katiba

  1. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded DC Jerry Muro atishia kuumiza na kupoteza watu wanaodai katiba

    IKUNGI-SINGIDA, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida ndugu Jery Muro ametos kauli kali na vitisho kwa wananchi wa wilaya ya hiyo kua yeyote atakayefanya siasa au kudai katiba mpya katika eneo lake atakula kichwa chake na kumpoteza mchana kweupe, ameongeza kua tumezoea kazi hiyo inafanywa na...
  2. Steven kiss

    JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA KWA MAENDELEO YA TANZANIA

    KWANINI KATIBA MPYA NDANI YA TANZANIA NI MUHIMU? Tanzania ni nchi ya demokrasia na inaongozwa kwa kufuata sheria na muongozo wa katiba iliyopo ya mwaka 1977 .kwa mda mrefu wananchi wa Tanzania wamekuwa kweny madai ya kupambania upatikanaji wa katiba mpya KATIBA ZA...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Katiba nzuri katika nchi za Afrika haina au ina msaada mdogo sana wa kuleta ustawi wa wananchi

    Kwa yaliyotokea Africa Kusini wananchi kutoka barabarani na kuzua vurugu kubwa dhidi ya uamuzi wa kisheria na kikatiba wa kumuweka ndani Rais Mstaafu, ni dhahiri kwamba bado hatujakomaa kidemokrasia. Jambo lingine limetokea kule Kenya siku chache zilizopita ambapo Rais wa nchi hiyo aliongoza...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Shida ipo wapi mpaka mmeng'ang'ania na katiba ya Chama kimoja?

    CCM kama hamna nia ya leo kukubali mabadiliko ni bora mkajiuzulu ili wanaoweza kutekeleza azma ya kuipatia nchi hii KATIBA MPYA inayokubalika kwa Nchi zote mbili Tanganyika na Zanzibar ni watimize kuileta tunu hii. Shida ipo wapi? Mpaka mmeng'ang'ania na katiba ya Chama kimoja? Hii Katiba...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Madai ya katiba Mpya yanavyojisukuma Yenyewe

    Msajili wa Vyama vya Siasa kasikika kuhoji kwenye sakata la kufukuzwa kwa wale 19. Kwa mujibu wa Naibu Katibu mkuu CHADEMA bwana Benson Kigaila: "Tumemjibu kuwa hatuwezi kutoa maelezo hayo kwa sababu barua aliyotuandika hajaambatanisha malalamiko ya hawa waliomlalamikia.Tunakiona hapa ni...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mapigo matatu yapunguza Kasi harakati (agenda) za kudai katiba mpya

    1. IGP Siro haja na taarifa zenye utata dhidi ya Lissu 2. Dialo na Mtaka watoa kauli nzito kuhusu watawala na kutakiwa kuomba radhi kinyume na misimamo yao 3. Msajili wa vyama ahoji kwanini wabunge 19 walifukuzwa chadema Huu ni mwendelezo wakuwatoa Wana vuguvugu la katiba kwenye harakati za...
  7. Emekha Ikhe

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kitendawili cha Katiba ya Wananchi - Tanzania

    MALENGO YA ANDIKO-KITENDAWILI CHA KATIBA YA WANANCHI Andiko hili la kitafiti na linganishi kwa nchi ya Afrika Kusini limelenga kutoa uelewa mpana juu ya Safari ya Mchakato wa Upatiakanaji wa Katiba ya Wananchi Tanzania, Changamoto zake na namna ya kutegua kitendawili cha Upatikanaji wa Katiba...
  8. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Makongamano hayawezi kutupatia katiba mpya. Kama taifa tunalohitaji katiba mpya tufanye nini ili tufanikiwe?

    Ni wazi kuwa kama taifa la Tanzania tunahitaji katiba mpya tofauti na ile ya mwaka 1977. Hii ni kwa sababu Tanzania ya mwaka 1977 sio kama ya leo. Leo hii watanzania wanajua haki zao. Wanajua umuhimu wa kuwa na haki za kudai haki zao kwa kila namna. Katiba ya Mwaka 1977 haijawapa hizo haki...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya kuendelea Mkoani Mwanza, vigogo kadhaa kutoa mada

    Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kila mahali hivi sasa , na kwamba watoa mada ni miongoni mwa wazito kadhaa , idadi yao inatajwa kwamba huenda ikazidi wale waliojitokeza Dar es Salaam MUHIMU : Wahudhuriaji wanaombwa kuzingatia mwongozo wa WHO wa kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona
  10. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya sawa, lakini unadhani watu wengi wana weledi wa kutosha: Case Study South Africa

    Naitazama katiba mpya kama swala lenye ulazima na tija sana katika uendeshaji wa nchi: Sababu kuu ni moja sheria zetu nyingi zinapwaya na kuhitaji marekebisho kila mara ila sidhani kama kuna mambo muhimu matatu ya kushughulikia nchi hii Katiba itaingia katika miaka mitatu ijayo. Nadhani kuwe na...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo kuhusu katiba mpya na iliyopo

  12. Ibrah

    JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Jaji Warioba kuhusu Katiba Mpya

    ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amepigilia msumari kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya, na kutaka maoni ya wananchi yasipuuzwe kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza walishirikishwa kuitengeneza. Akihojiwa jana kwenye kipindi cha dakika 45 kinachorushwa hewani na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Corona, Katiba na Miito ya Busara

    Utu uzima dawa, na ya kale ni dhahabu. Mzee Warioba ni mtu wa kuonwa kwa ushauri (consultation) na wote wenye nia njema na nchi hii na hasa wale walio wazalendo. Hii ni kwa wote tokea serikalini na hata wanaopambania kupatikana katiba mpya. Mzee Warioba yuko wazi kuhusu umuhimu na udharura...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Katiba iundwe na wataalamu sio wanasiasa

    Hakuna katiba ambayo itafanikiwa kama hatutabadilisha mfumo. Katiba iundwe draft yake iandaliwe na wataalamu pekee wenye uzoefu kwa manufaa ya nchi kama walivyofanya Kenya. Tukiweka wanasiasa hatutaweza kamwe kupata katiba nzuri maana wataweka manufaa ya Chama mbele ya manufaa ya nchi...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sakata la majanga ya Moto yanayoendelea yatazima upepo kudai Katiba Mpya?

    Wakuu Kwema! Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana. Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya? Karibuni tujadili.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Corona, Katiba - Hatujishangai Wenyewe?

    Mkapa anapoelekea kutimiza mwaka 1 tangu kututoka yafuatayo ni baadhi ya mawaidha kutokea Mkapa foundation: 1. Wanathamini msukumo wa Mama Samia kupambana na janga hili la Corona kisayansi 2. Wanathamini msukumo mpya wa serikali kuelekea chanjo 3. Wanaelezea umuhimu wa chanjo 4. Wanaelezea...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Jinsi Serikali ya Hayati Magufuli ilivyoichezea Katiba ya Nchi, inatia uchungu

    Tukiwa katika kupigania katiba mpya nimejikuta natafakari jinsi serikali ya Magufuli ilivyoichezea katiba ya nchi. Hii ni sababu tosha tunahitaji katiba mpya ya kuweza kuchukua hatua kali dhidi ya mhujumu wa katiba. Katiba iliyopo imeweka kinga kwa Rais. Kwa nini ajiwekee kinga kama anafanya...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad: Katiba Mpya ni Muhumu, itamjenga Rais na haitampunguzia chochote

  20. Suphian Juma

    JamiiForums Tanzania Uchumi kwanza, Katiba isubiri. Acheni chokochoko!

    UCHUMI KWANZA, KATIBA ISUBIRI. ACHENI CHOKOCHOKO. Ilikuwa asubuhi na mapema mwezi uliopita wa Sita mwaka huu 2021 naamka na kukutana na ujumbe wa simu kutoka kwa rafiki yangu James Michael, Afisa TEHAMA wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kagera__"Kaka Suphian naona CHADEMA wakisapotiwa na...
Back
Top Bottom