katiba mpya

  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zungu na genge lao wanataka kuchezea Katiba, Wanaleta Mabadiliko ya baadhi ya Vifungu, Mf Urais baada ya Rais Kufa

    Mauaji ya Halaiki, yamewatisha wao wenyewe !! Wanahaha Kila Mmoja kuhakikisha Maisha yao yanakua Hai na Wanayalinda,Kwao na VIZAZI vyao. Ukweli ni kua KWA MAUAJI WALIYAFANYA , Hatuwezi kamwe kuwasamehe wao na VIZAZI vyao. Hukumu dhidi yao ni endelevu na ya kizazi Hadi kizazi. Wapo...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ado Shaibu auliza kuhusu katiba mpya Mgombea ZUNGU asema iko njiani

    "Ndugu mgombea mheshimiwa Zungu ningependa kufahamu katika bunge utakaloliongoza iwapo utachaguliwa kuwa spika litakuwa na mchango gani katika kuboresha demokrasia nchini Tanzania hasa katika muktadha wakujenga mwafaka wa kitaifa na kuhakikisha Tanzania inapata katiba mpya?". Mbunge mteule wa...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya kweli lazima yahusu katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu

    Nimeona makamu wa Rais nchimbi akiongelea kuhusu swala la maridhiano Kama kweli tuna nia ya kuwa na maridhiano ya kweli tunatakiwa kuwa na katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu Kwanini nasema hivyo kunaweza fanyika jitihada za kuunda katiba mpya ila ikawa mbovu kuliko hii ya sasa ambayo...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania 27January 2001, CCM iliekeza Majeshi kuua na kubaka watu Zanzibar waliotaka Katiba Mpya

    Swali kwa CCM, Mtaendelea kutumia Polisi watuue hadi lini? Watu wakilalamikia Uchaguzi tu muunatuma Polisi watubambikize kesi, wakidai katiba mpya tu risasi. Mtatuua hadi lini? Ni mauaji ya sisi kwa sisi yatafika kikomo? Mtu akishavvaa sare yya jeshi anajiona si Mtanzania. Anageuka kuua ndugu...
  5. 888I

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya — Dawa ya Mifumo Inayosuasua?

    Baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, mitaa mingi nchini imejawa na mijadala, midomo na mikono juu — wengine wakiita kilichotokea ni maandamano, wengine wakisema ni vurugu, na wachache wakiona ni kilio cha matumaini kilichopotea. Lakini tukitulia na kuangalia kiundani, pengine yote haya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Breaking Point: Despotism, Stalled Constitution, and Protests

    Tanzania's National Electoral Commission (NEC) has officially declared incumbent President Samia Suluhu Hassan the winner of the nation's presidential election with a staggering 97% of the vote. That controversial mandate was solidified on November 3rd, when the president was sworn in at a...
  7. A

    JamiiForums Tanzania CCM inazidi kupoteza Fursa ya Kujijenga Upya Kupitia Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo. Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Huu ni mda muafaka wa kupush katiba mpya

    Katikà wakati mzuri wa kupush katiba mpya basi ni kipindi hiki hasa kwa madhila yaliyotokea jana na kama tunania ya dhati ya kuiponya nchi Kupunguzà madaraka ya Rais Kuhakikisha viongozi wa tume ya uchaguzi hawachaguliwi na Rais Jaji mkuu kutokuchaguliwa na Rais Dpp kutokuchaguliwa na Rais...
  9. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania JE KATIBA MPYA IKIPATIKANA, LISSU, HECHE NA POLEPOLE WAKIACHIWA, MAANDAMANO YATAKOMA?

    Jana Wananchi wa Tanzania waliamua kufanya maandamano ya kupinga Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2025. Miongoni mwa vitu wanavyodai ni KATIBA MPYA ya WARIOBA Iliyopendekezwa na Wananchi, PIA kuachiwa huru kwa TINDU LISSU, HECHE NA POLEPOLE, Huko Arusha nimeona wamebeba...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PPR Vox Pop: Mwandishi na Mhariri Nguli Absolom Kibanda, Anazungumzia Ilani ya CCM, Kuhuisha Katiba Mpya ni Kubwa!.

    Wanabodi Nazungumza na Mhariri Waandamizi Absolom Kibanda akizungumzia ilani ya CCM. https://youtu.be/8BSHw4ZM7A8?si=Juc7jONBbKGtmz3b Karibu Paskali
  11. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM hawawezi kutupa Katiba Mpya nzuri

    Nasema hivi kupitia sababu zifuatazo Katiba hii ya mwaka 1977 ilitengenezwa na mwalimu julius Nyerere, ila cha ajabu miaka ya mbeleni kwa nyakati tofauti Nyerere amekuwa akionyesha mapungufu ya hii katiba ila hakujaribu kuibadilisha sanasana aliiendelea kuifanyia amendment mpaka anafariki...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania JWTZ, kwa huu Ufisadi unaoendelea nchini, tukubaliane tu muongoze kipindi cha mpito kulipatia Taifa Katiba Mpya

    Kampuni yenye mahusiano na mtoto wa Rais Abdul inapewa tenda za kuchimba Maliasili za Taifa kwenye moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania. Kampuni hii inachimba madini ya Makaa ya Mawe kwa kiwango cha kutisha na kuyasafirisha nje ya nchi. Kampuni nyingine ya swahiba wa Rais Rostam Aziz inapewa...
  13. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa katiba mpya ya warioba ilikuwa ni wake up call ila kama wananchi tuli-ignore tukahisi hautuhusu

    Kuanzia mwaka 2010 vuguvugu la katiba mpya liliongezeka maradufu kabla sijaendelea ngoja niongelee jambo flani Mungu kama kuna Jambo baya linakuja mbeleni kuna namna utapewa taarifa ufanye jambo mara nyingi inakuwa anaondoa amani hasa pale unapofikiria jambo flani ukignore madhara utakuja...
  14. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Baba wa Taifa Kuhusu Katiba na ya Rais wa Sasa Kuhusu Katiba Mpya

    Maneno ya Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere enzi za uai wake kuhusu Katiba: Manemo ya Rais wa sasa wa awamu ya 6, Mhe. Samia Suluhu Hassan
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Biteko: Samia ni msikivu, atawapa Katiba mpya

    "Mgombea wetu umetufundisha mengi na umethibitisha kwamba utu kwako ni kipaumbele na pia kazi ndiyo msingi wa maendeleo kwamba hata kama tutakaa kama Taifa tukazungumza mambo mengi tutakavyo kama hatufanyi kazi maendeleo ni ndoto na maendeleo yoyote hayawezi kutokea kama hakuna utu...
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia asisitiza katiba mpya itakamilika awamu ya sita

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa mchakato wakupata Katiba mpya utakaika katika kipindi cha awamu ya sita. Soma pia: Samia: Tutaendeleza mchakato wa Katiba Mpya kama ilivyo katika ilani yetu ya CCM “Pamoja...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutaendeleza mchakato wa Katiba Mpya kama ilivyo katika ilani yetu ya CCM

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameeleza kwamba katika kutambua umuhimu wa mshikamano kwa Watanzania wote, endapo atapewa ridhaa ya kuongoza tena, atahakikisha Serikali yake inaendeleza mchakato wa kupata Katiba mpya...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Olengurumwa: Katiba mpya inakwamishwa na CCM mtandao wanaonufaika na mfumo

    Wakuu Je, Olengurumwa aliyasema maneno haya au amemezeshwa? kwamba Katiba mpya inakwamishea na CCM mtandao wanaonufaika na mfumo.
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hawawezi kuleta Katiba Mpya, Kwa sababu haiwapi Usalama wa familia na Ufisadi wao ,Genge hili la Wahuni linaondoshwa Kwa Nguvu ya Umma tu!

    Mateso ambayo Hawa wahuni wametupatia Kwa miaka hii Minne, hamna wa kuyafuta, hamna Cha maridhiano Wala blaa blaa za aina hiyo !!. Hawa wahuni wanajua kabisa kua Wakiachia Nchi hii Tutawafunga, Tutawanyonga ,Titawafilisi wao wenyewe kama wapo hai, au familia zao na watoto wao na Mali zao ...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya itaiondoa CCM madarakani kwa sababu zifuatazo. Hata mstaafu Kikwete aliona ndio maana akaitia kapuni

    Chaguzi za rais ,wabunge na madiwani zitakuwa huru. Sababu tume ya uchaguzi itakuwa huru.Wizi wa kura utadhibitiwa. Mahakama zitakuwa huru, sababu majaji watakuwa wanaomba kazi hawatakuwa wateule wa rais. Kesi zinazohusu uchaguzi zitakuwa huru na upendeleo utakoma. Viongozi waliofanya...
Back
Top Bottom