katiba ya tanzania

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi AGM ya TLS: Wanasheria Tumweleze Ukweli Kuhusu Ubatili wa Katiba Yetu na Sheria Zetu, Turudishe Haki Kuu ya Msingi

    Wanabodi, Utambulisho Japo sisi wanabodi wa jf, tunaitana wanabodi, na kutambuana kwa majina yetu ya ki jf jf, sio mbaya kunapotokea hoja ya msingi kwa mustakabali mwema ya nchi yetu, watu tukajitambulisha tena humu who we real are, hivyo mimi mwana JF mwenzenu, Pascal Mayalla, (Pasco wa JF)...
  2. JamiiForums Tanzania Kila siku kazi yetu itakuwa kuwasifia Wakenya

    Walianza zamani kuonesha wao wako mbele kisiasa walipoitoa KANU madarakani na KANU ikakubaliana na matokeo. Sisi mpaka sasa CCM Bado inasema yenyewe ikitoka madarakani nchi itaingia vitani. Wakaja wakabadili Katiba yao na wakabadili kabisa mfumo wao wa Serikali. Tukawasifia. Sisi hapa bado...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM na Serikali tuambieni ukweli, kelele za kutaka X(Twitter) ifungiwe ni maandalizi ya kuzima mitandao kipindi cha uchaguzi

    Wakuu, CCM hivi hamuoni vibaya? Mpaka sasa Club House haipatikani halafu tena hao kunyanyua midomo eti mnataka kufungua X(Twitter) kwa kisingizio eti inahamasisha maudhui ya Ushoga! Huu ni mtandao pekee ambako kuna maudhui ya ngono nchini? Kuna Instagram, Tiktok, Facebook, huku hakuna...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania tuliirithi katika mfumo wa Kifalme wa Uingereza hivyo Rais ni kama Mfalme na family yake ni sehemu ya Taasisi!

    Kuna mambo Yako wazi kabisa na hauwezi kumlaumu Rais yoyote wa JMT kwa sababu Katiba imetoa Mwanya Rais wa JMT ni sawa kabisa na Mfalme ndio sababu first Born wa Rais wa awamu fulani humu Mitandaoni alibatizwa kama Prince Tangu enzi za Nyerere taasisi ya urais iliwahusu pia Ndugu na...
  5. JamiiForums Tanzania Arusha: Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania ulioendeshwa na TLS

    Arusha: Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania Wakili Gloria Baltazari, mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi. Mariam Othman akiwakaribisha na kutoa neno kwa washiriki wa Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania unaofanyika jijini DArusha leo tarehe...
  6. JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania ni nzuri, lakini ya Kenya ni bora zaidi kuliko ya Tanzania

    Inasemekana, Naibu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Kenya, Jenerali Ogolla, alitumwa kuzuia Ruto asitangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Urais Kenya, lakini azma hiyo haikufanikiwa. Viongozi wa Tume ya uchaguzi hawakuuogoopa Ujenerali wake. Waliiheshimu na kuisimamia Katiba yao kikamilifu...
  7. JamiiForums Tanzania Wakili Serikali Mulwambo: Mantiki sahihi ni kuingalia IGA dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo sheria za Tanzania

    Wakili wa serikali Mulwambo ametoa somo kwa wanasheria na watu wengine kuwa kwa vile IGA ni makubaliano ya kimataifa kiitifaki inapaswa kuangaliwa dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo kupitia sheria za Tanzania He implored the Court to place the IGA on one hand and the Constitution on the other...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi anavunja katiba ya Tanzania?

    Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza kuanzisha mfuko wa Hija kwa waisilamu! Huenda ulianzishwa au la, hata hivyo hilo si jambo analotakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hii hapa Ibara ya Katiba ya Tanzania aliyoigusia Lissu mkutanoni. Je, alikuwa sahihi?

    Ni Ibara ya 99 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Inabeba dhana ya utaratibu wa kutunga Sheria kuhusu mambo ya fedha. Ibara husika ina ibara ndogo 3. Tafadhali someni Ibara hii na mjiridhishe iwapo Wakili Msomi mwenzangu Tundu A.M. Lissu alikuwa sahihi au la kwenye hoja yake ya kuhusu...
  10. JamiiForums Tanzania Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio kila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani?

    Wanabodi, Utangulizi: Hizi ni makala elimishi kutoa elimu ya uraia kwa watu wa kawaida kuijua katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977. Mtoa Mada ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea na pia ni wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea haki katiba na kujitolea kuelimisha...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania na Sifa za wabunge

    Hivi ni kweli Watanzania wanahitaji KATIBA MPYA kwa sasa? 1) Wasomi na wote wasio na maslahi binafsi na katiba. Hawa watasema ndio kwa kuangazia mambo kadha wadha ambayo yanaonekana ni chechefu. Mfano, KATIBA ya sasa ya Tanzania inazitambua sifa nyingi za mgombea nafasi ya siasa km Ubunge...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania CCM wanabadilisha Katiba yao ya 1977 iendane na wakati. Kwanini hawataki tubadili Katiba ya Tanzania ya 1977?

    #TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa. #TukutaneAprilMosi #MkutanoMkuuMaalumDodoma
  13. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Data: Sheria ya Kulinda Taarifa ni muhimu

    Akizungumza kwenye kipindi cha Clouds 360 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Sheria ya Ulinzi wa Taarifa ni ya msingi katika Tanzania ya kidijitali, ili watu wajiamini na kuwa huru Haki hii ya Faragha ipo kwa mujibu wa Ibara ya 16 ya Katiba ya Jamhuri ya...
  14. JamiiForums Tanzania Karibuni tujadili Ibara za kubaki, kuondolewa au kufanyiwa marekebisho kwenye Katiba ya Tanzania

    Wakuu nawasalimu kwa jina la jamhuri ya JMT. Nataka tujadili katiba iliyopo kwamba vitu gani vibaki, viondolewe kabisa au kufanyiwa marekebisho. Mimi ninawaleteeni ibara tatu ambapo ya kwanza naona ibaki ilivyo, ya pili ifanyiwe marekebisho na ya tatu iondolewe kabisa. Ukizisoma ibara hizo kwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nani anafuata Katiba ya Tanzania ??? Naiona ipo ipo tu lakini kiuhalisia hakuna,labda walala hoi wanyonge,

    Kaondolewa yule wa Mahesabu akachomekwa mwengine ilifuatwa Katiba ? Sasa hata huyu Ndugai anaweza kuondolewa bila ya kufuatwa Katiba, Kwa Sasa Raisi ndio Mkuu wa Nchi hivyo any time anaweza kumtimua mtu .
  16. JamiiForums Tanzania Mashirika mbona hayatoi gawio kama tulivyozoea wakati wa awamu ya tano?

    Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
  17. JamiiForums Tanzania Je, Katiba yetu inamruhusu Rais Samia kukaa miaka 15 Ikulu?

    Hivi imekaaje kwa utaratibu wa Katiba yetu? Maana: Pierre Nkurunziza alikaimu miaka mitano ya mwenzie akaja kukaa kumi yake ikawa 15. Edgar Lungu alikaimu miaka mitatu akakaa yake mitano na akagombea mitano mingine akashindwa. Je, kwetu Tanzania SSH kwa kuwa amekaimu mitano ya JPM, sasa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Historia ya Katiba ya Tanzania na mabadiliko 14 ya Katiba tokea Uhuru mpaka sasa

    Katiba ya nchi ni muafaka wa kitaifa unaoanisha namna taifa linavyohitaji kujitawala katika mambo yote na kuendesha mambo yake. Hivyo basi, Katiba ya nchi ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali pia huanisha haki za msingi za wananchi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania ni ya nchi za kifalme na CCM ni "kama" dini ya Serikali hata CHADEMA wakiwa madarakani hawataibadilisha

    Katiba ya JMT imekaa kifalme na mkuu wa nchi amepewa nguvu za kifalme na katiba kwamba yuko juu ya kila kitu. Hata CCM ni chama kilicho katika mfumo kama wa dini kuna watu wanaamini katika CCM kuliko wanavyomwamini Mungu na hii hautaikuta katika vyama vya upinzani ambako wamejazana watafuta...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Katiba ya Tanzania sio ya Rais, wala CCM, wala Upinzani, ni ya Watanzania wote na huna mamlaka nayo. Kuapa kuilinda sivyo unavyofikiria

    Nimeshangazwa sana na habari iliyopo kwamba Rais Samia alimuagiza Mkuu wa Polisi Mwanza kuzuia watu kufanya kongamano juu ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania; kwa malaka gani aliyo nayo Samia juu ya Katiba? Je Rais Samia haelewi kwamba japo ana mamlaka ya Uraisi wa Tanzania, uraisi wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…