kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Niliwahi kufanya kazi katika kampuni iliyokamata ndege ya Tanzania Uholanzi. Kauli hii inakupa hisia gani?

    Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi. Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be kuna Watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa...
  2. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii Kagame ni mhaini wa EAC, hafai hata kwa kurumangia

    🚩 “Rwandans sio maadui wetu, ni dada na kaka zetu, adui yetu ni Kagame na Serikali yake, nawaambia wanyarwanda mnahitaji msaada wetu ili muwe huru, nahitaji sasa kuwasaidieni dhidi ya mu imla Kagame" -President Felix Tshisekedi wa DRC Kipi kifuatacho? MAREKANI NAYO YATOA KAULI KWA RWANDA...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kauli inayoleta mfadhaiko kwenye ndoa

    "Niseme tu ukweli mme wangu, yaani toka tuoane huu ni mwaka wa pili sasa, sijawahi kufurahia tendo la ndoa kabisa. Ninafanya tu kukuridhisha lakini sifurahii kitu chochote". Ha! yaani hakuna lugha nzuri ya kuwasiliana kuhusu hili kweli, nyie wana ndoa.
  4. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya kusema Wazungu ndo chanzo cha umaskini Afrika ifuatwe

    Umaskini tuna utaka wenyewe ila Wazungu wanatumia madhaifu yetu kuwa opportunite yao, hata angekuwa wewe ndo Mzungu. Kwa akili zetu hizi wa Afrika za ubinafsi ni lazima ungetajirika. Kwa ufupi kinacho tufelisha wa Afrika ni ubinafsi wetu ndo una tufelisha tu. Na kingine sisi ni waoga saana...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Moto wa Kabaka: Wajumbe mkutano mkuu UWT wamekubaliana kwa kauli moja Kabaka mitano tena

    KABAKA MITANO TENA MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UWT TAIFA Wajumbe kwa kauli Moja wamekubaliana kumchagua kwa awamu nyingine (MITANO TENA) ndugu Gaudensia Kabaka ili kuendeleza Yale mazuri aliyoyaanzisha ili yaweze kukamilika na kuyasimamia yale yaliyokamilika. Kauli hiyo imekuja siku chache...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania UVCCM kabla ya kukurupuka Kumshambulia Dk. Bashiru Ali mliipitia hii Kauli ya Boss wenu Kinana?

    GENTAMYCINE naweka hapa Nukuu ya Kauli ya Makamu Mwenyekiti CCM Bara Abdulrahman Kinana baada ya Kutangazwa Mshindi wa Cheo hicho Mkutanoni Dodoma mbele ya wana CCM wote akiwemo Mwenyekiti Taifa CCM na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan....... "Niwaombe wana CCM wote Kukubali...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA awapa makavu wazungu dhidi ya Afrika

    RAIS WA FIFA GIAN INFANTINO. Rais wa FIFA Gian Infantino ameibuka leo na kutoa kauli yenye utata ikiwa imebaki siku moja kuelekea ufunguzi wa mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika nchini Qatar. Infantino ambaye ni raia wa Switzerland mwenye asili ya Italia amesema...
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru alipuka, akerwa na Kauli za “Anaupiga mwingi”

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, Novemba 19, 2022 Dr. Bashitu alipuka Awavaa wanaosifu utawala wa Samia Akerwa na kauli za “Anaupiga mwingi”
  10. tamsana

    JamiiForums Tanzania Vyama tisa vya siasa vyaingilia kati kauli ya ACT-Wazalendo

    Vvya tisa vya siasa Zanzibar, vimesema kauli ya Chama cha ACT-Wazalendo ya kupinga uteuzi wa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous Faina, haina nia njema kwa Zanzibar. Hivi karibuni, ACT Wazalendo kilisema hakikubaliani na uteuzi wa Faina kwa madai yeye ndiye alikuwa...
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Waziri Nape kwenye matumizi ya bando; Wataalam na watumiaji majibu yenu Muhimu

    Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi. Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda. SWALI: Wale...
  12. vibertz

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kauli mbali mbali zilizoletwa humu wakati Yanga akipangiwa Club African

    Kutokana na profile ya Club African, kuna wachambuzi wa kibongo pamoja na mashabiki wa Simba walikuwa wakitoa kauli mbali mbali za kuonesha mwisho wa Yanga umewadia kabla na baada ya game ya Dar es salaam. Weka hapa kauli unazokumbuka. Mimi nakumbuka, Walisema safari ya Yanga kimataifa imeishia...
  13. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Hii ndio kauli ya kwanza ya CCM-Tanzania baada ya Ajali ya Ndege ya Precision Air kutokea

    Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Mbunge aliyetoa kauli ya ubaguzi bungeni aadhibiwa

    Wabunge wengi wa Ufaransa wametaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya mbunge wa National Rally, Gregoire de Fournas aliyepiga kelele akisema “rudi zako Afrika” wakati mbunge Mweusi akiuliza swali kuhusu uhamiaji. Bunge la Taifa la Ufaransa lilipiga kura kumuadhibu de Fournas kwa kumzuia kuhudhuria...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC na Uongozi wao haujakanusha kauli ya shabiki mwenzao kuwa ushindi wao NBC ni wa Tigo Pesa tu?

    Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ule uhamasishaji wa Nguvu na Kauli Mbiu tulipocheza na Al Hilal mbona siuoni tukicheza na Club Africaine leo?

    Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia? Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
  17. OLS

    JamiiForums Tanzania Kauli ya RC Makalla kuhusu uhaba wa maji ni sawa na kusema hatutaki Maendeleo

    Imenishangaza sana kusema suala la maji ni 'Kudra za Mungu'. Nimefikiria kama tuko serious na maendeleo. Labda nianze kwa kuwapa tafsiri ya maendeleo tofauti na ulizoea kuzisikia awali. Maendeleo ni uwezo wa mtu kuyadhibiti mazingira yake (Ability to command the environment). Hii inaenda sawa na...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yatoa kauli ya mwisho kwa Serbia

    Germany tells Serbia to choose between Russia and EU – Reuters Belgrade itakabiliwa na "matokeo" ikiwa itashirikiana na Moscow, mwakilishi wa Ujerumani aliambia shirika la habari Serbia lazima iamue kuungana na Urusi au EU, afisa wa Ujerumani aliambia Reuters Jumanne. Wakati Berlin imeionya...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais ambayo ni sheria ni ipi?

    Kila siku huwa tunaambiwa na wapenda mamlaka ya Rais kwamba "Kauli ya Rais ni Sheria".. Hivi kauli ya Rais ili iwe sheria inatakiwa iwe na vigezo vipi ama kila akisemacho Rais ni sheria!!??
  20. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Ni kauli au neno gani ulilotamka ndani ya familia hadi leo unajutia?

    Je, ni kauli gani uliyotamka ndani ya familia ikaleta taharuki na hamaki ambayo hadi leo unajutia na kuomba siku au wakati urudi nyuma uweze kuifuta kama siyo kuirekebisha? Kwa upande wangu kuna siku nilishikwa na hasira nikamwambia mwanamke aandae vitu vyake maana nitamfukuza ila nikamsamehe...
Back
Top Bottom