katiba

  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Samia afundishwe kivitendo kuwa Katiba sio "kijitabu" Bali ni " Likitabu likubwa"

    Hiki alichoita " Kijitabu" Ndio kilichomuweka pale, sasa kwakuwa sasa anajiona yeye ni mkubwa kuliko katiba, basi agundishwe kivitendo maana na ukubwa wa Katiba. Yawezekana ndio maana hata uongozi hauwezi maana hana msingi unaomuongoza (Katiba) hivyo afundishe kwa " Vitendo"
  2. R

    JamiiForums Tanzania Guinea yafikia Mwisho wa Kampeni za Marekebisho ya Katiba, huku Upinzani Wakikosekana

    Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi Doumbouya kutafuta urais. Shughuli mbalimbali zikiwemo kusoma Quran, tamasha za reggae na sala...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umoja wa Upinzani yatoa Madai 21 dhidi ya Tume ya Uchaguzi (IEBC) kwa kukiuka katiba kabla ya uchaguzi

    Upinzani Umeungana umetuma orodha ya madai kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), wakidai kuwa tume hiyo imekiuka masharti ya Katiba. Kupitia barua yao, upinzani umesema kuwa kufichua taarifa hizo ni muhimu ili kuhakikisha IEBC inatekeleza wajibu wake ipasavyo na kuimarisha haki ya uchaguzi...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulega: Ni Samia pekee anayeweza kuleta Katiba mpya

    Waziri wa Ujenzi na mgombea ubunge wa Jimbo la Mkuranga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega amesema kuwa Watanzania wanapaswa kumchagua Samia Suluhu Hassan kama kiongozi wao wa Taifa ili kufanikisha ndoto ya kupata Katiba mpya. Akizungumza leo Jumamosi Septemba 6, 2025...
  5. submeter kata umeme

    JamiiForums Tanzania Submeter janja/submeter kata umeme

    🔌 Submita kata umeme ni kifaa kinachotumika kudhibiti matumizi ya umeme kwa kila sehemu ndani ya jengo—kama vile chumba, ofisi, au nyumba ndogo—kulingana na kiasi cha umeme kilicholipiwa. Maelezo ya kina: Submita (au sub-meter) hufungwa ndani ya jengo lenye wapangaji au sehemu nyingi...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyojinadi kuleta mabadiliko ya Katiba baada ya uchaguzi kupitia Ilani

    Madai ya kuwa na katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano yamekuwa ya muda mrefu, tangu wakati wa kurejesha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, ambapo Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipendekeza suala hilo ili katika iliyokuwepo iendane na mfumo huo. Hata hivyo, mabadiliko ya Katiba hayakufanyika wakati...
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya;Mahakama ipewe mamlaka kuhoji Tume ya uchaguzi na matokeo ya Urais.

    1. Matokeo ya Raisi yahojiwe Mahakamani kama yaliyo ya Diwani na ubunge.kwa kuwa wagombea wa urais wanaweza kufanya makosa ya kiuchaguzi. 2. Tume ihojiwe na Mahakama inapo enda kinyume ktk kutimiza majukumu yake. 3. Itungwe sheria ya kuwezesha INEC kufanya Kazi za kusimamia uchaguzi Kwa sasa...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama angekuwa na roho ya kisasi kama Magufuli Polepole na wenzake waliotaka kupindisha katiba Samia asiwe Rais leo hii tungesema mengine

    Magufuli alikuwa na roho mbaya na ngumu. Ndiyo maana tunasema ni mtsusi. Ukimkosea hana msamaha Ndio maana tunaomjua Magufuli tunasema Polepole ni muongo na tapeli wa kiasiasa. Eti Membe alipanga mipango ya kumuua Magufuli na Magufuli na Magufuli amekaa tu anasubiri kuuwawa. Magufuli huyuhuyu...
  9. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania when Lebanon was Christian and democratic!

    hapa zamani kidogo nchi ya lebanon huko uarabuni ilikuwa ni majority Christian na pia ya kidemokrasia, leo hii ni majority muslim ... https://www.youtube.com/watch?v=XdmCH9WC1kA
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wito: Tubadilishe Katiba, Samia sasahivi ni Rais au ni mgombea wa Urais?

    Nadhani IKULU Sasa zilitakiwa ziwe wazi, kila mgombea atokee kwke akambe KAZI ya kuajiliwa kuwa Rais Inakuaje Samia analala IKULU? Chanzo ni katiba MBOVU, Kama majimbo hayana wabunge, kama wizara hazina waziri ni wakati mwafaka Sasa Mgombea wa CCM atokee IKULU aombe kibalia IKULU atokeeeee
  11. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Katiba liwe somo lifundishwe kwa Wanafunzi wa Sekondari haswa kidato cha nne

    Katiba ni nyaraka kuu ya taifa lolote. Ni dira, mwongozo na msingi wa maisha ya wananchi wake. Inabeba kanuni, sheria, haki na wajibu wa kila raia pamoja na viongozi wanaoongoza. Kwa maana hiyo, katiba si jambo la wanasheria pekee, bali ni chombo cha kila mwananchi. Hata hivyo, changamoto kubwa...
  12. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

    Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana. Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm. Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani...
  13. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kuhusu nafasi za Mawaziri mara baada ya Bunge kuvunjwa?

    Nadhani Watanzania tumekuwa wazembe sana kuhoji vitu muhimu. Tunashindwa kuhoji hasa kuhusu akina Bashungwa, Bashe na wengine kuendelea na majukumu ya Uaziri na huku Bunge limevunjwa. Sheria inasemaje nafasi ya Uaziri pindi Bunge linapovunjwa.
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakati JPM akipondaponda demokrasia, hii ndiyo shughuli aliyokuwa akifanya Polepole, aliisahau katiba mpya, atakumbukwa kwa kusifia "vieitee"

    Alikuwa Katibu Mwenezi wa CCM aliyetumia muda mwingi kufanya mambo yasiyoeleweka. Alikuwa anakata mauno mbele ya watu, badala ya kuongelea wakulima, wafugaji au katiba mpya.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sijaona lisilo la kweli alilosema Polepole; anzia CCM kukiuka katiba hadi kujiuza kwa matajiri

    Ukweli ni kwamba Polepole ameanza kunikumbusha enzi za Nyerere katika misimamo yake na kuonyesha anasimamia sheria na taratbu na miiko na maadili (integrity) katika uongozi. Sasa anazidi kujionyesha kuwa tofauti sana na genge la wahuni walioishika serikali na nchi kwa ujumla, na ni wazi...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mzee Baraka Shamte: Wanaosema uteuzi wa Samia haujafuata katiba ya CCM, hawajaisoma

    MZEE BARAKA SHAMTE AUNGURUMA KUHUSU KANUNI NA KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI Mzee Baraka Shante ni Mtoto wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Zanzibar kabla ya Mapinduzi na Kada Mbobezi wa CCM na miongoni mwa waanzilishi wa Afro Shirazi Party Youth League Wing. Baraka Shamte amesema wanaosema uteuzi wa...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agenda ya Wananchi katika uchaguzi sio katiba bali ni maswala ya Elimu,Maradhi na Umasikini

    Bado kama Taifa yatupasa kuakisi agenda muhimu za uchaguzi. Kwangu mimi bado narejea katika agenda mama ma za msingi zilizowahi kusemwa mara baada ya kuoata uhuru. Bado kama Taifa hatujakamilisha kwa kiwango stahiki utekelezaji wa agenda na maono haya muhimu yaliyowahi kutajwa miaka hiyo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la katiba nchini Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi wa kumuondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa Urais

    Baraza la Katiba la Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wa kumwondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa urais wa tarehe 12 Oktoba. Wakati mwanasiasa huyo machachari akiondolewa, Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 — ambaye pia alikumbana na...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mongella: Uteuzi wa mgombea Urais CCM haukukiuka katiba

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella amesema mchakato wa kumteua mgombea wa urais wa Tanzania ulizingatia Katiba ya chama hicho.
  20. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania Project 2035

    TANZANIA PROJECT 2035 VISION Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Afrika kufikia mwaka 2070's in term of GDP na PPP Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kufikia mwaka 2100's in term of GDP na PPP MISSION Nilitangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania 29/6/2024 kwa mara ya kwanza, kwa...
Back
Top Bottom