Tangu yatokee maandamano yaliyosababisha mauaji ambayo Bongo hatujawahi shuhudia, kumekuwako na minong'ono juu ya ni nani anatawala Bongo yetu na bongo zetu. Kila usomapo, usikia majina matatau, yaani hayo hapo juu.
Wa kwanza, wote tunamjua kama mkuu wa kaya. Pia, tunajua kuwa ana washirika...