Iran yapinga vikali hatua ya Marekani kupeleka ndege hatari za B-52 kwani kinatishia hali ya utulivu na amani mashariki ya kati

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,210
7,236
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo.

"Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei anauambia mkutano wa waandishi wa habari akijibu swali kuhusu kutumwa, na kuongeza kwamba "haitazuia azimio la [Iran] kujilinda."

November 4, 2024
Iran assails US deployment of B-52 bombers in Mideast as ‘destabilizing’

By AFP

Today, 11:32 am

Iran’s foreign ministry spokesman Esmaeil Baghaei criticizes what he calls the United States’ “destabilizing presence” after the deployment of B-52 bombers in the region.

“We have always believed that the presence of America in the region is a destabilizing presence,” Baghaei tells a news conference in response to a question about the deployment, adding that it “will not deter [Iran’s] resolve to defend itself.”
 
Unaambiwa inakimbia kwa kasi ya ajabu

inaweza kwenda Mwanza kutokea Dar na kurudi mara 10 kwa saa moja
Screenshot_20241104-125204.jpg
 
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo.

"Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei anauambia mkutano wa waandishi wa habari akijibu swali kuhusu kutumwa, na kuongeza kwamba "haitazuia azimio la [Iran] kujilinda."

November 4, 2024
Iran assails US deployment of B-52 bombers in Mideast as ‘destabilizing’

By AFP

Today, 11:32 am

Iran’s foreign ministry spokesman Esmaeil Baghaei criticizes what he calls the United States’ “destabilizing presence” after the deployment of B-52 bombers in the region.

“We have always believed that the presence of America in the region is a destabilizing presence,” Baghaei tells a news conference in response to a question about the deployment, adding that it “will not deter [Iran’s] resolve to defend itself.”
Kelele za chura hazimzuii ndovu kunywa maji.
USA ana majeshi hapo Iraq lakini bado Iran amefanya yake.
 
hujui kuwa Israel ni Marekani na Marekani ni Israel?
Ushaanza kudata wewe sio bure.
Marekani ni Marekani na Israel ni Israel.
Kama unajidanganya kuwa teknolojia hizo ni Israel ndiye anafanya pole yako,USA katika nyanja za teknolojia kuna hadi wachina na wahindi kijana.
 
Dege la 1950s

Car brands

Peugeot…Age: About 128 years (1896)

Cadillac…Age: 122 years (August 22, 1902)

Fiat…Age: 125 years (July 11, 1899)

Mercedes-Benz…Age: 98 years (June 28, 1926)

Renault…Age: 125 years (December 24, 1898)

Ford…Age: 121 years (June 16, 1903)

Land Rover…Age: About 46 years (1978)

Rolls-Royce…Age: 118 years (March 15, 1906)

Škoda

Opel…Age: 162 years (January 21, 1862)
 
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo.

"Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei anauambia mkutano wa waandishi wa habari akijibu swali kuhusu kutumwa, na kuongeza kwamba "haitazuia azimio la [Iran] kujilinda."

November 4, 2024
Iran assails US deployment of B-52 bombers in Mideast as ‘destabilizing’

By AFP

Today, 11:32 am

Iran’s foreign ministry spokesman Esmaeil Baghaei criticizes what he calls the United States’ “destabilizing presence” after the deployment of B-52 bombers in the region.

“We have always believed that the presence of America in the region is a destabilizing presence,” Baghaei tells a news conference in response to a question about the deployment, adding that it “will not deter [Iran’s] resolve to defend itself.”
Muajemi analilia sana ka jibwa koko, anaiaibisha miustaaz wali nazi ya JF
 
hujui kuwa Israel ni Marekani na Marekani ni Israel?
Kwa hiyo haya yameungana na kuwa taifa moja? Watu mna ujuaji nyuma ya keyboard

Taifa moja kuunga mkono lingine au kuwa mshirika wa muda mrefu kijeshi, kiuchumi nk haifanyi yaonekane yamekuwa taifa moja
 
Back
Top Bottom