katiba mpya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbona suala la katiba mpya linakuwa kizungumkuti?

    Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya. Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya. Woga wa nini kuhusu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Suala la Pauline Gekul, CCM ina taratibu na kanuni zake kuanzia Ngazi ya Tawi, hivyo kama likifika Taifani tutalitolea taarifa

    Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea hivyo kama kuna lolote litathibitika Vikao husika vitachukua hatua stahiki na kama litafika Ngazi...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda ni ingizo jipya la kutuondoa kwenye hoja ya Bandari na Katiba mpya

    Uteuzi wa Paul Makonda au ukipenda Bashite ni mkakati wa kutuondoa kwenye hoja za msingi kama Katiba Mpya na Bsndari. Tangu ateuliwe amekuwa mtu wa kuropoka ropoka mkakati ukiwa kutuondoa kujadili masuala ya maana na kuanza kujadili upuuzi wake. Inavyoelekea baadhi ya Watanganyika wasiopenda...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

    HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano: HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao. HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi. Kauli ya wengi ni kauli Mungu. Aluta continua!
  5. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: ACT sio chama cha kupiga kelele na kubwabwaja-bwabwaja, tutashiriki uchaguzi hata kama hakuna Katiba mpya

    Akijibu maswali katika mahojiano na Edwin Odemba katika Kipindi cha Medani za Siasa ikiwemo suala la kuwa makali yake kisiasa yamekwisha na madai kuwa yeye na Chama chake ni kama CCM B, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe anasema: “(Kuhusu suala la usaliti) Waulize wao, hizo ni propaganda za...
  6. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri za Rais Samia zituachie Katiba Mpya

    KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa una sura mbili. Sura ya kwanza wanahitaji katiba mpya na sura ya pili hawahitaji katiba mpya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za ukwamishaji wa katiba mpya wivu wa kikwete kwa Samia upo!

    Nimekuwa nafakari sana ni kwanini Raisi Samia anasita sana kwenye maswala ya katiba na kwa mtanzamo wangu haya ni mambo ambayo yanasitisha mchakato huu 1. Kikwete na wapambe wake wanaogopa mafanikio ya katiba mpya yataonyesha Samia ni bora kuliko Kikwete kitu ambacho anajali sana Kikiwete na...
  8. JamiiForums Tanzania Mawazo binafsi: Kwanini Tanzania tusiahirishe Uchaguzi Mkuu wa 2025 hadi mwaka 2026 ili kupata Katiba mpya?

    Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba. Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa. Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili ufanyike mwaka 2026 tukiwa na katiba Mpya?
  9. JamiiForums Tanzania Mali yaahirisha Uchaguzi Mkuu wa Mwakani ili kupata Katiba Mpya kwanza

    Utawala wa kijeshi nchini Mali umetangaza hii leo kuwa utaahirisha uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Februari mwakani. Uchaguzi huo ulilenga kuwarejesha madarakani viongozi wa kiraia katika taifa hilo la Afrika Magharibi linalokumbwa na uasi wa makundi ya kigaidi. Msemaji wa serikali ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini himizeni wananchi tupatiwe Katiba Mpya

    Ni wakati sahihi kwa viongozi wetu wa dini zote kukutana na kujadili juu ya kuitaka serikali isiwe mbabe kwenye suala zima la kutupatia wananchi katiba mpya. Inashangaza sana kuona serikali ya awamu ya 6 nayo inaingia kwenye mchezo wa kuchelewesha upatikanaji wa katiba mpya kama zilivyofanya...
  11. JamiiForums Tanzania Mjadala wa kuandika katiba mpya Tanzania katika Jukwaa la Katiba ya Watu, uliojadiliwa na wadau 553

    Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali zimejitokeza kutoka kwa wadau wa mchakato huo. Taarifa hii inatoa tathmini ya kitaalam juu ya mjadala...
  12. JamiiForums Tanzania Mbozi: CCM yaagwa rasmi, Sugu awasha moto wa Katiba Mpya

    Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maisha ya ccm huko Mbozi yamefika kikomo , hii ni baada ya Wananchi wote kukubaliana kwamba uwezo wa chama hicho kuleta maendeleo umekwisha. Akihutubia Maelfu ya Wananchi katika kitongoji cha Shule , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph...
  13. JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika. Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii. Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea uhitaji wa katiba mpya uwe kipaumbele cha kila mwana-CCM ili madhila ya Awamu ya Tano yasijirudie

    Watu mlio karibu na rais Samia msijisahau sana na wala msione mmepata na hivyo kuamua kupuuza uundwaji wa katiba mpya. Tunataka katiba itakayompunguzia rais mamlaka na itakayoweka mipaka ya uongozi wake. Lkn cha muhimu zaidi rais awajibishwe pale atakapobainika kakosea. Katiba hii ni mbovu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Cheyo: Inaonekana Serikali haina nia ya dhati kwenye suala la Katiba Mpya

    Akiongea kwenye kikao cha wadau wa masuala ya siasa nchini. Amesema kuwa hoja za serikali za kutaka watanzania wapewe elimu kwanza ndo tuanze kujadili habari za katiba ni chenga ya kutotaka wananchi wapate katiba mpya 1. Kahoji ni elimu gani ya katiba inayohitajika ambayo haikutolewa na Jaji...
  16. JamiiForums Tanzania Katiba mpya tunaitaka, lakini sio kuliko maji, chakula na afya

    NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele. Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Makulumbembe gani humtisha kila rais anayetaka kuandika katiba mpya na kumfanya aonekane hayawani?

    Hili la Samia kurukaruka kama maharage ya Mbeya kuhusu kuandika katiba mpya, kinyume kabisa na dhamira yake ya awali, siyo jambo geni kutokea. Likitokea pia chini ya utawala wa Kikwete mwaka 2014. Rais Kikwete alikuwa na nia ya dhati kabisa ya kuwaachia watanzania katiba mpya. Akaanzisha...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Kwa mantiki hiyo Rais Samia anasema, Kikwete aliwaburuza wananchi alipoanzisha mchakato wa Katiba mpya bila kuwapa elimu ya Katiba

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Kuhusu Katiba Mpya tunaanza na Elimu Watanzania waijue, unaanzaje kumwambia Mtu akupe maoni yake kitu hakijui. Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza Watu, tunachokisema sisi Watu wote wafuate, tunageuza Watu makasuku”. Kamati ya Warioba ilizunguka...
  19. JamiiForums Tanzania Mimi sio muumini wa katiba mpya bali utekelezaji

    Mimi sikubaliani na wanasiasa wanaotaka kutuyumbisha kwa kutaka kutengeneza katiba mpya huu ni usanii, upuuzi na ufujaji wa mapato. Tujikite kwenye katiba iliyopo tuboreshe maisha ya Watanzania. Watanzania wanataka maji,elimu,afya na fedha mfukoni ...baasi haya mingine ni indoctrination ya...
  20. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni tishio kwa CCM, hawatakubali ipatikane kwa hiari labda walazimishwe

    Huo ndio ukweli. survival ya Ccm inategemea katiba mbovu waliojifungia wenyewe wakaiandika. Leo wamekiri wenyewe kupitia mwenyekiti wao kuwa watu hatuijui katika ya sasa (japo twaijua). CCM hawana uhakika katiba mpya itawasaidia vipi kuendelea kubaki madarakani, wana hofu, wamejawa na baridi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…