Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.
Bda ya kuzunguka viwandani bila mafanikio kutafuta ajira, hatimae Kesho nitaerekea Kariakoo kutafuta kazi ya kuweza kuniingizia chochote kitu..
Maisha ni kutafuta. Kesho yangu INAKUJA
Ndugu Jamaa na marafiki wa JF mnaopatikana maeneo ya K'KOO naombeni mnipokeeeeee.
Eehh Mungu unisaidie...
Habari zenu Ndugu,
Naomba ufafanuzi kidogo maana kuna jambo linasababisha kero na foleni kubwa ndani ya Kariakoo.
Hivi haya madaladala yenye route kama Masaki---Gerezani kwanini yanaishia kariakoo na hayafiki kabisa gerezani?
Je, kuna mpango wa kuyahamishia kituo cha Gerezani?
Kituo hicho...
Hello fellas.
Kuna fursa ya biashara ya playstations/games
Watu wengi wamekuwa wakiuziwa games kwa bei ghali sana pia wakiuziwa mashine ambazo sio imara.
Kuna mahali Kariakoo wanauza games kwa bei nzuri na mashine zao imara.
Ninachopenda toka kwao wanauza games original na wanazo mashine...
Tangu janga la moto, waziri mkuu aliunda kamati ya uchunguzi akaipa wiki moja, then ikaongezewa wiki ya pili!
Hivi sasa mwezi umepita bado kimya, Je tuendelee kusubiri report au LAH?
Imeripotiwa, ajali nyingine ya moto imeteketeza hoteli huko Kariakoo. Hadi muda huu moto unaendelea na jitihada za kuudhibiti pia zinaendelea.
=========
Moto Umeibuka katika Hotel ya Rungwe Palace iliyopo Mtaa wa Livingston na Mahiwa Jirani na Msikiti wa mtoro Jijini dsm na kuzua Taharuki...
Rais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume
RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio wa mabati na kuweka meza za kisasa za kupanga biashara
Chanzo: ITV habari
"Nitoe wito kwa wale wanaowapokea kwenye masoko, kwamba utaratibu ni ule ule wale ambao wametoka Kariakoo, wakiratibiwa wakifika maeneo hayo hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, na hicho ndio kifuta machozi kwa wale walioathirika"
- RC Dar es Salaam, Amos Makalla
Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa...
Neno ‘KARIAKOO‘, asili yake ni neno la Kiingereza la ‘Carrier Corps’, likiwa na maana ya kwamba mahala hapo ndipo inapomalizikia misafara iliyokuwa ikiwasili kutokea nje ya hapa mjini, wakati huo wa utawala wa Wajerumani na Waiingereza.
Misafara hiyo ilihusisha askari pamoja na wapagazi...
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
Moja kwa moja niende kwenye mada wana jf,..ni dhahiri wengi tumesikitishwa na janga ka moto lililotokea kariakoo na kuwaacha wafanyabiashara wengi na majonzi.Katika kila jambo linalotokea kuna pia la kujifunza.
Jeshi la zimamoto lime jidhihirisha lilivyo la hovyo kuanzia vitendea kazi vyake...
Inasemekana moto umerudi tena Soko kuu la Kariakoo, bado zoezi la uzimaji moto katika Soko hilo linaendelea baada ya sehemu ambazo zilizimwa moto kufuka moshi na kuanza tena.
SOURCE: ITV
Management ya miji mikubwa kwetu Afrika ni kitu kipya. Wenzetu Ulaya na kwingineko walijifunza the hardway.
Moto wa London, The Great Fire of London mwaka 1666, karibia miaka 500 iliyopita , Uingereza ilijifunza kutokana na moto huo wa siku nne mfululizo.
Chanzo: Machinga type mentality.
Sisi...