kazi za ndani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss la DP World

    Ushuhuda: Tunampenda sana msaidizi wetu wa kazi za ndani, anatulipa wema

    Mimi na wife ni watumishi, wife ni mwalimu na mimi ni afisa manunuzi wa taasisi fulani, tulipoanza maisha hatukuwa na msaidizi wa kazi, ila tulipo barikiwa kupata mtoto wakwanza tuliona kuna haja ya kuwa na binti wa kutusaidia kazi za nyumbani. Basi katika kutafuta tafuta siku moja nikaenda...
  2. Mdau jf

    Ushauri: Anataka akafanye kazi za ndani (house girl) Uturuki

    Wasalaam Wana jf Kuna binamu yangu mkoa X ameniomba ushauri, kwamba amepata mchongo wa kwenda nchini UTURUKI kufanya kazi za ndani. Nami kwakua sina experience na mambo hayo nikaona ni Bora nilete kwenu mnaweza Kua na ABC's za kumuambia, ili nimfikishie na iwe hiari kwake kwenda ama...
  3. Mr George Francis

    Haki na wajibu kwa wafanyakazi wa kazi za ndani

    HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI. [PLEASE USIACHE KUSOMA HAPA] Kazi za ndandani ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba. Mfano: usafi wa nyumba, kufua, kupika, kulea watoto, kutunza mifugo nk. Mfanyakazi wa kazi za ndani ni mtu yeyote anayefanya kazi za ndani, ndani ya...
  4. Lanlady

    Mikataba kwa wasaidizi wa kazi za ndani, je ni vigezo gani vinavyozingatia kwa nchi husika kukubali mikataba hiyo?

    Nimeuliza swali hili kutokana na kauli ya rais Samia leo kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi. Kwamba hapa nchini waajiri wengi wa wasaidizi wa kazi za ndani, hawazingatii maslahi ya hao wafanyakazi pamoja na mikataba ya kimailtaifa. Natamani kujua, hivi kila mkataba ni lazima taifa...
  5. BigTall

    Mjadala wa Sheria Mtaani: Kufanya kazi za ndani nyumbani ni jukumu la mume siyo mke

    Hivi karibuni kulikuwa na picha zenye maneno kadhaa zilikuwa zikisambaa mitandaoni zikielezea kuhusu masuala mbalimbali ya sheria. Kuna moja hii nikaiona ikisambaa kwa kasi ikiwa na kichwa cha habari: Kwa Mujibu wa Sheria ya Ndoa Tanzania KUFANYA KAZI ZA NDANI NYUMBANI NI JUKUMU LA MWANAUME...
  6. S

    Kwanini familia za nchi zilizoendelea hazina wasaidizi wa kazi za nyumbani (house girls)?

    Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa. Kwanini familia za waafrika bila dada wa kazi au housegirl mambo hayaendi? Mke atalalamika, nyumba itakuwa chafu, chakula hakitaiva kwa wakati yaani mambo yote yatakuwa vurumai. Lakini ukiangalia wenzetu walioendelea familia nyingi ni baba, mama na watoto...
  7. L

    Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Natafuta mdada wa kazi za ndani, Mshahara- 60,000 Sehemu-kinondoni Dini - yeyote Aina ya familia atakayofanyia kazi ina Baba , mama na Mtoto wa miaka 4. Atakayekuwa tayaru nicheck Dm Update “nmeshapata”
  8. K

    Ninatafuta kazi za ndani ambae atahitaji mdada wa ndani ninapatikana

    Habarini wana JamiiForums Ninatafuta kazi za ndani kwa yeyote ambae atahitaji mdada wa ndani ninapatikana Malipo kuanzia laki Asanteni
  9. Mary97

    Natafuta kazi za ndani Kigamboni

    Habari zenu. Naitwa Mary, Miaka 25. Elimu yangu cheti. Naishi karibu na cornerstone (kibada). Natafuta kazi za ndani za kwenda na kurudk huku Kigamboni. Kupika, kufua, usafi, kutunza watoto naweza. Mshahara angalau laki, nauli juu yangu. Kama ulipo nauli inazidi 400/= utanisaidia nauli. Siku...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Majibu ya Udalali wa Wasaidizi wa kazi za ndani. Ufafanuzi wa kina

    MAJIBU NA UFAFANUZI KUHUSU UDALALI/UWAKALA WA WASAIDIZI WA KAZI ZA MAJUMBANI. Anaandika, Robert Heriel. Wakala wa WASAIDIZI WA Ndani. Bila Shaka wote ni wazima humu. Andiko hili nitaeleza muhtasari wa suala la Wasaidizi wa kazi za ndani. Mimi nikiwa Mdau, na mkurugenzi wa Kampuni inayohusika...
  11. K

    Tiba ya Ukatili kwa Watoto na Saikolojia ya Msichana wa kazi

    Mama ni Tiba nambari moja ya kuzuia Ukatili kwa Watoto na Uponyaji wa kisaikolojia kwa wasaidizi wa kazi za Ndani. Zipo Shughuri nyingi sana zinazoweza kumsaidia mwanamke kuhakikisha chakula kipo nyumbani hata Kama baba kashindwa kusimama kwenye nafasi yake, zipo Shughuri nyingi za kumsaidia...
  12. A

    Hitaji la ajira za kazi za ndani kwa watu wenye miaka 50+ linaongezeka

    Kuna kundi kubwa la watu wazima wanaotafuta kazi za ndani. Wengine ni kutokana na changamoto za maisha, kuachwa na mume, kufiwa, kupoteza ulivyonavyo na kubidi kuanza upya, haya yote si sababu ya kuanzisha uzi huu. Watu wazima wengi wanajielewa, kazi umamwelekezi mara moja tu na huwa hawapendi...
  13. A

    SoC01 Mapendekezo ili Kupunguza vitendo vya unyanyasaji kwa wadada wa kazi za ndani (House Girls)

    Habari wanajukwaa Tumeskia vitendo vya kuogofya vya wadada wa ndani, kuumiza hadi kuua Watoto, ushirikina n.k. Ila pia Kumekua na Habari nyingi za vitendo vya unyanyasaji vya wafanya kazi wa ndani, wengi wanapewa kazi nyingi, maslahi hafifu, kupewa mimba na ma boss wao kisha kukataliwa hizo...
  14. nelvine

    Mawazo kuhusu biashara ya wasaidizi wa kazi za ndani

    Habari wanajamvi, msaada wa mawazo yenu hapa. Nilikuwa nina wazo la bihashara ya wasichana wa kazi ( house girls) mwaka jana, lilikua niwe nawatafuta mabinti nawapa mafunzo kiasi jinsi ya kufanya kazi na kujifunza ujuzi mdogo mdogo, pia niwachambue wale bora na kuwatafutia kazi za ndani. Lengo...
Back
Top Bottom