kazi na tenda

  1. Brightly

    Natafuta Kazi Civil Engineering

    Habarii ndugu zangu Watanzania,Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii (ordinary diploma in civil engineering) kutoka chuo Cha ufundi Arusha mwaka 2020.Natafuta kazi kwenye sekta binafsii au hata kama mtu anawezaa kujitolea kunipa connection serikalini Nitashukuru maisha mangumu mtaanii.
  2. Lagrangian

    Kijana wa kusambaza sabuni kwa wateja anahitajika

    Wasalaam waungwana. Kama mada ilivo, mimi ni mfanya biashara wa Sabuni za Magadi za Kigoma. Natafuta kijana atakaenisaidia kusambaza bidhaa za sabuni kwa wateja. Wateja tayari wapo kwa hiyo kijana yeye kazi yake itakua kuwapelekea. Sifa. • Awe wa kiume. • Awe chini ya miaka 25. • Awe...
  3. I AM BANE

    Natafuta kazi, nina uzoefu wa miaka minne

    Habari zenu wadau, Mimi ni kijana mwenye Elimu ya level ya SHAHADA nimefanya kazi kwenye MICROFINANCE kwa miaka 4. Nina ujuzi na uzoefu kwenye nafasi zifuatazo Loan Officer, Group leader/ Loan supervisor, Loan Recovery. Nahitaji kazi katika nafasi moja kati ya hizo hapo juu. Ahsante.
  4. Danp36

    Biashara ya kusambaza vitu na huduma kwenye makampuni makubwa

    Ndugu wanajamvi, Kwa muda baada ya kuona watu baadhi ya makampuni yakisema yametumia mabilioni ya fedha kwa suppliers wazawa haswa makampuni makubwa. Mfamo migodi, UN, viwanda vya cement, mahoteli kimataifa, Total, Songas, Oryx, Puma energy ni hasa ya kigeni. Nimevutiwa kujua haya. Naomba...
  5. R

    Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa anisaidie

    Hello, habari zenu? Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa for real kama Premise app nchini Tanzania anijuze. Nimetafuta nyingi Sana km Afrisight, Geopoll n.k sijapata jamani!! Napenda kujishughulisha Sana hasa online survey through apps, website lakini sijapata zaid ya Premise...
Back
Top Bottom