katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zapewa heshima kwa mafanikio na mchango katika kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa zawadi kwa klabu za Simba na Yanga kama ishara ya kutambua mchango mkubwa katika kutangaza na kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara ndani na nje ya bara la Afrika kutokana na mafanikio ya klabu hizo kwenye michuano ya CAF kwa ngazi ya klabu.
  2. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya atunukiwa shahada ya heshima kwa Ustahimilivu na athari katika Jamii

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni GenC na mtangazaji kutoka Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima inayotambua mchango wake kwenye jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo...
  3. JamiiForums Tanzania Mitazamo hasi ya wanajamii mtandaoni na katika maisha halisi, huwasababisha wengine kutokuwa wakweli

    Baadhi ya wanajamii husababisha raia wenzao kushindwa kusema ukweli unaowahusu. Hii husababishwa na mtazamo hasi kutoka kwa jamii husika. Utakuta kwa mfano mtu anapitia changamoto fulani na angependa kuizungumzia ili kupata msaada au kuwasaidia wengine kujifunza; mtu huyo itambidi atumie nafsi...
  4. JamiiForums Tanzania Viungo vyangu mwenyewe katika mwili wangu lakini vinagoma kunipa ushirikiano

    Wakuu si kwema kabisa Kazi za site za ujenzi wa wachina zinafanana na mauaji. Kupandisha na kiroba cha saruji floor ya 4 huku subuhi umekula maandazi mawili na chai ya mia sio poa Nimeingia site nikajiona shujaa wa maisha hali niliyokutana nayo ndugu zangu sio poa kabisa. Wiki hii yote mpaka...
  5. JamiiForums Tanzania Mikasa Katika Kuitafuta 9 December 1961

    https://youtu.be/dQtHPdH0THc?si=ubm8AfL6bpvLrT5h
  6. JamiiForums Tanzania Hamas wafanya shambulizi katika kitongoji cha Al-Junaina, mashariki mwa Jiji la Rafah, kulipiza kisasi damu ya Sinwar.

    Wanaukumbi. ⚡️ Vikosi vya Al-Qassam: Picha za shambulio la tatu la kuvizia likilenga askari na magari ya adui karibu na makutano ya Burj Awad katika kitongoji cha Al-Junaina, mashariki mwa Jiji la Rafah, kulipiza kisasi damu ya Sinwar. ========================= ⚡️ Al-Qassam Brigades: Footage...
  7. JamiiForums Tanzania Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sababu za CCM kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa ya mwaka 2024

    1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025. Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji mkono wa ccm. 2. Maandalizi ya mapema. ccm ilifanya tathmini ya viongozi waliopo na kuandaa wagombea...
  9. JamiiForums Tanzania Kylian Mbappé na Mgogoro Wake katika Real Madrid

    Kylian Mbappé, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa soka duniani, amekuwa katika hali ngumu tangu kujiunga na Real Madrid akitokea PSG. Licha ya uzoefu wake mkubwa na uwezo wake wa kuamua mechi, amekuwa akipitia kipindi kigumu cha kutengeneza matokeo katika timu yake mpya. Kuhama kutoka klabu kubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mjadala Mzito: Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki (Leo Kwenye Space 04 Dec 2024 19:00 East Africa )

    Leo kuanzia saa moja kutakuwa na mjadala mzito utakaoendeshwa online kuhusu Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki Sote tunakaribishwa: https://x.com/i/spaces/1OwGWNkRORVKQ/peek Wazungumzaji nguli watakuwepo. Mnakaribishwa na kutakuwa na Live Update hap JF:
  11. JamiiForums Tanzania Kama unataka kupata ajira wekeza muda mwingi katika utafutaji ajira epuka biashara itakayokula muda wako

    Habari Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa. Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

    Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH" watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

    Nikikumbuka mpaka nilipost uzi humu nyie Aiseee siamini kama sasa hivi moyo wangu umekua na ganzi kiasi hiki. Nitajaribu kuhadithia kwa mafungu mafungu Ili kwa yoyote anaepitia changamoto ya kuumiza moyo sana kiasi cha kuhisi dunia sio yako,amini katika muda. Muda huponya mioyo...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli mtamu ila mchungu kwenye mahusiano

    1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke 2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela.. 3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ... 4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu...
  15. JamiiForums Tanzania Je kuna watu wako hai mpaka sasa Kama walivyoahidiwa na Bwana Yesu?

    Reference: Marko 9:1 Luka 9:27 Mathayo 16:28 Mistari yote hio ina ujumbe unaofanana, ya kwamba Maneno hayo yalitamkwa na Bwana Yesu mwenyewe akiwa katika mwili wa damu na Nyama akiwaambia kuna watu watauona ufalme wa Mungu kabla ya kufa.. Kumbuka ishapita miaka elfu 2 mpaka sasa Je, hao...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kwa baadhi ya makaburi katika barabara ya ufi (Ubungo maziwa – Shekilango)

    Mkandarasi wa Mradi wa Upanuzi wa Barabara ya Ubungo-Kimara na barabara shikizi za Morogoro na Kawawa, Sichuan Road and Bridge Group Corporation Ltd (SRBG), anapenda kuutaarifu Umma kuwa anaendelea na ujenzi wa barabara inayopita katika makaburi yaliyopo mtaa wa ubungo kisiwani. Kufuatia ujenzi...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini unaingia katika ndoa?

    KWANINI UNAINGIA KATIKA NDOA? NDOA: Ni makubaliano ya muingiliano utakaohusisha hisia, Muingiliano utakao husisha miili ya watu wawili walioamua kuanzisha Familia ya Baba na Mama.. Kwa maridhiano ya wazazi wao...! Je ndoa kwani lazima iidhinishwe na mchungaji au sheikh au Askofu? Hapana sio...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded UTPC katika mvutano mkali na waandishi wa habari K'njaro

    Muungano wa vilabu vya waandishi wa Habari nchini(UTPC),wameingia kwenye mvutano mkali la waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro baada ya kuzuia mkutano wao usifanyike. Mkutano huo uliokuwa umepangwa kufanyika kesho ,umepigwa pini na UTPC kwa madai ya kuwepo kwa hisia Kali kutoka kwa waandishi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri:CHADEMA na wanaharakati mbalimbali, wakati umefika Mdude apewe tuzo ya ushujaa katika siasa za mapambano na harakati za kupigania haki za watu

    Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa. Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…