kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

    Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani. Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua anatoa kauli kama za Hayati Magufuli. Ndiye ataleta machafuko Kenya

    Kauli kama hii ni mwiba mkali sana kwa muzee RAO ambaye anajinasibisha kuwa kinara na bingwa wa mabadiriko ya siasa za Kenya. Jamaa anamponda Odinga na Uhuru na kusema waende wakafanya bargain amendment wa walichopora na siyo kutaka hand shake! Taarifa kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, hii kauli ya Lissu ni kukosa hekima, kutokujali au ndio changa la macho kwa wananchi baada ya tuhuma za kulamba asali?

    Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni. Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini? Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Mo ingekuwa ni kwa wana Yanga asingekaa

    Hii kauli ya kanjibai kwa wanasimba ingekuwa kwa wana yanga kusinekucha kuachia ngazi. Sema wanasimba hawajali sana wapo wapo tu. Ifike wakati wanasimba tuamke bora timu iwe kama PRISON kuliko kusimangwaaaa
  5. JamiiForums Tanzania UFM ya Azam Media tafadhali naomba Jina la huyo Mama aliyesema Kauli hii ya Kishujaa niliyoipenda ili nimpe Zawadi ya Mbuzi Jike

    "Mwanamke mwenye Maadili na mwenye Kujitambua ukipigwa na Mumeo hutakiwi Kutangaza kwa Majirani au hata kwenda Kushtaki Kwenu au Ukweni bali unavumilia na unamsubiria Mumeo Hasira zikipungua unamuomba Radhi hata kama unajua kabisa kuwa Mkosaji ni Yeye kwani kwa kufanya hivi utamjengea Kitu Mumeo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hoja kuwa Yanga hawawezi mechi za kimataifa imekufa kifo che mende, wamebaki na kauli ya Yanga kucheza kombe la loser!

    Kabla ya Yanga kutinga hatua ya makundi na sasa kutinga robo fainali, hoja kuu ya makolo ilikuwa ni Yanga hawawezi kimataifa isipokuwa wao tu. Sasa baada ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Shirikisho, hoja yao kubwa imekuwa hilo ni kombe la loser kanakwamba hiyo sio...
  7. JamiiForums Tanzania Nani aliagiza na waliohusika kumshambulia Tundu Lisu? Serikali itoe kauli au ifunge jalada

    Kwa mujibu wa yanayoendelea nchini sasa ni kwamba wananchi wengi hawaamini kauli nyingi za serikali hususani zinazotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu masuala ama matukio ya kinyama waliyofanyiwa upinzani. TUndu Antipas Lisu ni Mtanzania anayestahili haki zote za kikatiba na kisheria. Haki yake ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

    Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao. 'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Zama zake zimepita. Jihadhari sana na kauli au maoni yako juu yake hapo kesho

    Tuko zama za anaupiga mwingi na maridhiano. Hivyo ewe kiongozi mteuliwa kuwa mwangalifu utakapokuwa unatoa maoni kuhusu bwana yule hapo kesho, maana Zama zake zimepita na kitabu chake kimefungwa. Maoni yako yakikolezwa Sana sifa itakula kwako. Kama ikiwezekana wakwepe Sana waamdishi wa habari...
  10. JamiiForums Tanzania Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

    Habari za usiku wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia. Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana...
  11. JamiiForums Tanzania Kauli ya vijana wengi wamejiajiri kwenye bodaboda ina usiasa mwingi ndani yake

    Kuna kauli mpya mjini imezuka iliyoletwa na jamaa wetu wa ma'mbele, kuhusiana na vijana na bodaboda. Ningetumia fursa hii kuliomba Baraza la Kiswahili nchini (BAKITA), kukipa neno "Lema" kama neno jipya likimaanisha kisawe cha bodaboda. (Hapo tutasema mangi kaupiga mwingi). 😂😂 Utani Mangi...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

    Rais Samia: Hakuna kisichowezekana kwenye mazungumzo, tumeshuhudia nchi kadhaa zimeingia kwenye vita hawakupata suluhu, suluhu imepatikana kwenye mazungumzo kwahiyo tuendelee kuzungumza. Najua si rahisi kabisa watu kuja na utamaduni huu mpya ukakubalika mara moja, si rahisi, kwenuu kuna vikwazo...
  13. JamiiForums Tanzania Kwahii kauli ya Rais Samia, Je Hayati Magufuli ndiye aliamua kufuta mikutano ya kisiasa kwa utashi wake au ni CCM?

    "Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
  14. JamiiForums Tanzania Nape kauli zako na vitendo havioani ni kama Lila na Fila visivyotangamana

    Nape, Siku ya jana tarehe 06 Machi 2023 nimekusikiliza kwa kituo kila hoja uliyokuwa unaijibu katika kipindi cha Dk. 45 ambapo ulikuwa unatoa fafanuzi kwa masuala kadha wa kadha. Kwanza nikupongeze kwa kutimiza mwaka mmoja kwenye wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Ni mwaka...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia kutoa kauli ya "Mwanaume ni yule anayejiamini" ni kijembe Kwa Hayati Magufuli?

    Rais Samia ametoa kauli yenye utata mkubwa, wakati wa ziara yake huko Usa River, Arusha, hapo majuzi. Wakati akitoka kwenye semina elekezi ya viongozi waandamizi huko Arusha, alitoa kauli hii wakati anazungumzia ujio wa Godbless Lema, hapa nchini, kuwa "Mwanaume ni yule anayejiamini" na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Chongolo ni ufedhuli kwa wasomi wa vyuo vikuu. Ipingwe!

    Chongolo amewataka wasomi wa vyuo vikuu kwenda veta ili wakapate uwezo wa kujiajiri. Kauli hii inatoa tafsiri hasi nyingi sana dhidi ya wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu vyenyewe. Mosi, inatoa tafsiri kwamba elimu ya vyuo vikuu ni dhaifu ukilinganisha na ile ya veta. Kama hivi ndivyo. Je...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Kauli ya mwanachama huyu wa Chama Cha Mapinduzi inazidi kuwachanganya Watanzania

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa muda wa miaka mingi kumekuwa na tuhuma nyingi zinazomuhusu huyu jamaa. Wengi wakidai kwamba mwanachama huyu ni jasusi maalum ambae yuko katika kiti kile kwa sababu maalum. Moja kati ya sababu...
  18. JamiiForums Tanzania Kama ndoa na kuoa ni jambo zuri mbona mnapanic tuacheni na kauli mbiu yetu ya kukataa ndoa na kuoa

    Hello mambo!! Wahenga walisema kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza. Kwa muktadha huo tuishi uhuru wa kifikra, kimaamuzi, iwe haki na huru. Kama ndoa ni nzuri mbona mnatumia nguvu kubwata na hizo tantalila tantalila zenu. Dunia ndio hii hii ukioa au ukiolewa pambana na hali yako. Kataa ndoa...
  19. JamiiForums Tanzania "Tunataka maendeleo ya watu badala ya vitu," kauli ya CHADEMA ambayo imeshafanyiwa kazi na Rias Samia

    Mwaka 2020 kwenye kampeni za uchaguzi mkuu kulikuwa na kauli maarufu sana ya CHADEMA kwamba wanataka maendeleo ya watu badala ya maendeleo ya vitu. Hoja yao ilimaanisha kwamba serikali ya awamu ya tano ilijikita kwenye miradi ambayo ilikuwa haimgusi mwananchi moja kwa moja. Miradi kama ujenzi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani inatekelezeka? Kitambulisho kilichoisha muda kinaweza kuwa hai kwa amri ya Waziri?

    Nimemsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani na nimesoma sheria inayotoa vitambulisho vya NIDA sijaona sehemu ambayo Waziri ana mamlaka yaku-extend validity ya kitambulisho cha NIDA Bila kuprint kitambulisho kipya. Niombe wanasheria watusaidie legal gap endapo kitambulisho kilichomalizika muda wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…