kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la ‘Ukanda Mmoja, Njia Moja’ la China lashika kasi barani Afrika

    Caroline Nassoro Mwaka 2013 rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Mwezi Septemba mwaka 2013, rais Xi Jinping wa China, akiwa nchini Kazakhstan, alitoa mpango wa ujenzi wa ukanda wa kiuchumi wa "Njia ya Hariri", na mwezi Oktoba mwaka huo huo, akiwa nchini...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina apinga majibu ya Serikali kuhusu kauli kuwa hawana taarifa ya agizo la Mahakama kuhusu kurudisha mifugo ya wafugaji

    Dodoma. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amepinga majibu ya Serikali kuhusu kauli kuwa hawana taarifa ya agizo la Mahakama kuhusu kurudisha mifugo ya wafugaji kama ilivyoamuliwa na mahakama. Mpina amesema inashangaza na kusikitisha kuona kuwa, Mahakama ilishamuru wafugaji warudishiwe mifugo yao...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania DAR: Kasi ndogo ya wanaochanja yamshtua Mganga Mkuu

    Kasi ndogo ya chanjo ya kujikinga na Ugonjwa wa UVIKO-19 imemshtua Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Rashid Mfaume, na kuwahimiza wakazi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kupata chanjo. Dk. Mfaume alitoa msisitizo huo jana Aprili 5, 2022 baada ya kubaini kuwa kasi ya watu kupata huduma...
  4. JF Member

    JamiiForums Tanzania Wizi umerudi kwa kasi tena. Vibaka ni wengi mtaani

    Usiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii. Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo. Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua. Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya taa yafanyika kwenye ukumbi wa kuteleza kwenye barafu kwa kasi wa kitaifa

    Katika kipindi cha Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi, maonesho ya taa yamefanyika kwenye ukumbi wa kuteleza kwenye barafu kwa kasi wa kitaifa.
  6. John Haramba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume afariki akifanya tendo la ndoa, mwanamke asema "Alihema kwa kasi kisha akaanguka pu!"

    Mwanaume mmoja amefariki dunia wakati akiwa faragha na mpenzi wake katika nyumba ya wageni kwenye ghorofa moja jijini Nairobi. Taarifa za Polisi zinasema, Joseph Ngaruiya umri miaka 40, anadaiwa kupata shida ya kupumua akiwa na mpenzi wake katika vyumba vya Myra, Jumatatu, Februari 28, 2022...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya majira ya baridi kati ya walemavu yaendelea kwa kasi nchini China

    Baada ya China kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing, michezo ya majira ya baridi ya walemavu imeendelezwa kwa kasi nchini China. Katika miaka 6 iliyopita, shule nyingi maalumu kwa ajili ya walemavu zimeanzisha masomo ya michezo ya...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TCRA: Kasi ya internet inasababisha kifurushi kuisha haraka

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaja vitu vitatu vinavyosababisha kuisha kwa bando haraka ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kasi ya internet, uwezo wa simu janja na kuwa na application nyingi kwenye simu. Pia imesema gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine nchini...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ajira za muda mfupi Manispaa ya Temeke, Rushwa imerudi kwa kasi

    Kuna ajira zimetagazwa za muda mfupi hapa Manispaa ya Temeke lakini ni rushwa kwa kwenda mbele mpaka upate. Watendaji wa kata wana majina yao na wanatamba sana kuwa wanao-appply wanapoteza muda maana wao ndio wana majina. Sasa mpaka kumshawishi mtendaji aingize jina lako lazima mlungura upitike
  10. mama D

    JamiiForums Tanzania Kufufuka kwa wafu - Ni maajabu yanayoendelea kwa kasi nchini huku wanahabari/jamii wakizipa nafasi ndogo kama habari zinazohitaji uchunguzi wa kina

    Habari za watu kufa na kuzikwa na baadae kupatikana wakiwa hai ni za kushangaza mnooo. Yaani mtu amekufa kwa kuugua au ajali au ghafla tuu, hospitalini wanahakikisha amekufa na wanatoa cheti cha kifo na mwili mnakadhiwa, mnaenda kuzika na viongozi wa serikali za mtaa, viongozi wa dini na...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga atoa wimbo wakati kampeni za uchaguzi zikishika kasi

    Magombea Urais nchini Kenya, Raila Odinga ametoa video ya wimbo alioshirikishwa, wakati kampeni za uchaguzi nchini humo zikishika kasi. Odinga ambaye ndiye mpinzani mkuu kwenye uchaguzi huo ametoa video hiyo ya wimbo unaokwenda kwa jina la Leo ni Leo (Remix).
  12. aka2030

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watu wanaonuka midomo inaongezeka kwa kasi Tanzania

    Imekuwa zaidi ya ugonjwa unakuta mtu amependeza hasa aila akikusogele kuongea mdomo wake unato harufu si nzuri. Nashauri elimu itolewe kwa kila namna kuondoa hili tatizo.
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Lugha asili, Makabila, Mila na Utamaduni wa Mtanzania vinafutika kwa kasi sana

    Niko kijijini kabisa huku ndanindani. Nimekuja kumzika bibi yangu aliye fariki akiwa na miaka 97 lakini akiwa bado mrembo na nguvu zake. Kilichonuogopesha na kunishangaza, mimi wakati nakua, tulikiwa hatujui Kiswahili, tunabonga tu lugha yetu ya asili, huku tukisimuliana hadithi za Masala...
  14. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mawaziri wapya tumewaona, tunasubiri hati za majukumu yao ili tukusaidie kupima kasi yao

    Rais Samia, Pole na kazi ngumu ya kujenga taifa (ujasiriadola) katika mazingira mapya yenye changamoto lukuki. Kazi ya kujenga nchi inahusu kuuliza na kujibu maswali yapatayo kumi hivi, mojawapo likiwa: "Katika safari yetu ya kusukuma gurudumu la maendeleo kuelekea kwenye kilele cha mlima wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi wa madereva wa magari ya umma

    Wengi ni mashahidi jinsi magari ya umma hasa za Serikali yanavyoendeshwa kwa kasi bila hatua yeyote kuchukuliwa. Magari kama V8, Landcruiser hardtop yanaendeshwa kwa spidi inayozidi kilomita 200 kwa saa huku askari wa barabarani akisimama pembeni mwa barabara na kuangalia tu na hata kuipigia...
  16. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa 5.3%,tutegemee Neema zaidi Mwaka 2022 Chini ya Rais Samia.

    Matunda ya Uongozi wa Rais SSH yaanza kuonekana kutokana na ukuaji wa Uchumi. Hongera Sana Mama juhudi zako zimeanza kuzaa matunda,Watanzania tutegemee Neema zaidi kwa miaka ijayo
  17. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ni ukweli upi kinachoendelea Dodoma? Je, kasi inadidimia kila kukicha?

    Wakuu, hivi karibuni maandiko yanaandikwa humu JF, kuhusu koporomoka kwa kasi ya biashara na uchumi wa Dodoma. Huku mtaani nako, wananchi baadhi wanasema tangu hayati ametoka, kasi ya ukuaji uchumi wa Dom unaporomoka. Wengine wamekuwa wakipotezea hizi claims kuwa mji unadidimia, wakisema mji...
  18. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kama Nchi tusilale hasa vyombo vyetu vya huyo dogo anajitanua kwa kasi ya ajabu

    Andiko hili na walione wahusika. Pamoja na siasa zetu za kunyukana mara Sukuma gang,Msoga na wana kuupiga mwingi lakini kama Nchi tutambue tunalo tishio lililo bayana kabisa la yule 'dogo' naamini wengi mmenielewa hakika anakuja juu sana kimedani. Si wa kupuuzwa tena! Amewekeza sana kwenye...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

    Dear Mama @SuluhuSamia naambiwa watu wanatorosha madini kama "hakuna kesho." Na wala hakuna usiri kwenye wizi huo. Mamlaka husika zinafahamu kinachoendelea lakini ndo hivyo, sekta ya madini imegeuzwa #ShambaLaBibi. Unfortunately, ufisadi umerudi kwa kasi ya upepo wa kisulisuli
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuipongeze serikali ya CCM kusambaza umeme vijijini kwa kasi na mafanikio makubwa kwa muda wa miaka sita

    Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) imesema imeongeza huduma ya upatikanaji umeme kutoka asilimia 2 mwaka 2007 hadi kufikia 69.6 Juni mwaka huu. kurugenzi Mkuu wa Rea, Mhandisi Hassan Saidy amesema malengo yalikuwa kufikia asilimia 50 hivyo wameweza kuvuka lengo walilojiwekea.
Back
Top Bottom