kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ipi tofauti kati ya Mbunge wa Taifa na Mbunge wa Jimbo?

    Wakuu, nimeshtushwa kusikia hii statement leo kutoka kwa kiongozi wa nchi raisi Samia kwamba kuna mbunge wa Taifa na kuna mbunge wa Jimbo. Mwezi October mwaka huu nchini Tanzania kutafanyika uchaguzi mkuu wa wabunge na pia raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo raisi wa sasa Samia...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Msafara wa ndege za kivita za Marekani waelekea Mashariki ya kati baada ya Trump kutoa agizo la dharura raia wa Iran kuondoka Tehran, foleni imeshona

    Baada ya agizo la Dharura, Foleni ya kuondoka Tehran imekuwa ni kubwa sana, Trump kalazimika kukatisha mkutano unaoendelea nchini Canada wa G7 na kurudi haraka Marekani, Amewaagiza wajumbe wa Baraza la Usalama wa Taifa (NSC) wawe tayari kwenye chumba cha dharura (Situation Room)...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nina swali kwa Wanaomaliza form four na kuchaguliwa au kwenda vyuo vya kati

    Je, hawa wanafunzi wanaomaliza form four na kwenda vyuo vya kati, huwa wako entitled kupata mikopo kama vyuo vya elimu ya juu (HESLB)? Au ni mzazi anaendelea kupambana kama sekondari.
  4. JamiiForums Tanzania Ni jambo jema Tundu Lissu kujitetea Mwenyewe. Huwezi jua pengine kati ya Mawakili wake kuna akina Yuda Eskarioti

    GT Maskini haaminiki hasa mtu mweusi kutoka Tanzania., mawakili.30 ni wengi sana lazima mamluki wapo tu wanaopeleka mipango upande wa pili kabla ya kesi. Nadhani leo tumejionea hali ilivyokuwa tofauti bada ya mwamba kusimama yeye kama yeye, hatua hii itapunguza kuvujishwa mbinu na vifungu vya...
  5. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa undani tofauti kati ya uchumi wa mwananchi mmoja mmoja kati ya Marekani na Tanzania

    Per Capital Income (PCI) ni kipimo cha wastani wa mapato ya kila mtu katika nchi fulani kilichohesabiwa kwa kugawanya Gross Domestic Product (GDP) ya nchi kwa idadi ya watu wake. Tukianza na nchi ya Marekani Per Capital Income ya USA kwa mwaka 2023/2024 GDP ya USA: = 25.5 Dola trilioni Idadi...
  6. JamiiForums Tanzania Katika hawa watu watatu waliokukosea na wakakiri makosa,kila mmoja utampa adhabu ipi kulingana na kosa lake?

    Kesi imepelekwa Mahamakani siku ya hukumu Hakimu kapendeza adhabu tatu ,ila kakupa nafasi wewe mlalamikaji kumchagulia Mshtakiwa mojawapo ya adhabu alizotoa,Kila mmoja na adhabu yake. Adhabu alizotoa ni kama ifuatavyo 1:Faini Milioni mbili 2:Jela miaka miwili 3:Msamaha Washtakiwa wanakabiliwa...
  7. JamiiForums Tanzania SIO RASMI: Kati ya vijana wa tano wawili ni walevi chakari, mmoja anakunywa kistaarabu, mmoja ndio ameanza kugusa gusa na mmoja ndio afikirii kabisa.

    Ongezeko la unywaji limekuwa kubwa. Zamani ulikuwa ukikutana nae anayumba bara barani ni mzee mlevi ila siku hizi ni vijana wabichi. Wadada nao wamekuwa walevi kupindukia tena wake za watu wanakunywa kuliko faza haus. Sio kwamba pesa imeongezeka mifukoni vya vijana. Ila ni kwamba vilevi...
  8. JamiiForums Tanzania Tech and AI battle kati ya USA na China, Makampuni Mengi ya USA yanaongozwa na wachina (Battle ni China vs Chinense diaspora) - USA vita hawezishinda

    Watu wengi hufikiri vita ya teknolojia ni kati ya USA na China… Lakini ukichunguza kwa undani, kuna vita isiyo rasmi kati ya China ndani ya china na diaspora yake Wachina walioko Marekani wanaoongoza makampuni makubwa ya AI ya Marekani. 1. Vita ya Teknolojia: USA vs China (Kiwango cha Serikali)...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Sijawai kuona chuo Over rated kama SAUT Mwanza, Ni chuo kilichopigwa make-up ya maneno lakini hadhi yake ni chuo cha kati

    Wanafunzi wa Sauti Mwanza wakisifia chuo chao, unaweza kuhisi unakosa kitu cha kipekee, kuna kipindi walikuwa wanajitutumua hadi kujilinganisha na UDSM, UDOM, MZUMBE, n.k. nilikuwa nadhani ni bonge la chuo ila nimekuja kukifuatilia nimekiona ni chuo cha kawaida sana. Kitivo cha biashara hakina...
  10. JamiiForums Tanzania Kusambaa kwa Vinywaji Chonganishi na Vivuto pia. Serikali iingilie kati

    Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA WANYWAJI NA WASIO NA PIA WANYWAJI NA SERIKALI. HAVILETI AMANI KWA WATUMIAJI. Lakini pia kumekuwa na...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yaagiza raia wake kukimbia Mashariki ya kati, Israel kuitandika Iran kabla ya Jumapili, maandalizi tayari

    Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
  12. JamiiForums Tanzania Utofauti uliopo kati ya uzalendo na maslahi binafsi

    Uzalendo na masilahi binafsi ni dhana mbili tofauti zinazohusiana na jinsi mtu anavyofikiri na kutenda katika jamii yake. Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: Uzalendo Maana Uzalendo ni upendo na kujitolea kwa nchi yako. Inahusisha kuimarisha na kulinda maslahi ya taifa. Mwelekeo...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania haisongi mbele sababu marais wetu wanne kati ya sita hawana asili ya Tanzania

    Ukiondoa marais wawili tu,sitawataja majina Wanne waliobaki hawana asili ya Tanzania. Ndio maana hawana uchungu na nchi yetu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wakifa, umma hauna haja ya kusikitika, badala yake, umma unapaswa kumshukuru Mungu kwa kuingilia kati

    Hawa ni wale ambao wamepewa madaraka makubwa katika maeneo mbalimbali na wanayatumia vibaya kwa masilahi yao badala ya kuangalia masilahi ya umma. Hivyo, naomba nitoe wito watu wa aina hii Mungu akiwachukua, tumshukuru Mungu badala ya kusikitika kwa kuokoa jamii dhidi ya mtu au watu waovu...
  15. JamiiForums Tanzania Chukua hii mapema kabisa ya kuhusu makubaliano ya Siri na ya Kimkakati kati ya Yanga, Simba, TFF na Serikali juu ya Mechi yao

    Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu. Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu. Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na...
  16. JamiiForums Tanzania Kati ya anayetoa na anayepokea nani ana Nguvu zaidi, Anayetoa au Anayepokea?

    Naomba mnifafanulie watu wa Nguvu
  17. JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano Gani kati ya kiwanja na aina ya jengo ninalotaka kujenga?

    Sijaelewa kama Kuna Sheria inayoongoza matumizi ya Ardhi na ujenzi inavyotafsiri uhusiano uliopo kati ya Ardhi na aina ya jengo linalotakiwa kujengwa Hizi "High, medium &Low density" zinajengwaje? Maana utakuta wanunuzi wa viwanja wanabadili aina ya jengo bila ya kuzingatia ukubwa wa kiwanja.
  18. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kutofautisha kati ya Uzinzi, Ufuska na Uasherati

    Nisaidieni kutofautisha kati ya Uzinzi, Ufuska na Uasherati
  19. L

    JamiiForums Tanzania Nisajili Nini Kati ya Kampuni na Jina la Biashara?

    Hili ni swali nililoulizwa na dada anaitwa "Lahey" juzi majira ya Saa 10:45 hivi jioni. Actually hii ni mara ya 17 naulizwa hili swali ndani ya miezi miwili. Na jibu langu hua ni moja tuu kila ninapoulizwa hili swali. "Sajili Kampuni" Hua Nina sababu kadha wa kadha ambazo hua Zinafanya nitoe...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya PF3 na uhai wa mtu kipi bora?

    Habari zenu? Swali hili nalielekeza kwa Wana-taaluma wa afya Madaktari, Manesi.... Je, uhai na PF3 kipi kina umuhimu zaidi, kuna case mbalimbali ambazo waliokumbwa na kadhia za ajali kuchelewesha huduma, na wengine kupoteza maisha kabisa kwa kigezo cha kuhitajika PF3 kwanza. Kingine nawachana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…