kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NSSF kupitia App yako mbona haufanyi kazi??

    Ni muda mrefu sasa, hii app ya NSSF haifanyi kazi lakini hela inapoingia unaingia ujumbe ukitaka kuingia kwenye App hiyo ili kuona Balance. Swali langu? 1. Je hiyo App imefungwa? 2. Na kama imefungwa kuna taarifa waliyotoa?
  2. JamiiForums Tanzania Diwani wa Kariakoo Haji Manara hiyo ndiyo kazi uliyotumwa?

    Kuna ufisadi wa kutisha kwenye ujenzi wa barabara za mitaa Kariakoo lakini diwani wa kata hiyo Haji Manara yuko bize kutetea matajiri na kuhamasisha wamachinga wafukuzwe kila kona! Wanachokifanya kwenye ujenzi wa barabara za mitaa ni kumwaga oili na cement kwenye barabara kila wanaposikia kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Reuters na AFP wanafanyaje kazi mpaka kinakuwa chanzo cha kuaminika kwa breaking news?

    Mashirika ya habari makubwa yapo mengi ukitoa BBC na aljazeera Kuna hawa AP na Reuters ila inawezekanaje mpaka wakati mwingine hawa kina BBC na kina aljazeera wananukuu kutoka kwa kina Reuters zile habari za motomoto kabisa ambazo zimetokea hivi punde mfano habari za ndani ya ikulu ya Washington...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya sales (Arusha)

    🚨 TANGAZO LA KAZI – SALES PERSON (2 POSTS) 🚨 Time Less International inatangaza nafasi za kazi za Sales Person kwa wahitaji wenye sifa zifuatazo: ✅ Awe na Degree au Diploma ✅ Awe smart na mwenye muonekano nadhifu ✅ Awe na uzoefu wa kazi za sales ✅ Awe tayari kuanza kazi tarehe 01/04 ✅ Msichana...
  5. JamiiForums Tanzania Mafuta yanaenda kupanda Hadi 3,500/= Kwa Lita. Kwa magari yenye CC kubwa, kazi itakuwepo

    Ndugu zangu wale wenye magari yanayobugia wese tutapaki Tu mwaka huu, Kwa vipato hivi vya kuungaunga kazi itakuwepo mwaka huu endapo vita ya Huko mashariki ya Kati kama itachukua mwaka mmoja. Jana nilikuwa na mkurugenzi mmoja wa kituo cha mafuta akaniambia nijipange na bei hii mpya ya Tsh 3,500...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Kama unataka kuwa tajiri usiombe kazi Serikalini

    Imeelezwa kuwa wakati Tanzania ikiwa na nguvu kazi kubwa ya watu milioni 33, sekta ya umma imeajiri chini ya watu milioni moja, jambo linalothibitisha kuwa serikali haiwezi kuwa injini kuu ya uzalishaji wa ajira. Hayo yamefafanuliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof...
  7. JamiiForums Tanzania KERO TTCL wanatuma bills lakini mfuno wa kupokea kupokea malipo haufanyi kazi siku ya 3 leo

    Sisi kitu tunaweza ni kupambana na Upinzani tu na wapinzani. Tunakwama wapi ? TTCL wana juhudi kutuma Control number lakini Mfumo haufanyi kazi DAWASA wanafungua maji siku 1 wanatuma bills wanakata Maji TANESCO Mvua ikinyesha wanakata umeme kua inaharibu miundo mbinu maji yaki kauka...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaoponda watumishi wanaochukua mikopo wengi wao unakuta hawana hata hiyo kazi, mtu asiyeogopa mikopo ni risk taker kutoboa ni suala la muda tu

    Watu wanaoponda watumishi kuchukua hela benki na kwenda kujenga lipagara na kununua kigari chake cha kumzungusha wengi wao hawana hata hizo kazi na Hawajui kuwa mishahara ni midogo hata usipokatwa marejesho bado hela yake haitoshi tu. Unaweza ukaajiriwa na take home ya laki 6 wewe ukakopa let's...
  9. JamiiForums Tanzania Support, support support

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏...
  10. JamiiForums Tanzania Biashara ipi inanifaa nje ya kazi

    Habari za mida wakuu.. Mimi ni mfanyakazi wa kampuni binafsi.. Napata mshahara wa wastani tu ila nilitamani niwe na biashara yangu ya pembeni ambayo itanisaidia kuongeza kipato. Ila changamoto ni muda, huwa naingia job asubuhi natoka saa 12 jioni na sina hata offdays .. Hivi ni biashara gani...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mwenzangu amepata kazi Tanzania

    Yupo na watoto watatu na mke anataka kuja Tanzania mshahara ni 400,000 Tsh anaeza ishi wapi Dar kwa mhindi
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Uendeshaji na Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA

    Salaam, Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA. 1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Kozi ya Agricultural Investment and Banking wanashindwa kuomba kazi kupitia Ajira Portal

    Nilihitimu degree kwenye Chuo cha SUA, Kozi ya Agricultural Investment and Banking, kozi mpya ilianzishwa Mwaka 2020, Mwaka 2023 ilitoa Wahitimu kwa mara ya kwanza. Mimi nilihitimu Mwaka 2024, nashukuru Mungu Alhamdullilah nina kazi, nimeajiriwa DRC lakini sasa Vijana waliohitimu wanashindwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kwenye usaili secretariet ya ajira inataka uweke na vyeti ambavyo havihusiani na kazi husika

    Mimi nilienda kufanya usaili wa TA tarehe 14.03.2026 nilikuwa shortlisted kwenye mfumo na sifa ilikuwa ni Degree ya HRM sasa nilipo fika nilikuwa na cheti cha degree na transcript, cheti cha form four, cheti cha kuzaliwa, na kitambulisho. Baadae akasema anataka na vyeti vya Ngazi ya chini...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna kazi wanaozifanya sijawahi kuelewa huwa wanaishi vipi

    Wamachinga watembezi bidhaa barabarani, bar n.k. Wapiga debe, Wauza ice cream, Wabeba mizigo(makuli), Wachuuzi stendi, Waokota makopo(sijui hata kama ni kazi) Sijawahi kuelewa mtu anayefanya hizi kazi anawezaje kukidhi mahitaji yake ya chakula, mavazi, makazi na kuhudumia familia bila kukata...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waombaji "Ajira Portal" tunakaa muda mrefu bila majibu, bora wasitangaze nafasi za kazi kama hawajajipanga

    Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview. Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025 mpaka leo Machi 2026 hakuna shortlist wala kujua lini tutafanya, the same to Mamlaka ya Viwanja vya...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi ujenzi wakuu, anayeweza kazi vizuri

    Nina plot yangu nataka nitoe kitu kikali Sasa ninaomba humu kama Kuna fundi mzuri.
  18. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S

    Habari zenu ndugu zangu, Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S anisaidie ndugu zangu. Nina miaka 29 Nina mafunzo ya JKT - Miaka miwili (volunteer). Uwezo wa kutumia silaha. Elimu - Shahada ya kwanza Nazungumza Kingereza fasaha. Uzoefu wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikiona kwenye Usaili ukajua kabisa hapa kazi hakuna?

    Kwenye soko la kutafuta ajira Vijana tunakumbana na mambo mengi sana, kuna wakati unatuma maombi ya kazi unaitwa kwenda kufanya Usaili ila unakutana na mazingira ambayo mwenyewe unajua kabisa hapa Hupai kazi au Nafasi ina wenyewe Mfano, kuna Sehemu niliwahi kuitwa kwenye usaili, nafasi za kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…