kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wafanyabiashara Kariakoo na Serikali

    Inatia moyo kwakweli nadhani tunafungua kurasa mpya sasa. Kama watasikiliza na watakua tayari kutekeleza maoni. At least tutawashuhudia Herufi Tatu(TRA) wakija kwa majadiliano bila kuwa na FFU na makofuli ya kufunga fremu kwa kipindi kirefu sana Ila kama ni mkutano tu kama mingine iliyopita...
  2. JamiiForums Tanzania Maendeleo: Uwanja unaochezwa Ramadhani Cup unaoitwa Jakaya Kikwete ulioko Kariakoo umejengwa na nani?

    Ni Jiji la Ilala wakati ule likiwa bado Manispaa. Ni jiji la DSM au ni Mfadhili fulani ama ni Mzee Kikwete Mwenyewe? Nimefurahishwa sana na muonekano wake na hasa kwa kitendo cha mechi kuchezwa usiku, nampongeza aliyejenga uwanja huu.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Hivi umepata kujiuliza unapopita katika mitaa mbalimbali ya mjini Dar au mji mwingine wowote Tanzania, jina la mtaa au eneo husika limetokana na nini? Kwa mfano, Kijito Nyama limetokana na nini? Au Mlalakuwa, Au Mtoni kwa Aziz Ali n.k, n.k. Labda utadhani imetokea tu ... just ipo ipo, hapana...
  4. JamiiForums Tanzania Wenye mamlaka turudishieni Kariakoo yetu

    WENYE MAMLAKA TURUDISHIENI KARIAKOO YETU: ```Kariakoo ni jina linaloitambulisha Kata Mojawapo ya Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 11106. Kata hii inakadiriwa kuwa na zaidi ya watu 13,780 waishio humo hii ni kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2012. Jina...
  5. JamiiForums Tanzania Nikiwa ninatokea Kariakoo/Ubalozi wa Marekani nishuke kituo gani?

    Nimeambiwa niende Mikocheni kwa Rizwan (Senga Road) near St Florence School. Nikiwa ninatokea kariakoo/ubalozi wa Marekani nishukie kituo gani? Mimi nimeishi saaana Iringa na Tabora hivyo ni mgeni/mshamba wa jiji. Wenyeji wa Dar ninaomba msaada wenu.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simu fake Kariakoo kwanini vijana tusijiingize kwenye hii biashara tusaidie watanzania wenzetu wanaolizwa kila siku?

    Habari za leo wakuu, Nimekua nikifuatilia baadhi ya nyuzi hapa jamii forum, Kuna watanzania wamekuwa wakilalamika juu ya bidhaa za kielectronic zinazouzwa Kariakoo na kwamba watu wanauziwa simu feki. Watanzania wanashindwa kutumia simu zenye viwango kwasababu tu wauzaji wa Kariakoo wamekosa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Waliozuia Biashara kariakoo ni chombo si wahuni, alichofanya RC nimaelekezo toka juu

    Ni vigumu wahuni wakaingia kariakoo nakufunga biashara za watu, waliofanya Yale Ni vyombo n walikuwa na maelekezo yakufanya hivyo. Kama ni wahuni Basi kamanda wa polisi ilala na hata kanda maalumu anafaa kutumbuliwa kwa kushindwa kusimamia ulinzi na kwa kutodhibiti uhalifu hata baada ya vyombo...
  8. JamiiForums Tanzania Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike. Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
  9. JamiiForums Tanzania Hapa ni eneo gani kati ya Ubungo na Kariakoo - DSM

    Kama ionekanavyo pichani, hili ni eneo gani along Morogoro road DSM
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Kariakoo imehamia Stendi ya Magufuli, Mbezi Louis

    Kwa mara ya kwanza leo hii nimefika stendi mpya ya Magufuli, hakika inastahili kubeba heshima ya Jemedari wetu Dr. JPM, nimeshuka tu nilidhani nimefika South Africa! ni nzuri sana na kubwa, ya kisasa! Movements niliyoiona ni kama vile Kariakoo yote imehamia Mbezi! Stendi hii imebadilisha kila...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu: Chimbo la ubuyu ule unaouzwa Kariakoo

    Wakuu habari za muda huu,ni wapi naweza pata chimbo la ubuyu huu uliopikwa kabisa, wanaouza pale Kariakoo sokoni, ule sio ubuyu wa babu ISSA, Ila ukiwauliza wanasema ubuyu wa babu ISSA. Nimejaribu kwenda kuwauliza wanapochukua, lakini wamegoma kusema ,Ila wanataka wao ndio wakuuzie jumla. So...
  12. J

    JamiiForums Tanzania RC Kunenge: Kariakoo ilikuwa kama Dubai, tujitahidi kuirejesha tuwavutie Wacongo na Wamalawi

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mh. Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma. Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Kariakoo ni kweli kuna Fremu za 3M-5M au ni kutishana tu?

    Mtaani tumezoea kodi ya fremu kuanzia 50k-200k, kutokana na eneo. Kwa taarifa ninazopata ni kuwa fremu K.koo si chini ya 1M, oky hio sikatai kutokana na eneo lenyewe. Vipi hawa wanaosema ni 3M-5Millions. Je, hii ni kweli? Mtu huyu ana mauzo ya namna gani? Ikumbukwe hapa nazungumzia fremu za...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

    Nimepata taarifa ya kuwa Mzee Sadru Ndossi ambaye ni moja wa mmiliki wa Kampuni kubwa ya kuuza spea za magari na pikipiki amefariki Dunia leo asubuhi. Pia anamiliki majengo kadhaa hapa mjini bila shaka ndiye mmiliki wa Jengo la SS Concrete Pale Africana. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 35 nataka kufanya biashara Kariakoo

    Wakuu nimebangaiza nimefanikiwa kuweka Milioni 35 nataka kuingia katika biashara Kariakoo, nifanye biashara gani? Michango ya wadau Zaidi soma>>Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)
  16. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wafanyabiashara wa maduka ya nguo Kariakoo

    Jamani tusaidiane katika hili nisijekupigwa huko Kariakoo naombeni msaada kwa wale watu wa mikoani mnaochukua nguo Kariakoo nielekezeni machimbo ya nguo za kike wanapouza kwa bei rahisi nisaidieni. Kila nikienda naishia tu kwenye nguo za bei jamani nielekezeni tafadhari pia maduka ya urembo...
  17. JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  18. JamiiForums Tanzania Chimbo la suti kali Kariakoo jamani. Kwa bei poa, nipendeze na mimi

    Nataka nika point kitu kikali, kitu cha suti kwa bei nzuri lakini. Chimbo gani Kariakoo waungwana?
  19. JamiiForums Tanzania Sababu ya Siasa: Biashara Kariakoo zinakufa kisa kuwapenda na kuwakumbatia machinga

    Tangu awamu ya 5 ya Rais wetu JPM iingie madarakani imekuwa ikitoa kipaumbele kwa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga. Pamoja na malengo mazuri ya serikali kuwasaidia wamachinga lakini pia wafanyabiashara wenye maduka nao wanatakiwa kuwekewa mazingira mazuri ya kufanya biashara...
  20. JamiiForums Tanzania Wezi wenye 'leseni ya kukuibia' Kariakoo

    Unapoenda kwenye maduka ya simu ya Kariakoo hasa Yale ya mtaa wa Msimbazi. Yanaotazama shule za Uhuru. Jambo la kuzingatia ni kuwa kuna maduka mengi hapo yamejaa wezi na matapeli. Ambao wanatumia loophole za kisheria. Kuibia watu bila woga na polisi hawawezi kukusaidia Nimeandika hili baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…