Mke wa Rais wa zamani Marekani na Mgombea Urais wa Marekani mwaka 2016, Hillary Clinton, anafurahishwa na Kazi Kubwa inayofanywa na Rais Dkt. Samia Sulunu Hassan ya kuwaletea watanzania maendeleo.
Bi Hillary alitoa kaull hiyo Jijini Washington DC, wakati akizungumza na Mbunge wa Viti Maalumu...