katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mh.Rais Samia nakushauri utekeleze yafuatayo kurudisha Imani ya watanzania katika Serikali yako

    1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM 2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali inatweet vipi katika mitandao iliyoifungia?

    Ni kuuliza tu si kwa ubaya. Serikali kama imamu na sisi wananchi kama mamuma tuna wajibu wa kuifuatisha katika jambo lolote linaloona si jema kwetu. Kuufungia mitandao wa x ni wazi kua wamebaini kua mtandao huo si salama kwa matumizi hapa nchini. Ajabu ni kwamba serikali hiyohiyo iliyoifungia...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo namna nzuri ya kutoa Haki katika Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Wachina

    Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo Kesi ya Uhujumu Uchumi...
  4. JamiiForums Tanzania China yasaidia Afrika kuingia katika zama za kidijitali

    Katika enzi ambapo utandawazi na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda yanapokutana, mageuzi ya kidijitali yamekuwa nguvu muhimu ya kuhimiza maendeleo. Kwa bara la Afrika, mageuzi ya kidijitali si kama tu ni fursa ya kihistoria ya kutimiza maendeleo endelevu, bali pia ni njia kuu ya kutekeleza Ajenda ya...
  5. JamiiForums Tanzania Machawa wengi wanaamini katika Mungu lakini cha ajabu haohao wanasherekea mauaji

    Hili suala huwa silielewi kabisa. Unakuta chawa ni muislamu safi, au mkristo safi na wanamheshimu Mungu sana, hata ukisoma comments zao utaona wakiwa wanaongea kuhusu Mungu huwa wanaongea kinyenyekevu sana Lakini sielewi ndio mstari wa mbele kushabikia mauaji ya October 29 na kudai waliouawa...
  6. JamiiForums Tanzania Kitu nilichojifunza after marriage mwanamke ndo kiumbe mshindi katika hayo mahusiano

    Wadogo zangu mnaotaka au mnaokimbilia kuoa hii siri pekee ila ukweli ni kwamba marriage ni vita katik ya mwanamke na mwanaume Before marriage mwanaume unaweza ukamfanya chochote kile mwanamke wako Lukweli ni kwamba after marriage mwanamke tiyali ameshakushinda na ukitaka kujua hilo angalia...
  7. JamiiForums Tanzania Katika ulimwengu wa kiakili (wa kiroho wa juu)

    Jina la Mungu lenye herufi nane. Eloha Vadaath אלוה ודעת Jehovah Vedaath, יהוה ודעת Katika lugha ya asili. Malipo manane ya wenye heri.Ambao ni Wananchi wa Tanganyika Urithi. Kutokuharibika. Nguvu. Ushindi. Kuona uso wa Mungu. Neema. Ufalme. Furaha. Katika ulimwengu wa kiakili (wa kiroho wa...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna Taifa lenye Uhuru Kamili wa Kiserikali katika Nchi za Dunia ya Tatu

    Uhuru mliopewa na Uhuru wa makaratasi tu, mkubwa akitaka jambo lake analifanya tu. Sheria za umoja wa mataifa ni kama zipo tu kuzidhibiti Nchi za hali ya chini. Nchi kama Marekani ina Sera zake kuwa Nchi nyingine kubwa hazitakiwi kutengeza urafiki wa karibu na nchi zilizoko katika ukanda...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani ilivyosaidia kuondoa utawala wa marais kadhaa duniani na mafanikio iliyoleta katika nchi hizo

  10. JamiiForums Tanzania USA na ISRAEL ni nchi bora katika "ACTIONABLE INTELLIGENCE" , ingawa naishi kadumbwi chini chini ila naona fahari kuishabikia US/ISRAEL.

    Wanajitahidi sana katika utulivu wa dunia angalau, Simaanishi wao ni perfect ila anagalau kwa miendendo yao usalama na haki zinafanyika duniani ebu jaribu kufikiria dunia ilio chini ya urusi, uchina, uturuki, qatar na iran🤢🤮
  11. JamiiForums Tanzania 2026, kuna viakaunti vingi humu vitachangia mambo ya kuudhi au pengine yasio kuwa na utu. Visikutoe katika reli, utu wako ni zaidi ya mitandao.

    🎉Cheer up. LIVE TO THE FULLEST🎊
  12. JamiiForums Tanzania Kuna njia mbili za kujifunza katika MAISHA, njia ngumu na njia nyepesi

    KATIKA MAISHA KUNA NJIA MBILI ZA KUJIFUNZA , NJIA NGUMU NA NJIA NYEPESI. Maisha yana mambo mengi sana, binadamu kila kukicha wanakutana na changamoto mbali mbali . ila pamoja na yote , kitu ambacho unabidi kukizingatia unabidi kuwa aware na mambo yanayowatokea wenzako , kuanzia mafanikio yao ...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hadi Sasa utawala wa Kiislamu katika nchi ya Irani umeanguka kwa asilimia 75%. Tanzania tutafanya kama wairani

    Ndugu watanzania, najua mnafuatilia kwa karibu kinachoendelea Irani. Waandamanaji wameshakamata maeneo muhimu ya utawala wa kiislamu wa Irani mfano. Vituo vikuu(headquaters) vya polisi, airport na sehemu nyingine nyeti karibia miji yote ya Irani. Khomenei ameukimbia mji mkuu wa Irani(Tehran)...
  14. JamiiForums Tanzania Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
  15. 4

    JamiiForums Tanzania Kwa neema ya bwana katika taifa la watekaji na wasaliti wa Taifa hili nipo salama, neema ya Bwana ikawe juu yenu wana jf

    Mwaka 2025 umeisha , ila hope utaanzia ulipoishia, vijana wangu Mungu awepe pumziko la milele pale mlipo ,na hukumu kwa mujibu ya matendo yenu hapa Duniani , najua niliwalea vizuri ,ila Mungu ndo anajua vizuri. Nami kama baba yenu , na familia mwaka huu ,tutazika nguo zenu kama ishara ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mwaka 2026, hakikisha unaombea kuachishwa kazi. Kuna mengi katika maisha zaidi ya kuingia ofisini kila siku

    UOGA ndo kitu kinachoweza kuelezewa kwanini mpaka sasa hutaki kuacha kazi, lakini hio kazi utaiacha mwishowe kwa lazima ukifika umri flan. Kama ipo siku lazima utafukuzwa kwa lazima ama kustaafu kwanini usianze maandalizi mapema! Tushachoka kuskia taarifa za watu kujiua bila kua na sababu hivo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kuna shaka na walakini (conspiracy theory) katika kila kifo cha waliokuwa marais wa Tanzania isipokuwa Mwinyi peke yake

    1. Julius Nyerere Nyerere alimbeba sana Mkapa ili kuweza kumshinda Mrema, na kila mtu alijua bila Nyerere Mrema ndie angekuwa raisi wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi. Jambo la ajabu ni kwamba baada ya kushinda uraisi Mkapa alimgeuka kabisa Nyerere, akawa hafanyi hata consultation nae, hata kwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Amani bila haki ni sawa na kusitisha vurugu kwa muda tu

    Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya muda mfupi tu. Watu wanaweza kunyamazishwa au kuchoka kupigana, lakini maumivu, hasira na kutoridhika...
  19. JamiiForums Tanzania Msemaji wa serikali anaposti kwa ajili ya nani katika mtandao wa X?

    Kuna mtu anaelewa msemaji wa serikali Bwana Gerisoni huwa anampostia nani au watu gani wakati ambapo mtandao wa X wameufungia? Haiwezekani akawa anawapostia diaspora au watu wa mataifa mengine ya nje wakati wajibu wake wa kwanza ni kwa raia wa Tanzania ambao mshahara wake unatoka kwenye kodi...
  20. JamiiForums Tanzania Usitutie katika kishawishi lakini utuopoe Maovuni Amina!

    Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe ufalme wako ufike utakalo lifanyike duniani kama mbinguni utupe leo mkate wetu wa kila siku utusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea usitutie katika kishawishi lakini utuopoe maovuni Amina. Hii ni sala muhimu na nzito sana kwa wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…