kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tuyalinde mawazo yetu,tukatae kauli hasi,ni sumu kali,inayotengeneza mawimbi ambayo ni lazima yafuate njia hiyo hiyo!,kama agizo!

    Ulimi, wetu na mawazo yetu kwa asilimia kubwa almost 90% ndiyo,hutengeneza channel ya mfumo wetu wa maisha,tukumbuke binadamu kwa jinsi alivyoumbwa ana uungu kwa 5-10, katika matendo yake na maisha yake ya siku kwa siku,kauli zake azitoazo huweza kutengeneza effect fulani hasa pale anapozidi...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Rodri aomba radhi kwa kauli kuhusu Valencia kuwa 'dhaifu'

    Rodri anadaiwa kutoa kauli hiyo akiwa amekaa kwenye benchi baada ya kutolewa uwanjani katika ushindi wa Barcelona wa mabao 5-0 dhidi ya Valencia katika mchezo wa ligi Jumapili. Matokeo hayo katika Uwanja wa Mestalla yaliiacha Valencia mkiani mwa msimamo wa ligi, ikiwa haijapata ushindi wowote...
  3. mrxtz2026

    JamiiForums Uhuru wa Mahakama Haulindwi kwa Maneno, Bali kwa Muundo: Kwanini Kauli ya kikatiba kwamba "Mahakama ni huru", bila muundo bora ni Udhaifu mkubwa..?

    Karibu kila Katiba duniani inasema "Mahakama ni huru." Ni sentensi rahisi kuandika, lakini historia imeonyesha mara nyingi kwamba sentensi hiyo peke yake haitoshi. Uhuru wa kweli wa Mahakama haupimwi kwa maneno ya utangulizi, unapimwa kwa maswali magumu zaidi: nani anateua Majaji, kwa muda gani...
  4. Parabolic

    JamiiForums Kauli za Wasira zimethibitisha kuwa CCM haitaki maridhiano

    Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Kutafakari Hali ya Siasa nchini uliofanyika Dar es Salaam jana, Septemba 8, 2026, ulikuwa na matarajio ya kuwa jukwaa la kutafuta majibu ya mgogoro wa kisiasa unaoikabili Tanzania. Lakini badala ya kuibua picha ya chama tawala kilicho tayari kusikiliza hoja za...
  5. M

    JamiiForums BAKWATA ijetenge na kauli za Ostaz Juma Namusoma

    BAKWATA ijitenge na Juma Namusoma, ambaye ametumia mitandao ya kijamii kutoa kauli zinazowalenga na kuwashambulia masheikh, pamoja na wale wanaoendelea kumlinda. Kinachotia mashaka ni kwamba kila anapokosolewa kwa kauli zake, huonekana kujisitiri nyuma ya viongozi wa BAKWATA. Aidha, mara nyingi...
  6. M

    JamiiForums Siamini kauli ya keki ni kubwa kwajili yetu wote kwenye biashara yenye ushindani, Biashara ni vita !!

    “Keki ni kubwa kwa ajili yetu wote.” Si amini. Kwenye biashara, kila mtu anataka kuongeza market share. Kila mtu anataka scale. Kila mtu anataka wateja wengi zaidi, branches nyingi zaidi, revenue kubwa zaidi. Wateja wako kuhamia kwao ndio mafanikio ya kibiashara kwe wengine Kuna muda...
  7. H

    JamiiForums Haya ndio Maswali Muhimu ya Lissu kwa Mashaidi kuhusu kauli za Raisi Zitakazomlazimisha Samia aitwe mahakamani

    Lisu kwa Golugwa. ' 1. Je baada ya maoni ya Jumuia za kimataifa juu za ubovu wa uchaguzi serikali ilifanyeje Golugwa: Mama alihutubia akasema wasitupangie. Tundu lisu; Je hizo lipoti zilimaanisha nini? Golugwa ; mifumo yetu ya uchaguzi lazima ibadilike ili itende haki labla ha chaguzi nyingine...
  8. Keynez

    JamiiForums Collection ya kauli maarufu (quotables) katika kesi ya Uhaini ya "Jamhuri vs Tundu Lissu"

    Katika kufuatilia kesi hii ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kumetokea kauli nyingi ambazo zinaweza kusimama zenyewe kama zenyewe. Uzi huu ni wa kukusanya kauli hizi. Kama umefuatilia kesi hii toka mwanzo, tusaidiane katika kushare katika uzi huu. Mfano, wakati John Mnyika anahojiwa siku...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Serikali yatoa kauli kuhusu Mwekezaji Tim Draper kutangaza kukiuza Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika

    TAARIFA KWA UMMA KUH: KISIWA CHA LUPITA KILICHOPO KATIKA ZIWA TANGANYIKA, ΤΑΝΖΑΝΙΑ Dodoma 31 Agosti 2026 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeona kupitia mitandao ya kijamii taarifa kuwa mwekezaji Bw. Tim Draper anakusudia kuuza ardhi katika kisiwa kilichopo Ziwa Tanganyika nchini...
  10. Equation x

    JamiiForums Kauli ya tafuta hela, inapotosha vijana.

    Inatakiwe isomeke na ieleweke kuwa ni tafuta kazi na si tafuta hela; ili kuweza kudumisha maadili na afya za vijana. Kwa sababu kazi ndio chanzo cha kupata hela. Hii ya kutafuta hela, ndio inapelekea vijana wengi kuwa legelege, kutembea huku wakiyumbisha makalio na kupelekea kuchagua chagua...
  11. gimmy's

    JamiiForums Kwa kutotoa press ama kauli yeyote mpaka sasa kwa issue ya makamo kujiudhuru ni ishara kwamba mkuu wa nchi atakua anaupima upepo.

    Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi. Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote kutoka kwa raisi lakini yuko kimya. Kimkakati ni kama anaupima upepo kusikilizia yanayoendelea...
  12. K

    JamiiForums Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
  13. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Kauli ukizikisia mara nyingi ujue hapo hakuna utekelezaji.

    Kauli ukizikisia mara nyingi ujue hapo hakuna utekelezaji. 1. Tumelichukua tunalifanyia kazi.. 2. Tupo kwenye mchakato 3. Uchunguzi bado unaendelea 4. Hilo nalo mkalichunguze huko 5. Tutakuita, tutakupigia simu.. 6. Muuzaji ukisikia nitarudi siku nyingine kununua 7. Pole sana tupo pamoja...
  14. K

    JamiiForums AMBUZI: Kauli ya Ndlozi na Msimamo wa Botswana Dhidi ya Rais Samia SADC: Je, Klabu ya Kulindana Inavunjika?

    Ndugu wana-Jamii Forums, Katika hali iliyoleta taharuki na mjadala mpana kwenye anga za kisiasa za ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC), mwanasiasa machachari na msomi kutoka Afrika Kusini, Dkt. Mbuyiseni Ndlozi, ametoa kauli nzito inayomgusa moja kwa moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  15. MSUKUMA02

    JamiiForums Je, hii kauli aliyotamka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni sahihi kwa taifa?

    Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
  16. Stuxnet

    JamiiForums Kauli ya Heche kukosoa Congo kuwekeza Tanzania ina ufinyu wa uelewa

    Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi. Kwa uwekezaji wa kutoka nje...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Chalamila umeisikia KAULI " sisi tunaichukia Serikali"? Msaidie Rais kumjuza ukweli

    Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo. Mzungumzaji ni Elias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori...
  18. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Homa Bay: Goonism, Kauli za Vitisho na Kengele ya 2027

    Matukio yaliyoshuhudiwa Homa Bay wakati wa ziara ya Linda Mwananchi mnamo Agosti 16, 2026, yanapaswa kuwa zaidi ya habari ya siku moja. Kwa mwananchi, yanapaswa kuwa kengele ya tahadhari tunapoelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Ziara hiyo ilikumbwa na vurugu, barabara zikazuiwa kwa mawe, magari...
  19. Design Your Idea

    JamiiForums Nipe sababu ya msingi kuu ya kupinga kauli ya kuwa sisi waafrika nchi zetu sio "SHITHOLE COUNTRIES"

  20. U

    JamiiForums Kauli ya Lissu kwa Heche imezima kabisa ndoto ya vigogo wa CHADEMA waliopanga kumvuruga Heche kupitia Baraza Kuu

    LIssu anasoma magazeti kama mshtakiwa wa kisiasa. Anajua fitina zinazoendelea. Lissu anajua mapandikizi ya Serikali ya CCM walioko kwenye chama chake. Kauli aliyomwambia Heche mahakamani kwamba "UNAFANYA KAZI ILIYOTUKUKA" Siyo kauli ya bahati mbaya hata kidogo. Ni ujumbe aliotafakari na...
Back
Top Bottom