Kubadilishana kituo cha kazi

Kubadilishana kituo cha kazi

p2k

Senior Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
110
Reaction score
263
Habari wakuu?

Nahitaji mtaalamu wa maabara wa kubadilishana nae kituo cha kazi
AJE MTWARA NIENDE MBEYA(wilaya yoyote)

Asanter
 
Habari wakuu?

Nahitaji mtaalamu wa maabara wa kubadilishana nae kituo cha kazi
AJE MTWARA NIENDE MBEYA(wilaya yoyote)

Asanter
KARIBU KWENYE MFUMO WA KUMPATA MTU WA KUBADILISHANA VITUO KWA URAHISI.

1. Unasajili na unaweka kituo ulichopo kwa sasa
2. unaweka mikoa na wilaya zaidi ya moja unayotaka kwenda
3. unaweka masomo yako
4. baada ya usajili kukamilika ukaingia kwenye mfumo utawaona watu wote kutoka mikoa mingine wanaofanana na wewe somo moja au yote wanaotaka kuja mkoa au wilaya uliyopo.
5. Mfumo uko vizuri sana watu wote unawaona namba za watsap na kawaida ziko pale.

• Jisajili sasa kwenye mfumo wetu wa Kubadilishana 👉 Kubadilishana Portal — Tafuta Mwenye Kubadilishana Nawe Tanzania

Mfumo unakuunganisha moja kwa moja na watumishi wa idara yako wanaotaka kuja mkoa wako, na unakujulisha kwa notification mtu akipatikana. Jisajili leo, baadaye utatushukuru!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom