katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania DC Jerry Murro apiga marufuku mijadala ya Katiba

    DC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya Katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara. DC huyo amesema wilaya hiyo haihitaji katiba bali inahitaji huduma kama maji, shule
  2. P

    JamiiForums Tanzania Maendeleo sio kipaumbele cha Wananchi wa Tanzania, Tunachotaka ni Katiba mpya.

    "Sasa sisi tuna simple solution kuwasaidia haya yote; 👉 Hatuko tayari kuendelea na hizi nonsense theories zenu za kukuza uchumi 👉Tumeridhika hapa tulipo na hatutaki kwenda hata hatua moja mbele mpaka tupate katiba 👉CCM hamna uwezo tena wa kukuza uchumi wala kuleta maendeleo" (Asiyefahamika july...
  3. JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA KWA MAENDELEO YA TANZANIA

    KWANINI KATIBA MPYA NDANI YA TANZANIA NI MUHIMU? Tanzania ni nchi ya demokrasia na inaongozwa kwa kufuata sheria na muongozo wa katiba iliyopo ya mwaka 1977 .kwa mda mrefu wananchi wa Tanzania wamekuwa kweny madai ya kupambania upatikanaji wa katiba mpya KATIBA ZA...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hoja za msingi za Warioba zilivyopotoshwa juu ya Katiba Mpya

    Mzee Warioba akiongea katika kipindi cha dak 45 cha ITV, alikuwa na hoja za msingi. Katika hizo, la msingi zaidi kwa taifa, alisema: “A new constitution is a must,” he said. “The draft constitution reflected the citizens’ views and their recommendations of how this nation is supposed to be...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Shida ipo wapi mpaka mmeng'ang'ania na katiba ya Chama kimoja?

    CCM kama hamna nia ya leo kukubali mabadiliko ni bora mkajiuzulu ili wanaoweza kutekeleza azma ya kuipatia nchi hii KATIBA MPYA inayokubalika kwa Nchi zote mbili Tanganyika na Zanzibar ni watimize kuileta tunu hii. Shida ipo wapi? Mpaka mmeng'ang'ania na katiba ya Chama kimoja? Hii Katiba...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Madai ya katiba Mpya yanavyojisukuma Yenyewe

    Msajili wa Vyama vya Siasa kasikika kuhoji kwenye sakata la kufukuzwa kwa wale 19. Kwa mujibu wa Naibu Katibu mkuu CHADEMA bwana Benson Kigaila: "Tumemjibu kuwa hatuwezi kutoa maelezo hayo kwa sababu barua aliyotuandika hajaambatanisha malalamiko ya hawa waliomlalamikia.Tunakiona hapa ni...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mapigo matatu yapunguza Kasi harakati (agenda) za kudai katiba mpya

    1. IGP Siro haja na taarifa zenye utata dhidi ya Lissu 2. Dialo na Mtaka watoa kauli nzito kuhusu watawala na kutakiwa kuomba radhi kinyume na misimamo yao 3. Msajili wa vyama ahoji kwanini wabunge 19 walifukuzwa chadema Huu ni mwendelezo wakuwatoa Wana vuguvugu la katiba kwenye harakati za...
  8. JamiiForums Tanzania Makongamano hayawezi kutupatia katiba mpya. Kama taifa tunalohitaji katiba mpya tufanye nini ili tufanikiwe?

    Ni wazi kuwa kama taifa la Tanzania tunahitaji katiba mpya tofauti na ile ya mwaka 1977. Hii ni kwa sababu Tanzania ya mwaka 1977 sio kama ya leo. Leo hii watanzania wanajua haki zao. Wanajua umuhimu wa kuwa na haki za kudai haki zao kwa kila namna. Katiba ya Mwaka 1977 haijawapa hizo haki...
  9. JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya kuendelea Mkoani Mwanza, vigogo kadhaa kutoa mada

    Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kila mahali hivi sasa , na kwamba watoa mada ni miongoni mwa wazito kadhaa , idadi yao inatajwa kwamba huenda ikazidi wale waliojitokeza Dar es Salaam MUHIMU : Wahudhuriaji wanaombwa kuzingatia mwongozo wa WHO wa kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona
  10. JamiiForums Tanzania Furaha Ya Maiti

    Naita furaha ya maiti kwakua sasa jamii iliyoumia na kukaa kiunyonge kwa miaka mingi inafurahia namna mpya ya maisha yasiyo ya vitisho lakini ukweli ukibaki palepale kuwa bado jeneza na kaburi ni lilelie ila sanda pekee ndiyo imebadilishwa. => Kwanini makato ya miamala yaongezeke => Kwanini...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya sawa, lakini unadhani watu wengi wana weledi wa kutosha: Case Study South Africa

    Naitazama katiba mpya kama swala lenye ulazima na tija sana katika uendeshaji wa nchi: Sababu kuu ni moja sheria zetu nyingi zinapwaya na kuhitaji marekebisho kila mara ila sidhani kama kuna mambo muhimu matatu ya kushughulikia nchi hii Katiba itaingia katika miaka mitatu ijayo. Nadhani kuwe na...
  12. JamiiForums Tanzania Kibonzo kuhusu katiba mpya na iliyopo

  13. JamiiForums Tanzania Maneno ya Jaji Warioba kuhusu Katiba Mpya

    ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amepigilia msumari kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya, na kutaka maoni ya wananchi yasipuuzwe kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza walishirikishwa kuitengeneza. Akihojiwa jana kwenye kipindi cha dakika 45 kinachorushwa hewani na...
  14. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Kubadili sheria nyingi katika kila Bunge kunaonesha kuna umuhimu wa Katiba Mpya

    Jaji Warioba akiwa katika kipindi cha Dakika 45 ITV amesema suala la kubadili sheria nyingi katika kila bunge zinaonesha umuhimu wa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema ni muhimu kuwa waangalifu kwa kuwa Katiba Mpya haitaweza kutatua matatizo yote. Ametolea mfano kuwa tunaweza kuwa na Tume nzuri ya...
  15. JamiiForums Tanzania Sakata la majanga ya Moto yanayoendelea yatazima upepo kudai Katiba Mpya?

    Wakuu Kwema! Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana. Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya? Karibuni tujadili.
  16. JamiiForums Tanzania Amos Makalla bado hujaiona faida ya Katiba Mpya?

    Tunakumbuka kuwa mwisho wa mwezi wa 5 mkuu wa mkoa Dar aliitisha vikao mbalimbali tena kwa mbwembwe nyingi mbele ya camera na kuja na mapendekezo ya kuisuka upya Dar na kuwapanga upya machinga kwa kuwa hafurahishwi na namna ilivyo sasa. Akaenda mbali kwa kutoa maagizo kwa wakurugenzi kuanza...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad: Katiba Mpya ni Muhumu, itamjenga Rais na haitampunguzia chochote

  18. JamiiForums Tanzania Kundi kubwa la wanaodai Katiba Mpya hawajui wanachokitafuta na hawana kazi ya kufanya

    Unafiki wa Watanzania umeendelea kudhihirika baada ya kifo cha JPM na kuingia madarakani kwa Mhe. RAIS. SSH. JPM alitumia udikteta kunyamazisha kila sauti na hakuna aliyedai Katiba mpya wala nini. Aidha, kwa udikteta huohuo aliharibu uchumi na haki za kiraia bila ya kuulizwa. Leo ameingia...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Diallo: Katiba inatengenezwa na Wananchi siyo Wanasiasa, 2014 tuliikosa katiba mpya kwa ubinafsi wa wanasiasa CCM ikiwemo!

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi. Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima wajipendelee ndio maana katiba ni lazima itengenezwe na wananchi wakisaidiwa na Wataalamu kama...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba Mpya: Viandaliwe vipeperushi kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya na visambazwe mitaani na sehemu zenye mikusanyiko

    Mbali na kutumia mitandao na makongamano au mikutano kudai Katiba Mpya, nashauri wanaharakati, wanasiasa na wadau wengine waandae vipeperushi vyenye kueleza umuhimu wa katiba mpya na kuvisambaza kadri inavyowezekana. Vipeperushi vieleze mapungufu yaliyoko katika katiba ya sasa na hatari au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…