Natafuta kazi, nina uzoefu wa miaka minne

I AM BANE

Member
May 15, 2020
13
33
Habari zenu wadau,

Mimi ni kijana mwenye Elimu ya level ya SHAHADA nimefanya kazi kwenye MICROFINANCE kwa miaka 4. Nina ujuzi na uzoefu kwenye nafasi zifuatazo Loan Officer, Group leader/ Loan supervisor, Loan Recovery.

Nahitaji kazi katika nafasi moja kati ya hizo hapo juu.

Ahsante.
 
Ukipata mchongo untag.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom