kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Watumikaji wakiona umemaliza kazi unayotaka na mwisho wa siku wakaona kuwa unataka usiwe uliyewatuma nini kinafuata?

    Moderator naomba tunza huu uzi tupo na kazi ngumu mpaka sasa idarani za kusambaza madawa ya Who are You. sasa kinacho nichekesha japo na cheka ila lazima kiwe kicheko. Uwezi kutumia watu wakulindie matendo yako na kesho ukataka kuonesha ulikuwa sio wewe na mda sasa unaonesha watu wako...
  2. Raisi ajaye tanzania: Sheria ni siasa zinafanyika mwaka wa uchaguzi tu, baada ya uchaguzi watu waonekane wanafanya kazi nothing more or less than that

    Marehem John Pombe alikua na njia nzuri sana ya kuendesha nchi, mwaka wa uchaguzi fanyeni siasa ila baada ya hapo watu waonekane wapo kazini, izi mambo za kila mtu anaongea hili ama lile akidhan anaielewa siasa ipigwe marufuku, kipindi cha magu alivooa amri ya siasa kipindi cha uchaguzi nchi...
  3. Kwa hiyo sasa njia za kuingia serikalini kuwa mbunge, diwani lazime upitie kazi za usanii na uchawa

    Kama nchi tukiendelea nao hawa majangiri CCM msije shangaa shilole kuwa waziri wa kilimo. Ina maana weledi wa waliosomea uwongozi kuwapa waweze kuongoza umekufa kabisa. Sasa wasanii na chawa ndio vipaumbele vya kuongoza nchi.
  4. NAFASI ZA KAZI YAS - DIRECT SALES AGENTS

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojielezea hapo juu, Ninahitaji vijana kwa ajili ya kufanya mauzo ya Ku Push products za Yas Business kama Vile Yas Routers, SME and Individual Bundles, Home Fiber, Mjasirianali Box, SME KINARA na zingine nyingi.. Zote hizi ni bidhaa za Yas Business Ajira hii...
  5. E

    Binti WA kazi amapakua chakula miguu ikiwa amepanua

    Habari wana JF Kuna ishu siipendi lakin pia nina mashaka nayo kwa dada wa kazi nyumbani kwangu. Akiwa anapakua chakula anapanua miguu halafu sahani sufuria kila kitu anaweka katikati ya miguu anaanza kupakua ....? hii haijakaa kishirikiana?
  6. M

    PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
  7. PostGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia bado Tume ya Jaji Chande ina kazi gani iliyobaki?

    Rais Samia Suluhu Hassan amewahutubia wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2. Kiini cha ujumbe wake kilikuwa ni maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025. Kwa kiasi kikubwa hotuba yake ni kama alikuja kutema nyongo iliyomjaa kifuani pake. Ameeleza chanzo cha maandamano na vurugu zilizoanza Oktoba...
  8. PostGE2025 Tume zilizowahi kuundwa na mapendekezo hayakuwahi kufanyiwa kazi

    1. Tume ya Nyalali 2. Tume ya Bomani ya Ardhi 3. LRCT – Mapendekezo ya Katiba 4. Tume ya Haki za Binadamu – Kisanga 5. Tume ya Sheria Kandamizi – Kisanga 6. Tume ya Uchaguzi – Ramadhani Ongeza nyingine hapo chini
  9. Johann Carl Friedrich Gauss - Mtoto wa miaka 7 aliyetengeneza equation baada ya mwalimu kutoa Kazi ya kuwa-keep Busy Wanafunzi

    Wanasema wengi waliona Tofaa linaanguka ila mmoja (wachache ndio waliuliza kwanini) - Ingawa hizi story huwa zina chumvi nyingi na uongo wa hapa na pale lakini hii ya Gauss inafurahisha Katika miaka ya 1780 mwalimu wa shule huko Ujerumani ili wanafunzi wake wakae kimya kwa muda wa kama nusu saa...
  10. Daktari afukuzwa kazi kwa kumdhalilisha mgonjwa

    WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi kwa daktari aliyekuwa akimtibu msichana mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa na tatizo la uzazi kwa kumdhalilisha kijinsia baada ya kumchoma sindano ya usingizi Urambo wilayani Tabora. Agizo hilo amelitoa akiwa Leganga wilayani Arumeru mkoani...
  11. PostGE2025 Wasanii fanyeni kazi msitusumbue wananchi tuko bize kulikomboa taifa

    Kipindi cha kampeni wasanii wote mlikuwa upande wa CCM mkaanza kutukana wananchi eti tunalalamika sana tufanye kazi. Baada ya uchafuzi wa 29 kuisha wameanza kutia huruma et nendeni youtube tukasikilize ushuzi, machawa Pro max, show za ndani zimebuma na bado wananchi hatutasiliza nyimbo zenu...
  12. KAZI

    Ukiona mtu anapenda sana kwenda kazini ujue mwizi.
  13. Wakuu naombeni kazi au mwenye connection yakazi anae jua mahali flani sikosi. Mimi ni dereva, popote nafanya kazi

    Mimi ni kijana umri miaka 26 elimu kidato cha sita 6 nimepita veta kupata basic driving, NIT kua VIP driver na ninauzoefu wakutosha kabla ya kwenda kuongeza ujuzi nabaada ya kwenda kuongeza ujuzi udereva nikazi ninayo ipenda nipo tayari kufanya kazi popote hata na mtu binafsi
  14. M

    Wito kwa JWTZ Mliopewa kazi ya kufanya lindo kwenye miji mikubwa

    Ndugu zetu Askari, najua wengi wenu mnatamani kuona Mambo ya Guniea na Madagascar yanafanyika, ila kwa sababu kadhaa na mobilization inakuwa ngumu, hivyo basi niwatake hakikisheni mnachukua Risasi kadhaa kila mkitoka kambini, zimeenda wapi nyie ni watu werevu mtaweza kuelezea hilo swali...
  15. Kwa jinsi ICC inavyofanya kazi, wahusika wa mauaji ya Oktoba 29, 2025 hawatafikishwa kwenye hiyo mahakama

    Habari za jioni wakuu! Mauaji yaliyotokea October 29 2025 hapa nchini, wengi wetu matumaini ya kupata haki yako ICC, ila kwa jinsi mahakama hiyo inavyofanya kazi, ni ngumu kupata haki huko. Kwanza ICC haina 'Jeshi wala Polisi' Inategemea majeshi ya nchi husika kumkamata mtu, sasa kwa jeshi...
  16. KERO Mkandarasi aliyepewa Barabara ya Ubungo - Kimara Mwisho hawezi ile kazi!

    Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni. Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana. Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali...
  17. Naomba kazi

    Habari za jioni wakuu Kijana mtiifu,mchapakazi na mwenye akili timamu.Nipo mbele yenu kuomba kazi yoyote halali ili niweze kupata pesa ya kuendesha maisha yangu Elimu yangu ni kidato cha 6 napatikana Goba Dar es salaam.Kazi ninayofanya kwa sasa ni kiwandani Mwenye mchongo wowote tushtuane...
  18. Leo wazee wa kazi nimewaona Segerea na wako full combat na bunduki juu je kuna nn?

    Wakuu leo mda siyo mrefu wazee wa kazi wapo mtaani kwetu wako full commbat sijui kuna ishu gani aisee nauliza tuu
  19. “Dereva Daraja la II” ndio nafasi ya kazi inayoongoza kutangazwa Ajira Portal.

    Wakuu. Wengi mtasupport ili, madereva ndio wanaotangazwa sana katika Ajira Portal. Sizisemi kada nyingine, lakini mfano hapo cheki wana nafasi 40 zimetangazwa, na kila nafasi unakuta zina post 5 kuzidi. Kwahiyo 40x5 inamaanisha kuna madereva 200 wanahitajika ndani ya hizi week mbili...
  20. F

    Hivi TBC ina kazi gani

    Hiv TBC ni chombo cha Taifa au chombo cha siasa za mrengo 1 wa CCM au ni dodoki la kuosha na kusambaza propaganda za serikali, nao wachukue basi usajili kwenye Baraza la vyama vya siasa maana hawaripoti habari za wananchi zaidi ni mapambio kuanzia asubuhi mpaka asubuhi. Mnajidanganya sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…