katiba

  1. JamiiForums Tanzania Samia hataki Katiba mpya kwa kuwa Katiba ya sasa inamnufaisha!

  2. R

    JamiiForums Tanzania Nani hataki Katiba Mpya katika hawa watawala. Uchambuzi makini huu hapa. Nani ni mnafiki

    C&p Juzi, Tarehe 24/07/2026, Makamu wa rais, Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano mkuu wa 15 wa mtandao wa watetezi za haki za binadamu, ametoa hotuba iliyopokelewa kwa hisia tofauti Hii ni kwa sababu hotuba yake imekinzana na kauli za awali zilizopata kutolewa na bosi wake, rais...
  3. JamiiForums Tanzania Pendekezo la timeline ya Katiba Mpya 2026-30

    Mchakato wa kupata Katiba Mpya nchini Tanzania unashauriwa kuchukua wastani wa miaka mitatu (2026–2029) ili kutoa nafasi ya kutosha kwa maridhiano ya kisiasa na ushiriki mpana wa wananchi. Kulingana na mapendekezo ya hivi karibuni ya wadau wa demokrasia, serikali, na Tume ya Jaji Chande (2026)...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa CCM Katiba mpya si jambo jipya

    Ninapoona baadhi ya wana CCM wanasitasita kuhusu marekebisho ya Katiba ama kuwepo kwa katiba mpya huwa nawashangaa sana. Huwa nahisi kuwa kwa sasa CCM inaongozwa na watu ambao si CCM ama siyo makada wanaoifahamu vizuri historia ya nchi yetu na ya chama chao. Mwaka 1977 CCM iliandika Katiba...
  5. JamiiForums Tanzania Kauli ya NCHIMBI, "Rais yuko tayari KATIBA Mpya" alimaanisha, Matukio ya Utekaji,Mauaji Oktoba 29 , LISSU, ni Maji ya Shingo kwa Samia !!

    Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba. SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU CHOCHOTE. Ukweli ni kua, Mbinyo wa KIMATAIFA Uliopo kwa Samia ,ambao nayeye anaujua na Washirika...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  7. JamiiForums Tanzania Tunatamani kupigania katiba mpya; Tatizo tunaogopa kesi za uhaini, ugaidi na uchochezi!

    Hakuna ubishi, wito wa Mh. Makamu wa Rais, Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, wa kuwahimiza watanzania kupigania katiba mpya, umepata mwitikio na hamasa kubwa kutoka kwa watanzania wote. Kwa kuzingatia maoni mbalimbali yaliyotolewa, ni wazi kuwa tupo tunaomuona Dr. Nchimbi kama kiongozi wa mfano...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Je kiitendo cha Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wajipambanie wenyewe katiba mpya wakati yeye ndiye alipaswa kuweka mchakato huo ni U-Yuda?

    Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya hayo ni saliti mkubwa kwa Watanzania.
  9. JamiiForums Tanzania Nchimbi acharuka, atoa mbivu na mbichi juu ya Katiba.

    Hotuba aliyotoa Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi jana kwa vikundi vya wanaharakati na viongozi wengine ni nyundo. Nyundo hii ni eye opener. Nchimbinkatema che che ambazo hata wana CCM wanagwaya. Lakini all in all kasema ukweli mtupu bila ule unafiki wa akina Wasira ambso tumeuzoea. Kwa upande...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Pambaneni Mpate Katiba Mpya ya Mwafaka Itakayodumu Miaka 50" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Katika Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa kauli nzito kuhusu Katiba Mpya. Alisema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Hakuna Sheria Inayotengua Katiba, Watanzania Pambaneni Mpate Katiba Mpya!" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu ujumbe wake na pia kuwaelekeza mahali pa kupata taarifa zaidi. Katika hotuba yake, Dkt. Nchimbi...
  12. JamiiForums Tanzania Yuda anapoitamani katiba mpya

    Yuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu. Barabara ikijengwa ni Mama. Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama. Hospital ikijengwa ni Mama. Hela zote ni Mama. Sasa huyu Yuda wa Peramiho katokea wapi,anataka kuzika fahari ya Mama. Deni la taifa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ijapokua haaminiki lakini tufanyie kazi maneno yake mawili,"Pamabanieni,na komaeni mpate katiba"

    Inafahamika mapambano yetu sio ya silaha. Tunawaomba Polisi watuache tuendelee kupambana. Njia zetu za mapambano ni zilezile. -Maandamano bila Kikomo. -Mikutano ya hadhara bila kuzuiwa -Kuishitaki serikari Kwa taasisi kimataifa -Kuhamasisha watu waongeze kuipinga serikali haramu. Sasa tutakua...
  14. JamiiForums Tanzania PHD Nchimbi anadai KATIBA Mpya, Vilaza akina Ridhiwani, Mwigulu, Abdul, wanasema Achaneni na KATIBA Mpya

    Mwigulu, na Magenge yenu yote, nyinyi fahamu ya kua JINAI HAIFI. Kama sio kuwaadhibu Nyinyi, Tutaadhibu Vizazi VYENU , Vizazi VYENU na vyenyewe vitalazimika Kuaanza Upya !!.
  15. JamiiForums Tanzania Nashauri mchakato wa katiba mpya uanze 2030s kwasasa tujenge kwanza uchumi wetu otherwise ni kuchezea hela

    Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia. Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania CCM wanakawaida ya kumsema Marehemu, Lengo letu kuu ni Katiba

    Nchimbi ametangaza vita ya Urais kwa aliyopo au Wanaotaka, kama ilivyo ada ya CCM Samia akiwa hayupo watamsema sana na matusi juu, baadaye wanarudi walipokuwa. Tusikubali ulaghai unaopikwa
  17. JamiiForums Tanzania Muungano unachelewesha kuandikwa Katiba Mpya. Tusipoteze hela nyingine

    UKAWA na CCM walitutia hasara ya mabilioni baada ya kukwamisha mchakato wa kuandika Katiba mpya uliotumia mabilioni yetu ya fedha. UKAWA na Mzee Warioba walitaka Muungano na serikali tatu na CCM walitaka serikali mbili za sasa. Kila kundi lilikuwa na hoja nzuri ila CCM walikuwa na hoja nzuri...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: Kuna watu wanasema wanataka Katiba ya Warioba. Warioba hana katiba

    Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa hakuna Katiba ya Jaji Warioba bali Tume hiyo iliundwa kwa aajili ya kukusanya maoni tu. "Tume ya Jaji Warioba ilikuwa haiandiki katiba...
  19. JamiiForums Tanzania Tunaposema tunataka katiba mpya,kwani ni yote ya kuibadili au ni baadhi ya vipengele?

    Hallelujah hallelujah! Ombi langu kwa serekali yetu tukufu,sioni umaana wa kubadilisha katiba yote kwa maana ya kuanza upya,je haiwezekani jambo hili likafanywa kwa kugeuza baadhi ya vipengele ambavyo vimeshindwa kuendana na wakati wa sasa? *Kwa imani yangu vipengele vinavuopigiwa sana...
  20. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Apinga KATIBA Mpya, Apinga kuachiwa kwa Lissu , yote haya ni sababu ya 'Urais' aloandaliwa anaona unapepea peeeee

    Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan. Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…