Kuzuia uchaguzi ni pamoja na kuiba kura, kutoa rushwa na kuvunja mchakato wa kupatikana wagombea ndani ya chama na kuvunja katiba ya chama.
Kuzuia uchaguzi sio kusema unataka mabadiliko au maboresho ya kiuchaguzi bali ni kile kitendo cha wizi, rushwa na uvunjifu wa katiba ya nchi na chama...
Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa.
Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
“Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.”
Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
Kila wakichekecha kipenzi anadondoshwa, wakimrudisha inabidi kipenzi mwingine aanguke, mchujo umekuwa umekuwa vita🤣🤣🤣
Halafu sasa kulivyokuwa hakuna siri, wanaotiwa ngumu wote wanakuwa wanajulikana, wakifikiria kurogwa na kuwahishwa kwenda kumuona mwenda zake wanasema aaaah aaah embu tufikirie...
Niliwahi kuandika humu nikasema kuwa katiba haikutokana na genetic factor,bali katiba bora lazima iakisi mazingira yaliopo,povu zikawa nyingi,nikatolea mfano wa PK.
Demokrasia mnayoipigia chapuo mlio wachache ni ile tuliokaririshwa na kurithishwa miaka mingi iliyopita lkn leo kuna sehemu...
Wakuu,
Haya ndo yanayojiri uko kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, wajumbe wanataka Mabadiliko
Hao watatu wameharibu kura sijui ni kina nani
Soma pia: GE2025 - CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu
Kweli ya Mungu mengi, nani angejua Mkutano wa CCM unaweza fanyika bila Chawa?
Bongo Movie na Chawa wote wa CCM wwalikuwa anapambana kushonesha nguo za Kijani hadi kuwatukana mafundi wetu.
Hii picha sasa ndo wajue Dunia hubadilika na mambo ya kibadilika hawana uwezo wowote.
Chawa sijaona...
Kama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za uchaguzi?
CCM inaogopa uchaguzi huru na wa haki kuliko inavyoogopa kifo.
Yaani Rais Mwenyekiti CCM Taifa, aliyevurunda, anaamua kubadilisha vifungu vya Katiba viendane naye, Huu sindo Udikteta?.
Kikao gani Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu, au Kikao Cha Halmashauri Kuu kipi, kilichokaa, kujadili hayo yanayoendwa Badilishwa??
Je yanayobadilishwa ni Kwa Faida ya...
Msiruhusu mtu abadilishe katiba ya chama kwa maslahi yake binafsi atakuja huyu atafanya hivi mwishoe itazoeleka na kila mtu,
Hakikisheni mtu akivunja katiba anapaswa kuomba radhi au kujihuzuru sio anavunja katiba alafu mkisema anaibadilisha ili iendane na makosa yake na sio kuona makosa yake...
Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
ccm
chama
haramu
katibakatiba ya chama
katiba ya nchi
kubadili
kubadili katiba
kufanya
mabadiliko
mabadiliko ya
mabadiliko ya katiba
mgombea
nchi
njia
wameshindwa
Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.
Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !
Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.
Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe...
Katibu wa CCM, Amos Makala ametangaza leo kuwa CCM wanatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa na utatanguliwa na vikao vya Kamti Kuu Halmashauri Kuu Taifa kupitia njia ya Mtandao.
Pia ameeleza kuwa ajenda ya kikao hicho ni Marekebisho ya Katiba ya Chama hicho ila najiuliza kama...
Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa .
Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt...
Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana.
Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza.
Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
Kweli siasa ni sayansi, ukiijua michanganyiko yake Wala hupati tabu.......watu wanapiga practicals vizuuuuri na zinaleta majibu mujarabu kabisa.
Kwa wiki hizi mbili humu jukwaani ni uchambuzi tu wa katiba na vifungu vyake ya ccm mwanzo mwisho kutoka kwa chadema waliojaa humu. Kuna wazee...
Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma.
Na sasa anafanya kwa vitendo.
Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu.
Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.