Tuambie unataka kazi zipi

Tuambie unataka kazi zipi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,812
Reaction score
61,492
Kijana umeishia elimu ya darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha sita, au cheti, diploma, au digrii isiyokuwa na mashiko, na hutaki kazi za kutembeza vitu, kazi za bar, kazi za ndani, kazi za shamba, kazi za kuhudumia mifugo n.k; tuambie unataka kazi zipi?

Na kwanini unabagua kazi, wakati huna ujuzi wowote?​
 
Wanataka kuamka asubuhi, kijana aambiwe aoshe gari huku yeye anajiandaa, avae shati yake safi na tai, cadet kali na "moka", akitoka nje anafunguliwa geti nak kwenda "ofisini".
Maisha ya tamthilia na ya mitandao yanachanganya vijana
 
Back
Top Bottom