kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Maandamano ya kupinga gharama za maisha yashika kasi

    Wafanyakazi nchini humo wameitisha maandamano nchi nzima kupinga kupanda kwa gharama za maisha na ukosefu wa ajira wakati ambao mfumuko wa bei ukifikia kiwango cha juu tangu mwaka 2009. Maelfu ya wafanyakazi waliingia mitaani katika majimbo yote tisa kudai ruzuku ya msingi ya mapato, kima cha...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wizi wa cover za nyuma za side mirror unakuwa kwa kasi unazaminiwa na wauza spea (used) wa magari

    Habari wadau. Kuna wizi wa ajabu sana kwenye magari. Wanaiba cover ya nyuma ya side mirror tu sababu ni rahisi kuzichomoa. Hawachukui side mirror nzima. Na wanaiba sababu wanajua mwenye gari lazima ukanunue tena hicho ki cover. Wezi wanaenda kuwauzia wauza spea hivyo vi cover vya wizi na...
  3. JamiiForums Tanzania Kujiunga bando kwa vocha na Halopesa kunatofautiana kasi ya kuisha

    Sijui kama kuna mtu ameona hili kwa halotel na Tigo, ukijiunga MB kwa kuingiza vocha ni tofauti na kujiunga moja kwa moja kutoka halopesa au Tigo Pesa. Kujiunga kwa vocha mb zinakaa ila kujiunga kwa halopesa au tigo pesa mb zinaenda kwa kasi. Nikijiunga kwa vocha GB 1 naweza kukaa siku 3 hadi...
  4. JamiiForums Tanzania Nafurahi kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi lakini...

    Karibuni kwenye huu mjadala. Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi saaana, yote ikichagizwa na azam media kongole kwao kwa udhamini mnono. Tumeshuhudia timu Kama Simba, Yanga, Azam wakiwa na uwezo wa kung'oa wachezaji tokea mataifa makubwa tena wakiwa...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Kasi ndogo ukuaji wa uchumi wa nchi, chanzo Utawala mbovu: Je, kuna suluhisho?

    Uchumi wa nchi yoyote duniani hutegemea ni kwa namna gani viongozi wa nchi husika wanaongoza/wanatawala nchini mwao. Utawala wa viongozi ukiwa mbovu basi lazima kasi ya ukuaji wa uchumi iwe ndogo. Vilevile Utawala wa viongozi ukiwa bora/mzuri utapelekea ukuaji mzuri wa uchumi. Kwa maana hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Vodacom Kasi Internet ni Utapeli?

    GTs, Nimekuwa muumini wa huduma bora toka VODACOM, hasa kwenye bundle za internet. Na nimekuwa muumini wa KASI INTERNET, ila cha ajabu bundle ya internet hiyo ya kasi imekuwa na spidi ya kobe, yaani kila kitu kipo slow mpaka najiuliza hivi kuna tatizo? Je ni mtandao gani wa simu wenye internet...
  7. JamiiForums Tanzania Simba Sc kusajili wachezaji wenye kasi ni mipango ya Nusu Fainali

    Ukiangalia uwezo wa timu zote zilizowahi kuitoa Simba Sc robo fainali,ni timu zenye kasi sana. Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Angalia pia timu zinazopenya nusu fainali,hakuna timu inayocheza slomo. Usajili uliofanywa na Simba kwa Augustine Okra na Phiri ikiwemo anayetajwa kusajiliwa Okwa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kwa sasa kufunga mipaka janga la njaa linakuja kwa kasi

    Watu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.
  9. JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa kuchezea mifumo ya vidhibiti mwendo vya mabasi ili madereva waendeshe kwa kasi kubwa

    Issa Said Mbogo ambaye ni fundi wa vifaa vya umeme anashikiliwa kwa tuhuma za kuchezea vifaa vya kudhibiti mwendo kwenye mabasi (VTS) akidaiwa kuwa anavuruga mifumo hiyo ili madereva wa mabasi waendelee kwenda mwendo kasi. Mtuhumiwa amekamatiwa Nzega Mkoani Tabora wakati wa oparesheni maalum...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

    Mada hapo juu yahusika. Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inanistua mno. Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza. Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wezi na Wizi wa Magari umerudi kwa kasi ya 5G ni wapi tunakosea?

    Ndani ya week 2 kuna gari tano (5) Zimeibwa Tabata, Gari Mbili zimeibwa Mlimani City. Moja ya Tabata imeibwa karibu kabisa na kituo cha Polisi. Mlimani City jamaa yangu kaibiwa Toyota Crown. Naambiwa pia Kimara kuna gari mbili zimeibwa moja ikiwa imepark nje Bar na nyingine Ndani. Naanza...
  12. JamiiForums Tanzania USHAURI: Magari ya mwendokasi yatangaze Royal Tour

    Royal tour ebu tuendelee kuitangaza sio kwa ufupi namna ile hii twende nayo kila kona haya mabasi mwendokasi na ikiwezekana hata baadhi ya majengo ya ofisi yawepo matangazo ambayo yatakuwa endelevu
  13. JamiiForums Tanzania Matatizo ya figo yanakua kwa kasi Nchini Tanzania, sasa ni 6%

    Imeeleza kuwa matatizo ya magonjwa ya figo ni tatizo la Kidunia kwa kuwa takwimu za magonjw aya figo ni 10% wakati ndani ya Tanzania takwimu za nchi ni 6% Serikali inajipanga katika mambo mengi, kwanza ni kutoa elimu ya afya mfano kula na mazoezi, pili kuna usalama wa chakula na usalama wa...
  14. JamiiForums Tanzania Giza totoro kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara, je serikali imeshindwa kuweka backup power?

    Muda huu giza limetamalaki kwenye kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara. Msongamano wa abiria ni mkubwa mno, magari ni kama vile yamegoma. Hii ni aibu kwa taifa , yaani mama aite wageni wake kupitia Royal Tour, halafu wageni wapande mwendo kasi uliojaa kunguni na huduma mbovu, sijui kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Makongamano, warsha, semina nk vimeongezeka kwa kasi awamu ya Rais Samia, vinaligharimu Taifa

    Televisheni ya Taifa imekata matangazo ya Bunge la Bajeti na sasa wanarusha kongamano la viongozi wa dini kumuombea na kumpongeza Rais Samia kwa uongozi bora linalofanyika ukumbi wa mikutano wa Tughimbe mkoani Mbeya. Wapo viongozi wa dini, Serikali na waimbaji kutoka kona mbalimbali za nchi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya hali ya hewa yana kasi zaidi kuliko ilivyotabiriwa

    Utafiti mpya uliotolewa jana umeonyesha kuwa, mchakato wa mabadiliko ya hali ya hewa duniani una kasi zaidi kuliko ulivyotarajiwa na hatua za haraka zinahitajika ili kupunguza uharibifu. Kwenye utafiti huo uliotolewa na jarida la Nature Claimate Change, watafiti kutoka taasisi ya sayansi ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Reli ya SGR ya Kenya yaongeza kasi ya usafirishaji wa mizigo mingi na kuchochea ukuaji

    Huduma ya Mizigo ya Reli ya SGR kati ya Mombasa na Nairobi imetoa urahisi wa usafirishaji wa mizigo mingi inayokwenda katika nchi zisizo na bahari tangu kuzinduliwa kwake Januari 2018. Edward Opiyo, Meneja kituo katika Vituo vya reli ya Mizigo mjini Nairobi ambayo ni kampuni binafsi...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa matapeli wanaojifanya wanachezesha bahati nasibu mtaani wamerudi kwa kasi

    Kuna hawa MATAPELI kipindi Cha JPM walikimbia mji kabisa, walibanwa kende wakapotea Hawa MATAPELI wanapewa vibali kabisa kutoka Serikalini vya kujifanya wanachezesha bahati nasibu Hawa MATAPELI walijaa sana Dar, miaka ya 2005-2016, alipoingia JPM walipotezwa kimya kimya wakaacha kabisa...
  19. JamiiForums Tanzania London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

    Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mshtuko baada ya mlinzi wa Ruto kuanguka kutoka kwenye gari lililokuwa kasi

    Jumatatu, Mei 16, DP alikuwa katika kaunti ya Kajiado ambapo yeye, pamoja na mgombea mwenza wake aliyeteuliwa hivi karibuni Rigathi Gachagua na viongozi wengine walikuwa wakijipigia debe. Hata hivyo, walipokuwa wakiondoka Rongai, wenyeji waliachwa kwa mshangao baada ya mmoja wa wasaidizi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…