kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea chini ya rais Samia. Mwaka 2025 hakuna mbadala wa kuendeleza kazi za taifa hili

    Mwenye macho haambiwi tazama 👇
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi TRA

    Vijana hizi hapa nafasi za kazi.
  3. JamiiForums Tanzania Nasikiliza Nyimbo za Harmonize na Zuchu (Wakiimba kazi za Magufuli)

    Nimesikiliza hizi za Harmonize (Kwangalu ya Magufuli) na Zuchu (Tanzania ya Sasa Mama) ni nyimbo za karne. Naamini kabisa vizazi vijavyo vitamuenzi sana Magufuli kuliko hata sasa. Mwamba anatikisa Dunia sasa hata baada ya kufariki.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi (PSG GUARDS) DSM General Manager, Marketing Manager, Accountant, Operation Manager ... mwisho Tarehe 5-June, 2023

  5. JamiiForums Tanzania Mnaomsikiliza Lissu kwenye wimbi la 255 CHADEMA je, anahimiza jamii na vijana kufanya kazi?

    Hello!! Nimetafakari kiasi ni kwa namna gani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa inavyoweza kuinua uchumi na molari wa kujituma katika upambanaji hasa endapo viongozi wanasiasa kwenye mikutano yao wakihimiza bidii ya kazi. Na wakahusisha ratiba za mikutano yao na kauli mbiu tufanye kazi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tanga: Wazee wanufaika wa TASAF wanafanyishwa kazi ndio wanapewa hela. Hivi ndivyo Serikali ilivyoelekeza?

    Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana. Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo. Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni...
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

    Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Uhasibu

    Nnnnnn
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi

    Wakuu kwema? Naombeni ushauri mimi nafanya kazi sehemu x ila nataka kuacha kazi sababu nalipwa 3000 kwa siku hiyo hiyo nifanyie Kila kitu kula, kodi, kuvaa yani Kila kitu nimefanikiwa kufanya ujanja ujanja mwingi kazin hadi nimesevu milion moja kwa miaka miwili ila Sasa ujanja unakuwaga na...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kazi zipi zina mishahara mikubwa hapa Tanzania?

    Ni kazi zipi zina mishahara mikubwa hapa Tanzania?
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kazi ya Katibu Msaidizi wa Bunge Sosholojia

    Habari samahani naomba mnisaidie kujua zaidi kuhusu kazi ya katibu msaidizi wa Bunge sosholojia.
  12. JamiiForums Tanzania Tulia Akson: Kazi zote huwa za mfalme(Rais), wengine tunamsaidia

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema ana imani mahakama itamsaidia Rais katika eneo la utoaji haki. Dr. Tulia amesema kuna watu hawaelewi kama mhimili wa mahakama nao unafanya kazi ya kumsaidia Rais. Dr. Tulia amesema anaamini watu huwa wanasoma vitabu vya dini, ambapo...
  13. JamiiForums Tanzania Wafanyazi wa Serikali waweke shabaha ya malengo katika kazi zao

    Ushauri kwa wizara utumishi kipindi mnaelekea kwenye bajeti ya wizara kuna jambo naomba mlimulike kuna wafanyakazi wapo tu kazini kutimiza siku na kupokea mshahara, nashauri kila mwajiriwa wa serikali awe na target asipo ifikia angaaliwe kama anahitajika katika iko kitengo au asimamishwe kazi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hali tete wakuu mwenye connection kazi za Ulinzi

    Habari wakuu, Mwenye connection kazi za ulinzi ndugu yangu anatafuta. Hali tete. Cc: Sandali Ali
  15. J

    JamiiForums Tanzania TARURA Mkoa wa Iringa kazi inaendelea

    TARURA MKOA WA IRINGA KAZI INAENDELEA NDANI ya miaka miwili ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumekuwa na uimarikaji kwa mtandao wa barabara za vijijini na mijini kwa Mkoa wa Iringa hatua iliyorahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii. Meneja wa...
  16. JamiiForums Tanzania Visa vya kweli dada wa kazi wachawi. Ambatana nami

    Hii Dunia isikie vituko na majanga yake kwa wengine yasikukute. Dada Jenifa amepitia visa na mikasa vya housegirls wachawi kwa uchache ntaweka visa vitatu (3). 1. Huyu alimtoa kijijini kwao kwa ant yetu alikuwa na kawaida yq kuharibu kila aina ya mmea dawa uliopo bustanini hasa ukifikia hatua...
  17. M

    JamiiForums Tanzania unafanya kazi na nani inahusika sana kwenye utaftaji

    leo nina furaha sana , nimepiga hela nzuri sana na aliyechangia nipigie hii pesa ni mfanyakazi wangu tena , tena ana umri mdogo ukilinganisha na watu wote ninaofanya nao kazi , i think nimpe vyeo awe msaidiz wangu tu...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa 27 wasimamishwa kazi kwa kuingiza Sokoni Sukari iliyoharibika

    Uamuzi huo umetolewa na Mkuu wa Utumihsi wa Umma, Felix Koskei dhidi ya Mdhibiti Mkuu wa Viwango Nchini Kenya na Maafisa wengine 26 wa serikali waliohusika na kutoa Vibali vya kuruhusu kuuzwa Tani 1,000 za Sukari iliyokwisha muda wake. Taarifa imeeleza kuwa mifuko 20,000 ya Sukari iliingizwa...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo haya yakifanyiwa kazi na wadau (TRA, wananchi wafanyabiashara, wizara husika) itaongeza uwajibikaji wa kila mdau kwenye makusanyo ya kodi

    NATAMANI KIKOSI KAZI KILICHOUNDWA NA WAZIRI MKUU,TRA na SERIKALI WANGEWEZA KUTATUA TATIZO LA PENATI KWA KUTO KUFANYA FILING ZA P.A.YE,SDL,VAT, MAKADIRIO, NA RITANI ZA MWAKA KWA KAMPUNI/BIASHARA ZENYE MTAJI CHINI YA BILIONI MOJA Awali ya yote, mimi ni mdau na mfanyabiashara ndogondogo wa sector...
  20. JamiiForums Tanzania Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?

    Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora? Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau najua wengi wenu mnauzoefu . ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…