Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,405
- 30,908
Kumezuka ugonjwa mpya wa kujikuna ambao mtu anawashwa Sana na anatoa vipele vidogovidogo. Sijui ni wangapi mmeshausikia au kuupata. Mimi na familia yangu wote tunawashwa na huko Moshi pia Kuna jamaa zangu wawili na familia zao nao wameniambia Wana washwa na kujikuna sana. Plz Kama umepata Hilo tatizo please share nasisi hapa.