kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Majenereta yapanda bei Kariakoo

    Baada ya Tanesco kutangaza kuanzia February mosi kutakuwa na mgao wa umeme, leo nikaona walau nipite Kariakoo niangalie majenereta ili shughuli zangu za kiuchumi zisije kukwama, nikakuta bei imechangamka sana yaani haishikiki. Wafanyabiashara wametumia fursa ya tangazo la Tanesco, wameamua...
  2. Dar es Salaam City in Photos

    THE CITY OF DAR ES SALAAM THROUGH PICTURES. DISCOVER DAR. TPA TOWER, PSPF Twin Towers and MNF towers construction by skiligo, on Flickr Dar es salaam Rapid Transit Bus along Kivukoni front by skiligo, on Flickr DSC_5892 by skiligo, on Flickr FROM RK TOWER by skiligo, on Flickr From RK...
  3. Tofauti na Kariakoo, mitaa ipi inafaa kwa biashara ya viatu vya kiume (special)

    Habarini Wanadaslama, Kuna hii project ya kuuza viatu vya kiume special, ni mitaa ipi tofauti na k.koo itafaa kwa aina hii ya business mjini Dsm, namaanisha iliochangamka kupelekea usichome mahindi kivile. Karibuni..
  4. Huyu "Shuhuda" wa matukio ya moto ahojiwe na chombo huru, ana mengi moyoni mwake

    Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja. Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu...
  5. Endapo itathibitishwa Kuungua soko la Kariakoo na sasa Karume ni mpango, wanaopanga mipango hii ni Magaidi?

    Tuendelee kutiririka, huku tukijikumbusha kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
  6. Mitaa ipi Kariakoo inafaa kufanya biashara ya mikoba?

    Heri ya mwaka mpya wakuu! Ni mitaa ipi Kariakoo inafaa kuweka biashara ya mikoba special ya wadada? Karibuni.
  7. Wafanyabiashara soko dogo Kariakoo wagoma kupisha ujenzi

    Dar es Salaam. Wakati mkandarasi wa kujenga soko dogo la Kariakoo na kukarabati lile kubwa lililoungua na moto akiwa amekabidhiwa mkataba wa kuanza kazi rasmi, wafanyabiashara katika soko dogo wametoa masimamo wao wa kutoondoka sokoni hapo. Makabidhiano ya kuanza ujenzi kati ya mkandarasi...
  8. P

    Magari Makubwa yasiruhusiwe kuingia Kariakoo

    Sio siri kwa kweli, kuwaondoa wamachinga walio wengi kariakoo na kuruhusu wachache wenye biashara za usafirishaji kutumia barabara na kuwazuia watumiaji wengine kwa namna watakavyo ni uonevu wa hali ya juu, Malori yana athari kubwa kariakoo kuliko wamachinga, Yanaharibu barabara, yanazuia...
  9. RC Makalla: Rais Samia atoa Tsh bilioni 28 kukarabati soko la Kariakoo

    RC MAKALLA: UKARABATI NA UJENZI SOKO JIPYA KARIAKOO KUANZA WIKI IJAYO. - Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha Biloni 28 na kuwajali Wafanyabiashara - Asema Wahanga wa soko la Kariakoo Na soko Dogo watapewa kipaumbele kurejea soko litakapokamilika. - Asema Mkandarasi wa...
  10. J

    Shaka: Watanzania zindukeni kujua malengo na muelekeo wa Rais Samia

    SEHEMU YA NUKUU ZA KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA WAKATI AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO "Watanzania zindukeni kujua malengo na muelekeo wa Rais Samia katika kujituma kwa juhudi, bidii na maarifa, kazi iwe...
  11. P

    Baada ya wamachinga, malori Kariakoo ni shida mpya

    Mamlaka zisipoliangalia hili kwa sasa basi baadae itakuja kuwa ngumu kama ilivyokuwa kwa wamachinga. Mitaa husika hasa ni mtaa wa agrey, masasi, magila, narun'gombe na tandamti, yote ni kati ya mtaa wa ndanda na muheza, hapo kuna kero ya kufa mtu kwa wakazi wa maeneo hayo na hata wapita njia...
  12. Majibu ya Tume uchunguzi wa moto soko la Kariakoo

    Salama Watanzania wazalendo, hapa nahitaji tujiulize matukio ya moto kwenye masoko ni ya kujirudiarudia kuna maswali je, ni njia ya watu kupiga pesa kwenye ujenzi. Tume iliyoundwa kuchunguza chanzo cha moto imebaki na majibu kimya kwenye makabati hawaoni umuhimu kutoa majibu hayo, inaundwa...
  13. Wamachinga wa Msimbazi Kariakoo wanatandika bidhaa chini kwenye njia ya waenda kwa miguu

    Kwamba fujo zooote zile, halafu hakuna kilichobadilika, utaahira wa wapi huu? Mtu unashindwaje kusimamia ulichokianzisha?
  14. PICHA Ya Muonekano wa Soko jipya la Kariakoo Huu Hapa

    Picha za jengo jipya la Kariakoo zimeachiwa mapema leo, jengo hilo jipya linakusudiwa kugarimu shs za kitanzania 26.2 bilioni.
  15. B

    Tulilalamika ununuzi wa ndege nje ya bajeti, Soko la Kariakoo litajengwa kwa bajeti iliyopitishwa Bungeni?

    Naomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi? Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna kinyume na Bunge Kama ilivyokuwa awamu ya Tano? Auditing yake itakuwaje? Value for money itapimwaje?
  16. Historia ya soko la Kariakoo

    Soko la Kariakoo ambalo Rais Samia Suluhu anakusudia kulifanyia mapinduzi makubwa kwa kukarabati jengo lake la zamani na kujenga lingine jipya ambalo litapokea machinga zaidi ya 2,000, lina historia ya kipekee. Soko Kuu hilo lipo katika kiwanja namba 32 eneo la Kariakoo, katikati ya makutano ya...
  17. Soko la Mbeya liliungua miaka zaidi ya kumi na halijajengwa, ila la Kariakoo limeungua juzi tu limetengewa bilioni 34

    Hii imekaaje. Ni kwamba serikali inafanya miradi yake kwa upendeleo?
  18. V

    Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  19. Kuliko Bilion 34 kujenga soko Kariakoo bora soko lihamishwe

    Inaonekana watu wa mipango miji wamelala na viongozi wetu akili zimeganda. Nimeona leo kwamba soko la k'koo litajengwa upya kwa Billion 34, leo siyo mwaka 1970 jamani kwanini pesa zote zitumike kujenga soko tena eneo lenye tatizo la msongamano wa watu badala ya kulihamisha soko pembezoni mwa...
  20. Pale soko la Karikaoo panajengwa foundation from the scratch au ni ukarabati gani unaofanywa?

    Habari ya saizi waungwana. Nimekutana na hizi taarifa mitandaoni nimeona nije niulize maswali nijiridhishe. Kwa wataalamu wa ujenzi. Pale soko la karikaoo panajengwa foundation from the scratch au ni ukarabati gani unaofanywa? Wa Bilioni 32. Jamani zaidi ya rangi na partition sijui kama kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…