katiba

  1. JamiiForums Tanzania Picha: Kama kawaida vijana wa Bavicha wakigongea Kahawa mitaani Bukoba Kwa kisingizio Cha Katiba mpya. Kwa Sasa wanahali ngumu sana kiuchumi

    Kila mtu anajua fila kuwa Chadema inawakati mgumu sana, sasa imefikia kiasi Cha kupiga mizinga vijiweni
  2. JamiiForums Tanzania Wote Wanaoapa kuilinda Katiba wanafanya hivyo?

    Huwezi kulinda Kwa moyo kitu usichokifahamu vizuri. Ukiteuliwa Leo unaapishwa kesho kulinda katiba, wapo wanaopa kulinda katiba wasiyoifahamu inasema nini na inataka nini, ndiyo maana watu wanakubali haraka haraka kuapishwa. Pengine hawafahamu katiba inataka nini, inaruhusu nini na inakataza...
  3. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria mbalimbali kufanyika Bungeni: Wananchi waalikwa kutoa maoni yao (Pitia mabadiliko hapa)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria inawaalika wadau kutoa maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 7 wa Mwaka 2021 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 7) Act, 2021. Mkutano wa kupokea na kusikiliza maoni ya wadau (Public Hearing)...
  4. JamiiForums Tanzania Karibuni tujadili Ibara za kubaki, kuondolewa au kufanyiwa marekebisho kwenye Katiba ya Tanzania

    Wakuu nawasalimu kwa jina la jamhuri ya JMT. Nataka tujadili katiba iliyopo kwamba vitu gani vibaki, viondolewe kabisa au kufanyiwa marekebisho. Mimi ninawaleteeni ibara tatu ambapo ya kwanza naona ibaki ilivyo, ya pili ifanyiwe marekebisho na ya tatu iondolewe kabisa. Ukizisoma ibara hizo kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Job Ndugai karibu CHADEMA, utapata heshima kubwa kwa kusimamia misingi ya katiba na kuhoji harufu ya ufisadi. Utapata kick kubwa

    Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ili hali kuna tozo na kodi. Walikuvizia, ukaomba msamaha kinafiki kama walivyowanaCCM na...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Hakuna namna ya kuzuia watu kuamini kuwa Bunge limemezwa na Dola, lakini Bunge linafanywa kazi kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni

    =========== Alichoongea Bungeni Tulia Ackson wakati akiomba kuchaguliwa kuwa spika wa bunge la Tanzania Jina langu naitwa Tulia Ackson, nami kama wagombea wengine nimekuja ili niombe ridhaa yenu waheshimiwa wabunge ili kuhahakisha taifa letu linapata maendeleo basi niwe nawaongoza halafuwote...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi nchini Burkina Faso latangaza kurejesha Katiba

    Jeshi la Burkina Faso limetangaza kurejesha katiba, wiki moja baada ya kutwaa mamlaka katika taifa la ukanda wa Sahel. Tangazo hilo limetolewa katikati mwa mazungumzo baina yake na wapatanishi wa kimataifa. Waziri wa mambo ya kigeni wa Ghana ambaye anaongoza ujumbe wa Jumuiya ya kiuchumi ya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ya Wakili Kidando, Luteni Urio, Katiba ya Mbowe na siku ya kuzaliwa yametufariji sana juma hili

    Mambo ni mengi kweli kweli. Juma hili bhana imekuwa na furaha na masikitiko sana kwa watu wengi kati yetu. Kwa kifupi ninamwonea huruma sana Wakili Kidando na Timu yake kwani matarajio yao kushinda hii kesi KWA HAKI ninaamini yamefifia sana. May be Moses Lijenje ndiye shahidi tu tunayemtegemea...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wizara za Serikali zinapaswa kuwa kwenye Katiba kuepusha usumbufu

    Kila Rais (sio Chama wala Serikali wala wananchi) amekuwa na maamuzi yake mwenyewe ya kuhusu idadi ya Wizara, Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu. Hii imekuwa na usumbufu sana sana kwa watendaji na pia imekuwa ikiathiri Bajeti na hata Mipango ya nchi. Kwa mfano...
  10. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba yanukia: Mahakama kuanzisha Supreme Court, jengo limeshajengwa Dodoma

    Katika hotuba yake, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ameelezea kwamba ujenzi wa jengo la supreme court unaendelea. Bila shaka muda wowote katiba itafanyiwa marekebisho ili kuijumuisha mahakama hii, ambayo itakuwa mahakama ya juu kabisa, kwa Sasa mahakama ya juu ni mahakama ya rufani(court of appeal)...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wiki ya sheria Tanzania: Je, Ibara hii ya Katiba inahitaji Elimu kubwa kiasi gani kuielewa?

    IBARA YA 149 (1) c YA KATIBA YA TANZANIA; Mtu yeyote mwenye dhamana ya kazi yoyote iliyoanzishwa na katiba hii. " ... Ataweza kujiuzulu kwa kutoa taarifa iliyoandikwa na kutiliwa sahihi kwa mkono wake, kwa kufuata masharti yafuatayo:- C) Iwapo mtu huyo Ni SPIKA au NAIBU SPIKA wa Bunge, basi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Spika huenda usifanyike, kesi ya Mbatia juu ya ukiukwaji wa Katiba katika kupatikana Spika mpya inaanza kusikilizwa

    Kama kweli katiba ilikiukwa juu ya kupatikana spika basi Mahakama kuu itende haki na uchaguzi wa spika usifanyike. Mahakama iwe huru na kufanya kazi yake.
  13. JamiiForums Tanzania Mjadala wa katiba mpya

    Japo mchakato wa katiba haujaanza lakini sio vibaya kuanza kujadili kwenye mitandao ya kijamii. Kwa upande wangu ningeambiwa nitaje vitu ambavyo vingewekwa kwenye katiba mpya mimi ningesema hivi:- 1.Mkuu wa jeshi la polisi asiteuliwe na raisi pafanyike usaili 2.Kuwa waziri sio lazima uwe mbunge...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Armenia ajiuzulu, asema Katiba haimpi madaraka ya kutosha

    Rais Armen Sarkissian ambaye ameongoza Nchi hiyo tangu 2018 amewasilisha maombi ya kujiuzulu akisema anaamini Katiba haimpi madaraka ya kutosha kushawishi matukio Mwaka 2021 kulitokea Mvutano kati ya Rais Sarkissian na Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Nikol Pashinyan kutokana na masuala mbalimbali...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usikubali. CCM walikataa Katiba leo wanataka Katiba Mpya, walidhani Katiba ni ya CHADEMA tu

    Leo maji yamewafika shingoni wanakosa jinsi ya kukutoa madarakani wanaanza kujipitisha huku wakisema katiba mpya inahitajika, walidhani mfumo dume utadumu milele hawakujua mungu ndiye apangae. Sasa hivi wa CCM wanaumizwa na katiba kuliko wana Chadema.
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Katiba Mpya ndio suluhu ya matatizo ya Watanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan kwanza nakupongeza sana kwa hatua mbalimbali unazochukua baada ya kuondokewa na Magufuli Mhe. Rais kama lilivyo jina lako wewe ndio Suluhu ya suala la Katiba mpya. Haya yote unayohangaika nayo kuyaweka sawa ni kutokana na Mwendazake kuona mapungufu yaliyopo kwenye...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Suala la Tume Huru au Katiba hatma yake ni Madaraka na si maslahi ya wananchi. Tuweni macho

    Habarini wakuu, Tangu mjadala wa wapinzani wengine kudai tume huru ya uchaguzi na wengine katiba mpya kuingia katika taswira mpya baadhi yetu tumeingiwa na mashaka. Je, kwa nini wasimamie kitu kimoja? Je, wanaofanya hivyo ni kwa maslahi ya nchi au wananchi? Nimejipa muda wa kusikiliza pande...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kama kwa Katiba iliyopo Rais ana kila kitu, hiyo Tume Huru ya Uchaguzi utaipataje? Bunge na Mahakama ziko huru?

    Ni mtu aliyevimbiwa tu anayeweza kuanza kudai Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Katiba Mpya. Katiba tuliyonayo hata irekebishwe vipi haitaweza kutoa mwanya wa kupata Tume Huru ya Uchaguzi kutokana na msingi wake. Liangalie bunge kisha iangalie mahakama ndio utaelewa. Tusisahau ilianza Katiba ya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Maria Sarungi, mmeanza vyema kupata wajumbe wa Kamati ya Katiba lakini nadhani mmekosea fanyeni maboresho

    Awali nilipokuwa naangalia ujio wa SPACE kama njia ya kufanya bunge la wananchi sikuona Kwa upana ukubwa wa forum Hii. Nikiri Kwamba Maria Sarungi ni Moja ya mtu aliyenufaika kiubunifu na utawala wa awamu ya Tano. Alipofungiwa online TV yake hakukata tamaa alifanya research ni namna gani...
  20. JamiiForums Tanzania Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

    Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…