katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hatimaye TEC yapoteza imani katika jamii

    TEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote. Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa...
  2. Chukueni hii 100% Kocha Roberto na Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC Kocha Mgunda katika Mzozo mkubwa, ila kwa sasa Unafichwa Kwenu

    Mlizoea GENTAMYCINE naleta tu Taarifa Nyeti za Ndani ya Yanga SC ila Usiku huu nawaletea moja Kabambe kutoka ndani ya Simba SC ( Timu ambayo naishabikia ) mno na Naipenda. Taarifa ikufikie ya kwamba kumbe Kocha Juma Mgunda ( ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC na Boss wa Kocha Mkuu wa Simba...
  3. Kitabu cha Abdul Sykes katika PDF

    Ndugu zangu, Kitabu cha Abdul Sykes hicho hapo chini kwa atakae kukisoma. KInapatikana Hard Copy Ibn Hazm Media Centre katika maduka yake ya vitabu Msikiti wa Mtoro, Manyema (Kariakoo), Mtambani (Kinondoni) na Kichangani (Magomeni) bei Shs: 10,000.00...
  4. Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi kama waliyo nayo Singapore na China hakika tutafika mbali sana

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  5. Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi waliyo nayo Singapore na China tutafika mbali sana

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  6. Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi waliyo nayo Singapore na China

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  7. Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  8. Je katika historia za Dunia kuna falme yoyote iliyoongozwa na mwanamke iliwahi kusimama imara bila kuanguka?

    Tafadhari sana naomba tushirikiane kwenye mjadala kwa kuangalia nafasi ya mwanamke katika kupewa uongozi wa juu katika jamii zenye ufalme. Je mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka?. Na ilikuwa ni falme ipi? Karibu kwenye comments natarajia...
  9. Tukiendekeza siasa na udini katika mashindano ya African Football League, hayatadumu

    Haya mashindano aina ya African Football League ni rahisi kuona kwa nini huwa yanakwama sehemu nyingine na uwezekano wa kukwama hapa Africa tayari unaonekana. Kutokana na mzozo wa kisiasa unaoendelea huko Mashariki ya Kati, mechi ya ufunguzi iligubikwa na viashiria vya kusapoti Palestina...
  10. A

    DOKEZO Hali ya Huduma na Mazingira katika Wodi No. 11 Jengo la Kibasila, Hospitali ya Taifa -Muhimbili hairidhishi

    Wodi namba 11 ni miongoni mwa wodi za wanaume zilizopo jengo la Kibasila katika Hospitali ya taifa Muhimbili (Upanga) Hali ya mazingira katika wodi hiyo sio nzuri 1. Sakafu ni chafu 2. Mashuka yamepauka 3. Vitanda vimechoka na vimepangwa kwa kusongamana 4. Vyandarua licha ya kuwa na rangi...
  11. Kuna wazazi wanawaandaa watoto wao kuwa watumwa katika hii nchi. Mtoto anamaliza darasa la 7 hata wiki haiishi anapelekwa kusoma pre form one.

    Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu. Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu. Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi . Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo. Zamani...
  12. R

    Je, Ukubwa wa Nchi yetu Tanzania ni kikwazo katika kuwafikia na kuwahudumia wananchi?

    Salaam, Shalom!! Nimelazimika kupandisha mada hii baada ya kusoma comment ya mdau wa JF aitwaye Voice of Tanzania alipokuwa akichangia mada katika thread isomekayo, Ni Lini Serikali ya CCM itanunua laptop Kwa Kila mwanafunzi kuanzia shule za kata? Nilipotoa mfano wa Nchi ndogo ya Rwanda...
  13. Unafiki na chuki zinadhihirika katika migogoro ya kimataifa

    Moja kwa moja. Nimeona nije na mada hii baada ya kuona huu uzi leo Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa! nikakuta za comments mbalimbali. Nije katika hoja, kwamba mnasema football haipaswi kuchanganywa na siasa na mambo mengine kinyume cha...
  14. R

    Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    Wakuu, Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia. Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
  15. Baadhi ya teknoloiia zilizogunduliwa locally na katika jamii za nyumbani

    Jana nimekaa nikatafakari sana; Hivi ni nani anayesemaga kwamba waafrika hawajagundua chochote cha maana? Isije ikawa cha maana anachokiona yeye ni mawasiliano tu, sijui na kupaa au kurusha vitu angani😢 Kimsingi ugunduzi huwa unatakiwa kutatua changamoto ya watu husika kwanza kabla haujafika...
  16. Luka Modric hajawahi kufikisha magoli 10 au Assist 10 kwa msimu katika Career yake

    Fundi maestro kutoka Croatia, Luka Modric (Mtakatifu Luka) ni miongoni mwa viungo washambuliaji kwa miaka 10 iliyopita. Hakuna asiyejua Modric alikuwa ni moja ya injini ya mafanikio huko Bernabeu wakati Real Madrid ikitwaa UCL mara 3 mfululizo. Lakini cha kushangaza kama sio kustaajabisha...
  17. T

    Biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa laki nane katika mji wa Kahama?

    Wakuu habari, Natumai kuna wajuzi na wenye uzoefu na mji wa kahama kwenye eneo la ujasiriamali hapa, nina ichi kiasi cha laki nane ambacho natamani kisikae kizalishe chochote kitu ili nitanue wigo wa mapato yangu ata kwa kidogo. Naomba mawazo yenu wakuu. Asante
  18. Ujue mchakato wa kuwasilisha malalamiko katika Kamati ya Malalamiko ya TCRA

    Ikiwa umepata huduma mbovu ya kimawasiliano, iwe kwenye kisimbuzi au mtandao wa simu ambao wote wanaratibiwa na TCRA. Ziko hatua kadhaa za kufuata ili uweze Kamati ya Malalamiko ikusikilize. 1. Kwanza ni kuwaambia kampuni yako (i.e tigo, voda au azam) ili muelezane vizuri 2. Mkishindwana hapo...
  19. V

    Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

    Habari zenu ndugu zangu tunaomba tuchukue tahadhari ikiwa habari hii ni ya kweli, kwani Tsunami maafa yake ni makubwa.
  20. Rais Abdel Fattah El-Sisi afafanua kwanini hawezi kuruhusu Wapalestina waingie Misri. Asema itakuwa ni ujinga na kuisaidia Israel katika malengo yake

    Katika mazungumzo yake na chansela wa Ujerumani muda mfupi uliopita, Raisi El Sisi wa Misri amesema hawezi kufanya maamuzi ya kijinga kuruhusu wapalestina kutoka Gaza waingie nchini humo kama wakimbizi. Akasema hilo inaonekana kama ndio lengo la Israel ilipowataka warudi kusini mpakani na nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…