kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Ona wasifu wangu, natafuta kazi/internships kwenye NGOs, CBOs N. K

    EDUCATION : BA in Community Economic Development (BA-CED) - 2022 EXPERIENCE : 2+ working in international NGO World Vision Tanzania (DODOMA&KIGOMA) FIELD: Community Engagement Officer and Resilience and Livelihood Officer (bith internships) SKILLS : Data collector/Enumerator under different...
  2. JamiiForums Tanzania Familia kwanza au kazi kwanza?

    Wapo wanaosema, kazi ndio kila kitu; wapo tayari kuipambania kazi zao kuliko familia, wakiamini familia ikiharibika kazi itamsitiri kwa kumpatia fedha na kuanzisha familia nyingine. Je, wewe kwa mtazamo wako, kwako ni kazi kwanza au familia kwanza?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha jinsi saratani ya tezidume unavyobadilisha mfumo wa kemikali mwilini ili dawa isifanye kazi

    Kama kawaida yetu, tunaangaza afya ya Tezidume… hii mpya ya leo Uvimbe wa saratani ya tezidume unaweza kubadilisha mfumo wa kemikali wa asidi ya amino (amino acid metabolism) ili kuondoa vizuizi vya kawaida vya utengenezaji wa lehemu (cholesterol), mchakato ambao unaweza kuchochea uwezo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Madai ya Mkandarasi Mwalyambi kutolipwa, TANROADS yasema 'Serikali haiwezi kufanya malipo kwa msingi wa madai bila kazi husika kuthibitishwa'

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA NDG. ODWEN MWALYAMBI WA M/S RUHAMA TRIPPLE THREE JUNIOR ENGINEERING KUHUSU BARABARA YA KAWAJENSE -UGALLA-MNYAMASI Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imefuatilia taarifa na malalamiko yaliyotolewa na Ndg. Odwen Mwalyambi wa M/s Ruhama Tripple...
  5. JamiiForums Tanzania Akili Mnemba (AI) yatikisa Ajira: Kazi gani ziko Hatarini?

    Kampuni zinazojihusisha na nyanja ya akili mnemba (AI) hutoa madai mapana kuhusu uwezo wa zana zao kuchukua nafasi ya nguvu kazi ya binadamu. Baadhi ya kazi zitaendeshwa kikamilifu na mifumo ya kiotomatiki, huku nyingine zikibadilishwa na kuboreshwa kwa kutumia akili mnemba. Viongozi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Tuambie unataka kazi zipi

    Kijana umeishia elimu ya darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha sita, au cheti, diploma, au digrii isiyokuwa na mashiko, na hutaki kazi za kutembeza vitu, kazi za bar, kazi za ndani, kazi za shamba, kazi za kuhudumia mifugo n.k; tuambie unataka kazi zipi? Na kwanini unabagua kazi, wakati...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuku ana mbawa ila hajui kuwa kazi yake ni kuruka na hataki kujifunza kuruka, karidhika 😊 kataa kuwa kuku ✍️

    Msemo huo una ukweli mchungu sana kuhusu maisha! Kuku ana kila vigezo vya kuruka na kufika mbali—ana mabawa, ana manyoya, na ana mwili unaoweza kuinuka—lakini amechagua kubaki chini akitafuna makombo kwa sababu tu alikuta wenzake wakifanya hivyo, na amezoea mazingira hayo. KATAA KUWA KUKU...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto Apiga Simu Karen Hospital Kuhusu SHA: Je, Mfumo Mpya Unafanya Kazi?

    Rais William Ruto amempigia simu Mkurugenzi Mtendaji wa Karen Hospital, Juliet Gikonyo, kutaka kujua iwapo hospitali hiyo inapokea malipo kutoka kwa Social Health Authority (SHA). Katika mazungumzo hayo, Gikonyo alithibitisha kuwa hospitali hiyo inapokea fedha kutoka SHA na kueleza kuwa, kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Unatafuta wasaidizi wa Kazi, jitahidi upate mrundi at your own risk

    Kwenye mapambano yangu na maisha yangu nimefanya kazi na jamii na watu tofauti tofauti yaani watanzania na watu wa nje . Observation yangu ni hii warundi ni wachapakazi sana hujutii japo sio wote, wamalawi wa hovyo sana wanaminia pombe na ngono SI kiume Wala kike, Watanzania niliofanya nao...
  10. JamiiForums Tanzania Madeleka: Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu

    Madeleka: ‘Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu’ Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka ameyasema haya leo Agosti 18, 2026, wakati akiongea na vyombo vya habari baada ya kuachiliwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Tabia hizi za kuacha kazi nina matatizo au?

    Baada ya kumaliza chuo tu. 01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar. Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno nje kifupi kazi ya kunyenyekea mtu siwezi hasa hawa wazungu wa hotelini(nikaacha kazi)miezi miwili...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubungo: Vyoo vya Soko la Stendi Mawasiliano (Simu 2000) bado havifanyi kazi mwezi wa 6 sasa, vimegeuzwa stoo

    Zaidi ya miezi sita imepita tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itoe taarifa kwamba inafanyia kazi changamoto ya vyoo vilivyopo katika stendi ya mawasiliano, pembezoni mwa Soko la Maindi. Nasikitika kusema kwamba hakuna kilichoendelea hadi sasa. Vyoo hivyo bado havifanyi kazi na kwa sasa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mhitimu wa digrii au diproma ya kodi ambae umechoka kukaa mtaani bila kazi kisa huna uzoefu wa taaluma yako?

    Ewe mhitimu wa kodi hii ni nafasi njema kwako' (i). Unapenda kupata uzoefu ili uanze kutengeneza pesa kwa kutatua matatizo ya wafanya biashara na makampuni mbalimbali. (ii). Unahitaji kupata uzoefu kwenye taaluma yako ili uaminiwe na waajiri pindi unapoitwa kwenye interview. (iii). Tumia career...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake mnapaswa muelewe hili kwa nia njema kabisa: muda wa kazi simu zinazongatiwa ni za mipango tuu

    Happy Sunday JF Members. Wanawake tunawaheshimu na kuwapenda sana, ila kuna jambo moja mnapaswa kulielewa kwa nia njema kabisa. Muda wa kazi, simu na SMS za mara kwa mara za kusalimiana tuu hazimaanishi kwamba mapenzi yanaongezeka. Kuna muda zinageuka kuwa kero. Ukimtafuta mpenzi wako mara...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hivi "MV Mwanza Hapa Kazi Tu" ndio rasmi imekuwa "white elephant"?

    Hii insaikitisha. Tulikuwa na matumaini makubwa na hii meli. Sasa ime dock Mwanza; haina mahali pa kwenda. Mara ya mwisho nilisikia wansubiri Jinja au Port Bell ziwe tayari lakini sina imani kama hizi ports ni suluhisho. Hii meli imejengwa kwa ajiri ya abiria kwanza. Mzigo ni ziada. Lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi wakuu

    Wakuu mliopo Dar kijani wenu hapa nilikuwa naomb mwenye connection yoyote ya kazi ya kibarua anisaidie 🙏🙏
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wenye biashara za hotspot mnapoteza wateja na pesa kwa kununua vifaa feki au kuwapa kazi kina fundi Maiko, Hii wifi ya 3 nakutana na shida ile ile

  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri Wa Usalama Kipchumba Murkomen Aonya Maafisa wa Umma: “Wantam” na “Kasongo” Zinaweza Kukufutia Kazi

    Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, aliwaonya maafisa wa umma, wakiwemo polisi na machifu, dhidi ya kujihusisha na kauli au misemo ya kisiasa wanapokuwa kazini. Murkomen alitoa onyo hilo Narok Jumatatu, Agosti 11, 2025, akisema maafisa watakaopatikana wakiimba kauli ya upinzani...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IGP Douglas Kanja aagiza kusimamishwa kwa Maafisa wa Polisi watakao kuwa kazini wakati Mtuhumiwa akifariki kizuizini

    Inspekta Jenerali wa Polisi Kenya, Douglas Kanja, ameagiza maofisa watatu waliokuwa kazini wakati mtuhumiwa anapofariki akiwa kizuizini kusimamishwa mara moja (interdiction) ili kuruhusu uchunguzi kufanyika. Maofisa hao ni anayerekodi taarifa katika Occurrence Book (OB), askari wa seli (cell...
  20. JamiiForums Tanzania Kazi ya udereva

    Habari za muda huu wajomba! Naitwa Fareed age 26 Nimekuja Mdogo wenu Nàomba Kazi ya Udereva, Elimu: Form Four Najua pia kutumia Computer&English Language Driving Licence ✅ Cheti (VETA) ✅ National ID ✅ Naendesha Gari ndogo zote(D) Automatic&Manual kwa sasa Nipo Dar es salaam Nna Familia bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…