Huu ni mda muafaka wa kupush katiba mpya

Huu ni mda muafaka wa kupush katiba mpya

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,860
Reaction score
7,529
Katikà wakati mzuri wa kupush katiba mpya basi ni kipindi hiki hasa kwa madhila yaliyotokea jana na kama tunania ya dhati ya kuiponya nchi
  1. Kupunguzà madaraka ya Rais
  2. Kuhakikisha viongozi wa tume ya uchaguzi hawachaguliwi na Rais
  3. Jaji mkuu kutokuchaguliwa na Rais
  4. Dpp kutokuchaguliwa na Rais
  5. Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais
  6. Spika wa bunge kutokutokana na chama chochote cha siasa
  7. Waziri kutokua mbunge
Haya ni maoni yangu unaweza ukaweka yako
 
..Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi.

..walioumizwa, na kupotea, lazima HAKI yao ipatikane.

..Katiba Mpya isitumike kama chambo cha kupotezea uovu uliotendeka kwa Watanzania wenzetu.
 
Back
Top Bottom