katibu mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwanza: BAWACHA wapata safu mpya ya uongozi wa Kitaifa: Sharifa Suleiman, Catherine Ruge, Bahati Chumu, Nuru Ndossi, Aisha Machano

    Amechaguliwa leo kwenye Mkutano Maalum ulioitishwa Mwanza ili kuziba pengo la wale Corona 19 waliovuliwa uanachama. ===== Sharifa akabidhiwa mikoba ya Mdee Bawacha Chama cha Chadema kimemteua Sharifa Suleiman kuwa kaimu mwenyekiti wa Baraza la wanawake la chama hicho (Bawacha) ambapo...
  2. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Balozi Joseph Sokoine ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Balozi Joseph Edward Sokoine alimtembelea Tundu Lissu Hospital Belgian baada ya tukio hili alirejeshwa nyumbani haraka. Leo Mh Rais Mama Samia Suluhu kamteua kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki. Pia soma> Tundu Lissu: Balozi Joseph Sokoine alirudishwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, kitendawili cha uhamisho wa watumishi chateguliwa na Katibu Mkuu Tamisemi, Prof. Riziki Shemdoe

    Prof. Shemdoe atengua kitendawili cha uhamisho Nteghenjw Hosseah, OR-TAMISEMI Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka yaani kila robo ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI iingilie kati suala la ajira mpya za Walimu. Kinachoendelea ni undugu, rushwa na udanganyifu

    Ndani ya siku hizi mbili imesemekana eti walimu waliokuwa wanajitolea katika shule mbalimbali za Serikali ndio watapewa kipaumbele kwenye ajira. Hivyo majina ya watu hao yametumwa Tamisemi. Ukweli halisi ni kwamba walimu waliojitolea kwa mwaka mzima hawafiki hata 1% ya waajiriwa mia sita wa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Chongolo, rithi vyote kutoka kwa Dkt. Bashiru lakini siyo wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

    Ndugu Chongolo Katibu mkuu wa CCM, ninakueleza haya kama mwanaCCM mwenzangu lakini zaidi kama mwana usharika mwenzangu, binadamu tunarithi baraka na kamwe haturithi dhambi na laana. Kuna hao wabunge 19 yaani Halima James Mdee na wenzake, tafadhali usijishughulishe nao kwa sababu hiyo dhambi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Cheo ni dhamana: DC amekuwa Katibu mkuu CCM na RC amekuwa Naibu Katibu mkuu, siasani siyo jeshini!

    Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
  7. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, Chongolo urafiki wake na Mzee Kikwete

    Udugu hazina kubwa. Ni kijana mwaminifu kazi maalum zote alizotumwa alizifanya kwa weledi na Umakini. Uteuzi huu ni furaha kubwa kwa Nape na Ridhiwani.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Katibu Mkuu Wa CCM

    Katibu Mkuu Wa CCM nakupongeza kwa kuteuliwa kwako. Naomba nichukue fursa hii kukushauri mambo yafuatayo. 1. Pambana na kinachoitwa JK, Sukuma Gan nk ndani ya chama. Walete pamoja wanaccm kwani utulivu ndani ya CCM ni utulivu wa dola na ni utulivu wa serikali. 2. Epuka kutumia approach za...
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: RC Makonda akimfokea DC Chongolo

    Tujifunze kuweka Akiba ya maneno vyeo vyetu ni mapito tu watawala wajifunze kuishi na walio chini yao vizuri. PIA SOMA: Daniel Chongolo apendekezwa kuwa Katibu Mkuu CCM
  10. TASK FORCE

    JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

    DANIEL CHONGOLO APENDEKEZWA KUWA KATIBU MKUU CCM Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Ndg. Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho. Chama kimempitisha kwa kauli moja. Hatimaye Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imejaza nafasi ya ukatibu mkuu...
Back
Top Bottom