kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Mkutano wa Waziri Mkuu Majaliwa na Wafanyabiashara Kariakoo leo Mei 17, 2023

    Wakati baadhi ya maduka katika eneo la Kariakoo yakiendelea kufungwa kwa siku ya tatu sasa, wafanyabiashara wa soko hilo tayari wamewasili ukumbi wa Arnaoutoglou jijini hapa kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kutatua changamoto zao leo. Baadhi ya wafanyabiashara hao...
  2. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa TRA nanyi fungueni maduka Kariakoo mlipe kodi hizi

    WAFANYAKAZI WA TRA FUNGUENI MADUKA KARIAKOO NANYI MLIPE KODI HIZI Mimi mfanyabiashara nacomply,ukiniita nakuja,nadaiwa Milioni 100 nimelipa yote bado Milioni 3 mnanifungia mashine,basi fungueni nyinyi maduka mlipe na hizi kodi zote, 1. Kodi ya mzigo unapoingia bandarini. 2. Kodi ya mapato...
  3. JamiiForums Tanzania TAKUKURU mgogoro Kariakoo Mmechangia kwa kutowajibika

    Hawawezi kukwepa kuwa sakata la Kariakoo lisinge fika hapo lilipo kama wange wajibika. Kulipo undwa Kikosi kazi (Task force) cha TRA kufuatilia kodi Kariakoo ndipo mianya ya rushwa ikapamba moto na vijana waliopewa jukumu hilo ndio wakaona ni nafasi ya kukandamiza wafanyabiashara kujitajirisha...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atoa comment Sakata la Kariakoo na Suluhisho lake

    Yule Mwamba anayekubaliwa na wengi kwa kupigania Haki za Watu woote bila kujali misingi yao ya kiitikadi ametoa ushauri wake kuhusu sakata la Kariakoo na Wafanya biashara. Huyo Champion wa siasa za Bongo ameeleza pia nini kinaendelea na kusema kuwa chanzo kikubwa ni Katiba Ya Sasa ambayo imempa...
  5. JamiiForums Tanzania Sakata dogo kama hilo la Kariakoo Magufuli angelimaliza kwa kupiga simu moja tu

    Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi! Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?! Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM...
  6. K

    JamiiForums Tanzania MHE. RAIS KWA HILI LA KARIAKOO ANZA NA WAZIRI WA FEDHA

    Kumekuwa na malalamiko lukuki kuhusu kodi na ushuru mbalimbali kwa Wafanyabiashara wa hapa nchini. Mshauri wako mkuu ni Waziri wa Fedha ambaye kwa ushauri wake anawaumiza wafanyabiashara na hii imefanya wafanyabiashara kugoma hasa pale Kariakoo. Ninavyoona mgomo huu utaenea nchi nzima kama...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Meya Mstaafu Boniface Jacob wa CHADEMA kiongozi mgomo Kariakoo?

    Wafanya biashara Kariakoo kumbe wanaongozwa kwa remote na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob. Mmeshaharibu upepo!
  8. JamiiForums Tanzania Nina mashaka na ukubwa wa kikodi tunayoipa Kariakoo

    Kelele na sifa inazopewa Kariakoo sidhani kama ni kweli ndiyo sehemu inayotoa kodi kubwa sana kama ukizingatia vigezo vyote. Ninaiona Kariakoo kama walivyosema kama shamba la bibi kwa watumishi wa TRA na wafanyabiashara wenyewe huku taifa kama taifa likipata kidogo sana.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Tundu Lissu kwamba Wafanyabiashara wa Kariakoo wagome hadi Rais Samia aje kuwasikiliza si ya kizalendo

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo. Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kariakoo, hamieni maeneo haya ambapo hakuna usumbufu na utajiri uko nje nje

    Hii nawapa msisitizo japo najua mnafahamu. Kuliko kuendelea kunyanyasika nawasihi sana hamieni maeneo kama Lubumbashi, Juba, Kampala, Lilongwe, Blantaire, Kisangani na Goma. Huko waliostuka mapema walishawapita pesa kitambo wamejificha huko na biashara zote zinazofanyika hapo kariakoo ndio...
  11. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kutengeneza maeneo mapya ya kibiashara ili kuiondolea nguvu Kariakoo. Kariakoo ibaki kama mji wa kale

    Serikali inabidi Sasa ifikirie kuunda maeneo mapya ya kibiashara, nje ya kariakoo. Ni ajabu mpaka leo, kariakoo ndio eneo pekee la kibiashara Dar es Salaam, na hicho ndio chanzo cha msongamano mjini. Uwepo mkakati wa makusudi kuwekeza maeneo kama ubungo, kimara, bunju, tegeta kwa kujenga...
  12. JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa Mgomo, Kiongozi wa Wafanyabiashara Kariakoo adai kuna kikundi kina maslahi binafsi

    Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama. Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mgomo unaoendelea Kariakoo ni economic sabotage

    Kama PM ameenda kuongea na nyie wafanyabiashara na mkaahidi kufungua maduka, Leo mnakusanyanya makundi kwa makundi kuhamasisha wapenda aman wasifungue maduka na atakayefungua atakiona cha moto, ni sawa na uhujumu uchumi. Serikali ichukue hatua, hawa watu wakat wa Magufuli walinywea iweje ss hv...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kariakoo saga is a bad picture

    Recently our country specifically Dar es salaam (Kariakoo), there is an ongoing strike waged by businessmen boycotting a long chain of taxes posing to them. This is a bad picture to our loyal government as reveals how it failed to make prior solutions to her people. If the strike continue...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wafanyabiashara Kariakoo Aomba Msaada Kuwakamata Waliofunga Maduka

    Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama. Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza...
  16. JamiiForums Tanzania UPDATE: Mgomo waendelea Kariakoo kwa Siku ya 3, Wafanyabiashara wataka Mkutano wa Wazi na Majaliwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kufanya Mkutano wa Wazi na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, hivi punde katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Wafanyabiashara hao ambao awali walipaswa kutoa wawakilishi wao kwenye kikao na Waziri Mkuu walikataa pendekezo hilo huku wakishinikiza uwepo...
  17. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Kariakoo unashinikizwa zaidi na wafanyabiashara wakubwa

    Nilichogundua kuhusu Kariakoo sio kila mfanyabiashara hapo anagoma. Wafanyabiashara wakubwa wanaoshusha kontena bandarini ndo wanamiliki mastoo hapo Kariakoo na hawa ndo waasisi wa mgomo wenyewe kwasababu hawataki stoo zao zitambulike. Ukiwasikiliza wengi wanaogopa kufungua kwasababu...
  18. JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo ni fedheha kwa Serikali

    Hii aibu ya huu mgomo ni kubwa sana na inafikirisha sana, je, hayo madeni ya Kodi ni bambikizi, ni penalty, na fitina ni nini hasa? DG wa TRA yupo, Waziri wa Fedha yupo, Waziri wa Biashara yupo, kwanini haya madeni? Yapi halali na yapi haramu? Je, hii italeta mazoea ya kukwepa Kodi au mazoea ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kaka karibu nyumbani, Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi, sasa bahari ipo shwari

    Sitaandika sana, Huwezi amini maneno haya yalitoka kwenye kinywa cha mwanadamu, tena mbele ya camera! Leo hii nimemwona jamaa huyo huyo analia mbele ya camera baada ya mwili wa mpendwa kuwasili. Najua somo amelipata siku nyingine atajifunza cha kuongea. Dunia mapito jama.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apewe maua yake changamoto ya wafanyabiashara Kariakoo

    Leo Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amefanya jambo Kubwa sana namna alivyotatua Mgomo wa wafanyabiashara. Mambo makubwa nimejifunza kupitia mgogoro wa Leo Moja amekuwa sehemu ya wenye Tatizo, amekuwa mwalimu mzuri katika kufundisha namna ya kutatua migogori katika Jamii na Kubwa ameshirikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…