisimamia EWURA/ au Kilimo

    Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Kabla sijaendelea kuelezea kusudio la kutaka kukusaidia kusimamia maeneo niliyotaja hapo juu, naomba nikuhakikishie kwanza mimi sio mganga njaa / almaarufu kama mchumia tumbo na sina lengo la kuwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni zipi kazi au biashara ambazo ukifanya hukosi 20k kwa siku?

    Nawasubiri wabobevu wa jiji la Dar wanipatie japo maujuzi ya biashara ya kufanya nitengeneza 20k kwa siku Si mnajua tena mambo ya kodi jamani [emoji17][emoji17] Nsaidieni mawazo, lo! Sihitaji pesa, mawazo ya biashara tu yanatosha Pia PM iko wazi[emoji23][emoji23] But kama utaanza kwa kunipa...
  3. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

    Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka) Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana Pascal Mayalla aone...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali: Tutaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili

    Serikali imesema itaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili ili viendelee kuandaa wataalamu zaidi watakaotumika duniani kote. Akizungumza kwa njia ya simu katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yanayofanyika Jijini Dar es Salaam, Mhe...
  5. JamiiForums Tanzania Jehanamu ya moto ipo na itaifanya kazi yake siku itakapopokea wateja wake

    "Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum", Mt 10:28 SUV. Zipo dhana nyingi juu ya hili, wapo wanakataa kuwa hakuna jehanum, wapo wanakubali kuwa ipo, wapo wanaamini ukishakufa basi, na wengine wanaamini Mungu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi

    Jamani Mnaonaje matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi….toa maoni yako
  7. JamiiForums Tanzania Mpira: Ni utaratibu upi wa kupata sifa ya kuajiriwa kuwa refa ama mshika kibendera, Maslahi ya kazi yapoje, vitu gani vya ziada vizingatiwe?

    Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu, Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje. Ningependa mnijuze haya.. - Ni sifa zipi zinatakiwa awe na sifa za kuwa refa, - Ataanzia wapi na atatumia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania ina amani kwanini viongozi mnatuweka foleni mpite?

    Jana nikiwa nimetoka zangu katika mihangaiko mida ya saa nane hivi kufika pale uwanja wa ndege gari zikawa foleni tumekaa hapo weee nikaona madereva wanazima magari mara konda kakaa mlangoni miguu ikiwa chini ya lami tukawa tunajiuliza kuna nini? Kama nusu saa hivi tukasikia Wioo wiooo wiooo...
  9. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ana Pass degree ila kapata kazi kwenye multinational company bila connection

    Sio kwamba nimesimuliwa hapana. Huyu jamaa yangu alihitimu bcom in accounting kutoka pale udbs miaka kadhaa iliyopita. Basi majuzi kati tuko nae ghetto tunapiga mvinyo tukaona tangazo kutoka kwenye kampuni kubwa mafuta lenye makao makuu yake huko Uingereza wakihitaji mhasibu kigezo ni uwe na...
  10. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara Paul Koroso, aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”

    Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh2.9 bilioni. Dk Mollel pia ameagiza Koroso...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kutoka Tanzanian IT Company

    JOB OPPORTUNITIES A Tanzanian IT Company in Dar Es Salaam is looking for: 1. Stationery/Café Attendant (1) 2. IT Officer (1) 3. IT Sales Officer (1) 4. Accountant Cum Office Admin (1) 5. IT Service Desk Support (1) 6. Office Messanger (1) QUALIFICATIONS: Minimum Diploma in the relevant field...
  12. JamiiForums Tanzania Kisa QNET, Walimu 8 wafukuzwa kazi Geita

    By Rehema Matowo Geita. Tume ya utumishi wa walimu wilayani Geita mkoani Geita imewafukuza kazi walimu wanane kwa utoro kazini. Walimu hao ambao sita ni wa shule za msingi na wawili wa sekondari, wanadaiwa kujishughulisha na biashara za Qnet badala ya kumtumikia mwajiri huku wengine wakidaiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 56 (African Wildlife Foundation ) - Deadline 18 July

    Not Useful
  14. JamiiForums Tanzania Kazi ya msaidizi wa nyumba ni ngumu sana, ni sawa na kazi ya kibiriti kusafisha unarudia.

    Akipika mama lawama zinakwenda kwa dada jiko chafu. Tena dada huwa anaambiwa apikie kuni au mkaa jiko la ndani anapikia mama tu.
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye stationery

    Naitwa Mustapha Rajabu. Nina umri wa miaka 28 naishia Dar Es Salaam maeneo ya Tabata Bima. Ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo, nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 5 hivyo ninao uzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo. Ninao uwezo wa kutumia Computer vizuri na kuchapa document...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uhuru Kenyatta amwambia Ruto hafanyi kazi amekalia mdomo tu

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemjia juu Naibu wake, William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu akisema kama ameshindwa kufanya akiwa na nafasi ya juu Serikalini ataweza vipi kwa mara nyingine anapoomba nafasi ya Urais Kenyatta akizungumza katika Sherehe za Ushirika amesema: “Mimi nasikitika kuona...
  17. JamiiForums Tanzania Wastafu wenye vyeo vikubwa na mishahara minono huteuliwa kazi zingine ila watumishi ngazi za chini sasa wanakatwa mafao yao

    Tuache haya ya Mabeyo na mtego wa Loliondo. Rudi kwa akina Anna Makinda, Pius Msekwa, Jaji Warioba na Wengine wengi. Walikuwa wanasiasa wenye mafao bora kabisa ya Ubunge ambayo hupewa yote kwa mkupuo. Na wengine hupokea mafao bora kila mwezi yani asilimia 80 ya mshahara wa Waziri Mkuu au Spika...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alisisitiza kuwa Kazi ni Uhai, waajiri na Serikali Mtuthamini waajiriwa wenu

    Habari wana JF, Kwa ujumla ukimuajiri mtu mmoja ujue mtu huyo ana mke na watoto, ana ndugu na marafiki wanao mtegemea. Lakini pia, umlipa mshahara huyo mtu ataenda nunua unga au mchele kwa mtu mwingine ambae amejiajiri ambae inawezekana bila kazi hiyo angeweza kuwa Jambazi mtaani huko mtaani...
  19. JamiiForums Tanzania Kweli ukitaka huduma Wizara ya Kazi lazima uende Dodoma?

    Kichwa cha uzi chahusika, ndugu zangu kuna project ninataka kwenda kuifanya Wizara ya kazi. Je ni lazima niende Dodoma au ofisi ya wizara ya kazi ya DSM bado inatoa huduma? Anayefahamu kuhusu hili naomba afunguke tafadhali. WITH MUCH THANKS IN ADVANCE
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi 43 za kazi kwenye mradi Wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP)

    1) Motor Grader Operators —- 10 positions 2) Excavator Operators ——– 20 Positions 3) Bull Dozer Operators ——– 03 Positions 4) Pipe Fitters ——————- 04 Positions 5) Supervisor Piping ———– 01 Positions 6) Supervisor HVAC ———— 01 Positions 7) Wheel Loaders ————— 04 Positions Interested candidates...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…