kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

    Daaa hii post ya mdau imenifikirisha na kuniwadhisha Sana daah mungu aingilie kati aisee maana sio poa kabisa wana Wana struggle sana! Mungu aingilie kati 👇👇👇 Pia soma > Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16
  2. JamiiForums Tanzania Match ya Boxing kati ya Mike Tyson na Jake Paul, matokeo yalikwisha pangwa

    Wengi mlioangalia Boxing match kati ya Youtuber Paul Logan na bondia nguli Mike Tyson, mnaweza kudhani Mike Tyson ameshindwa, ila kiuhalisia Mike Tyson alipangwa kuuza match hili amfanye Paul Logan kuwa maarufu zaidi, ni mbinu za kibiashara za kumkuza Paul Logan, na tayari media nyingi za...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati au kuja na mbinu kuzuia kuvuja kwa pesa kwenye mzunguko wa uchumi

    Angalizo ; huu uzi hauna maana mbaya wala kupangia watu namna ya kutumia pesa zao..!!! Tanzania tumeingia kipindi ambacho tunaona magari mengi sana ya kifahari, ukiwa barabarani sasa hivi kupishana na gari za 500M or less ni kitu cha kawaida, waTanzania wengi sasa wakipata pesa tumeingia na...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote kati ya Philip Isdor Mpango na Marehemu King Kikii

    Salaam Wakuu, Nimena Majina ya Ukoo ya Kink Kikii na Makamu wa Rais wa Tanzania yanafanana. Kumbuka Makamu wa Rais wa anatokea Kigoma Mpakani mwa Congo. Na Kink Kikii anatokea Congo Mpakani na Kigoma Tanzania. Makamu wa Rais wa Tanzania anaitwa Philip Isdor Mpango na Mwanamuziki alofariki...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kati ya kiwango cha elimu na kiwango cha mafanikio kwenye maisha? Mafanikio ni nini?

    Sasa nianze kwa kutanguliza Hongera kwa wote ambao hamkukwepa umande lakini poleni ambao mlikwepa umande kwasababu zenye mashiko kama Ada, magonjwa na kufiwa na Wategemezi hali iliyopelekea kuanza kutafuta hela mapema. Lakini ifike mahala wasiosoma mtuheshimu ambao hatukukwepa umande...
  6. JamiiForums Tanzania Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs)

    Dar es Salaam, Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa biashara Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kama unatokea Kimbiji, kati ya Chamazi na Mwenge wapi ni mbali zaidi?

    Ili kuendelea na drama zao za sizitaki mbichi hizi, msemaji wa Deportivo la Utopolo amenukuliwa akisema kuwa uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi ni mbaaali sana kwao ni kama walikuwa wanasafiri kwenda mkoani. Sijajua hili wamegundua lini maana walikuwa wanapasifia balaa hadi pale walipopokea...
  8. JamiiForums Tanzania Kizuri ni kwamba ubongo haujui tofauti kati ya reality na illusion. Tumia hio hack kwa manufaa yako

    Hello bosses and roses. Leo nimekumbuka kitu, miaka ya zamani niliwah kuwa na maumivu ya mgogo yaani nikikaa tu nasikia mgongo unauma, hio hali ilikua inanipa shida sana hasa kipindi cha mitihani nikiwa shuleni, nashindwa kufocus kukimbizana na muda sababu ya maumivu ya mgongo, ila baadae...
  9. JamiiForums Tanzania Kushabikia vita vinavyoendelea huko Mashariki ya Kati ni kukengeuka

    Inasikitisha sana kuona vita vimegeuzwa kama ushabiki wa mpira.Huku watu wanakufa, watu wanapata ulemavu wa kudumu, wengine wanapoteza kila kitu! Wengine wanatazama hii vita kwa itikadi za kidini kitu ambacho si kweli.Ukiingia mitandaoni watu wanabishana mpaka kutoleana maneno makali kisa vita...
  10. JamiiForums Tanzania Hapa nani kaandika broken Kati ya Madam na CR?

  11. JamiiForums Tanzania Mbona Wachambuzi wa Soka la Tanzania katika Redio na Runinga sasa hawatuambii tena Timu bora kati ya Simba na Yanga ni ipi?

    Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely...
  12. JamiiForums Tanzania Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

    Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
  13. JamiiForums Tanzania Mtendaji Mkuu wa TANROADS: Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa miundombinu ya barabara na madaraja kati ya nchi 54 za Afrika

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya hivi vitu vinne, ni kipi unadhani mwanamke anaweza kukikosa kutoka kwa mwanaume na bado akaendelea kuvumilia?

    Kiasili kila mwanamke anahitaji vitu 4 kwa wakati mmoja. Akikosa kimojawapo , atakitafuta nje. Sababu moja wapo kati ya hizi, inamfanya mwanamke kuchepuka:- 1. Financial support (Mpe Pesa na matunzo) 2. Good sex (alidhike kitandani) 3. Attention (simu za mara kwa mara kumjulia hari, msifie...
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya Nafasi (Space) na Muda (Time) ni kipi kinatangulia?

    Je ni Muda ndio huleta nafasi au nafasi ndio huleta muda Mwanzo 1:1 [1]Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Wataalamu wa haya mambo naomba mtupe maarifa kwenye huu mjadala.
  16. JamiiForums Tanzania Wahenga mnakumbuka hivyo vitu vya enzi zile,dondosha komenti kipi umekitumia kati ya hivyo hapo.

    Wahenga mnakumbuka hivyo vitu vya enzi zile,dondosha komenti kipi umekitumia kati ya hivyo hapo.
  17. JamiiForums Tanzania Suala la watu 87 kati ya 100 Tanzania kuwa tegemezi linavunja moyo sana wakuu

    Hii taarifa tangu nilipoiona, kama inaukweli basi nchi yetu ni masikini wa kutupwa. Inaonuesha uhalali wa kupigwa mizinga popote utakapopita. Inaonyesha vuguvugu la uchawa ni harakati za watu waliolemewa na utegemezi wa kifikra uliokithiri. Hali hii wenda ndio imepelekea ongezeko la ukahaba...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Iran yapinga vikali hatua ya Marekani kupeleka ndege hatari za B-52 kwani kinatishia hali ya utulivu na amani mashariki ya kati

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo. "Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Sadat & Hussein Mumbarak-Egypt na Clinton wanafichua kuwa Amani kati ya Israel na Wapalestina inakwamishwa na chuki ya Wapalestina

    Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema makubaliano hayo yalilenga Wapalestina wawe na Serikali yao baada ya Miaka 5 ya utekelezaji wake...
  20. JamiiForums Tanzania Mboga nisizopenda katika maisha yangu

    1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…