Kariakoo, Dar: Moto Moto waunguza sehemu ya hoteli ya Rungwe Palace

STATE AFFAIRS

New Member
May 17, 2021
3
45
Imeripotiwa, ajali nyingine ya moto imeteketeza hoteli huko Kariakoo. Hadi muda huu moto unaendelea na jitihada za kuudhibiti pia zinaendelea.

=========

Moto Umeibuka katika Hotel ya Rungwe Palace iliyopo Mtaa wa Livingston na Mahiwa Jirani na Msikiti wa mtoro Jijini dsm na kuzua Taharuki katika katika Mitaa hiyo ambayo ina mkusanyiko wa watu wengi.

Moto umefanikiwa kuzimwa.

Moto.jpg

Moto 2.jpg
 

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
7,000
2,000
Ok unakurupuka inawezeka hata hiyo clip hujaisikiza, hotel na soko wapi na wapi
 

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,687
2,000
RC ajitafakari why this time, huu ni moto wa tatu nani ya wiki
 

Craig

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
1,123
2,000
Kama ni hujuma ni bora wanaofanya wangesema wanataka nini!
Mkuu Kama ni hujuma wahujumu wanataka Moto tu kwa maslahi yao.

Maana kama kupiga watakuwa walishapiga na wakashindwa kuandaa ushahidi baada ya tukio. Hivyo kilichobaki ni motoo tuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom