kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Kaka karibu nyumbani, Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi, sasa bahari ipo shwari

    Sitaandika sana, Huwezi amini maneno haya yalitoka kwenye kinywa cha mwanadamu, tena mbele ya camera! Leo hii nimemwona jamaa huyo huyo analia mbele ya camera baada ya mwili wa mpendwa kuwasili. Najua somo amelipata siku nyingine atajifunza cha kuongea. Dunia mapito jama.
  2. J

    Waziri Mkuu apewe maua yake changamoto ya wafanyabiashara Kariakoo

    Leo Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amefanya jambo Kubwa sana namna alivyotatua Mgomo wa wafanyabiashara. Mambo makubwa nimejifunza kupitia mgogoro wa Leo Moja amekuwa sehemu ya wenye Tatizo, amekuwa mwalimu mzuri katika kufundisha namna ya kutatua migogori katika Jamii na Kubwa ameshirikisha...
  3. Waziri Mkuu Majaliwa aibukia Kariakoo, azungumza na wa fanyabiashara

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika katika Soko la Kariakoo ambako wafanyabiashara wametangqza mgomo tangu asubuhi. Majaliwa amelazimika kuacha Bunge na kuja kwa dharura ili kuzungumza na wafanyabishara hao kwa lengo la kupata suluhu. Awali taarifa kutoka ofisi yake ilisema kuwa kiongozi hiyo...
  4. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afika Kariakoo. Aagiza task force za TRA kusitisha shughuli zake haraka

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamua kukutana na kuongea na Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo leo ambapo tayari amefika Kariakoo muda huu badala ya Jumatano May 17,2023 ambayo ilitangazwa hapo wali hii ni kutokana na uzito wa suala hilo. Awali mkutano kati ya Waziri Mkuu na Kamati ya...
  5. SoC03 Ijue Historia ya Kariakoo

    IJUE HISTORIA YA KARIAKOO(Carrier corps) Mwandishi:Saadala Muaza Utangulizi kariakoo ni jina la kata inayopatikana katika wilaya ya Ilala mkoa wa Dar es salaam Tanzania iliyo na wakazi zaidi ya 13000 waishio humo. Eneo hili ni maarufu sana nchini Tanzania kutoka na...
  6. Wafanyabiashara: Chanzo la tatizo Kariakoo ni Kitengo cha Forodha Bandarini, Mawaziri hawamsaidii Rais

    Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, Muliro amesema: “Changamoto ya Kariakoo chanzo ni Bandarini kwenye kitengo cha Forodha, pale mifumo ya kodi si rafiki, ukitaja thamani ya kodi halisi hauwezi kutoa mzigo. Kinachofuata unashirikiana na makamishna wa Forodha...
  7. Viongozi wa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliofanikisha Mgomo Walindwe usiku na mchana

    Naomba kukiri wazi kwamba mimi ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliogoma kufungua maduka yao (sababu zimeelezwa) Ninaandika kwa ufupi sana kwamba Naomba sana kamati ya Wafanyabiashara hao kuhakikisha viongozi wao na wasemaji wao wanalindwa kwa udi na uvumba (nadhani naeleweka)...
  8. Inasikitisha Spika Tulia kujifanya hajui kinachoendelea Kariakoo

    Salaam Ndugu zanu, Bunge linaendela muda huu, mgomo wa kariakoo unaendela muda huu lakini Spika analetewa hoja hii mezani anajifanya kama hajui kinachoendelea. Kwamba Spika anashindwa kutazama hata vyombo vya habari kujua nini kinaendelea? Eti anadai anataka ajiridhishe kama ni kweli au la...
  9. Kufungwa kwa biashara Kariakoo, ni aibu kwa Serikali

    Sina kumbukumbu sahihi kuwa ni lini wafanyabiashara wa Kariakoo wamewahi kugoma kwasasabu yoyote. Kariakoo ndiyo Dubai ya nchi yetu, ina wafanyabiashara wa kila aina, wakiwemo wenye mitaji mikubwa, ya kati na midogo. Kikubwa zaidi wanajitambua, naamini hawawezi tu wakakurupuka kugoma bila...
  10. Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023. WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
  11. R

    Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo ukitatuliwa kwa ushawishi wa vyombo vya dola tutakuwa tunaahirisha tatizo

    Mgomo unaoendelea Kariakoo uwe wake up call kwa serikali kuacha kutumia vyombo vya dola kuendesha biashara za raia. Tutumie wataalam watuambie tatizo lilipo na tulipatie ufumbuzi. Siku dola ikipewa jukumu la kuimarisha usalama biashara zifanyike usiku na mchana nchi itapiga hatua. Lakini...
  12. T

    DOKEZO Wafanyabiashara Kariakoo kugoma Mei 15, 2023

    Kuna tetesi ya mgomo wa wafanyabiashara eneo la Kariakoo. Sababu za kuitisha mgomo; 1. Urasimu bandarini 2. Usajili wa stoo 3. Kamata kamata hovyo ya wateja kwa ukuguzi wa risiti Wao wapo tayari kufanya biashara kwa uhuru na kulipa kodi bila mambo ya rushwa rushwa na maonezi. Rai kwa...
  13. TRA na Kariakoo kunanini

    Nimepokea ujumbe toka kwa viongozi wangu wa biashara kuwa jumatatu tunatakiwa tusifungue biasharaeneo la kariakoo. Nimeuliza wenzangu wameniambia kuwa tra juzi walitoa maelekezo ya kujisajili stoo tunazomiliki, kama mtu unayo stoo ya kuhifadhia bidhaa za biashara.nimempigia jamaa yangu kumuuliza...
  14. J

    Soko la Kariakoo kuchukua Wafanyabiashara 2500 na litatoa ajira 4000 ukarabati wafikia 71%

    Hii ni Habari njema kwa Wafanyabiashara wanaosubiri vizimba na Flemu Sokoni Kariakoo. Msimamizi wa Ukarabati Mh Kaijage amesema kuna ongezeko kubwa la vizimba na Flemu baada ya ukarabati mkubwa unaofanyika. Alikuwa akimweleza Mwenyekiti wa Bodi Hawa Ghasia. Source: ITV Habari ===== Update...
  15. O

    EDO KUMWEMBE: Kibadeni na mambo yaliyobadilika Kariakoo Derby

    JUZI kulikuwa na mechi ya watani pale Temeke. Simba na Yanga. Hadi wakati naandika makala haya sifahamu matokeo yalikuaje, lakini nafumba macho na kuvuta picha nzito ya pambano hili tangu nikiwa kijana mdogo. Nyakati zimekwenda wapi? Kuna mambo yamebadilika na kuna mambo hayajabadilika. Tuanze...
  16. Tofauti ya timu inayoshiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho imeonekana kwenye Kariakoo Debry

    Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi 😆😆😆. Tuachane na hilo, Yanga wajue Simba sio level zao, vitimu vibovu bovu wanavyovifunga huko shirikisho wanavimba kuwa wapo vizuri...
  17. Kesho ni derby ya Kariakoo, lakini TFF haijawatendea haki waislam

    Ni logic ndogo tu na ya kawaida, Simba wamechezeshwa mechi SAA 4 usiku kwa SAA Morocco siyo kwamba wamefanyiwa figisu ila ni kuheshimu tu mfungo wa Ramadhani. Je TFF hawajaliona hili? wachezaji na mashabiki waliofunga wanafuturu SAA ngapi? Mimi siyo mwislamu lakini najuwa adhana ikipigwa...
  18. S

    16 april 1983 Mkubwa wa Kariakoo alichezea 3

    April 16, 1983 katika Derby ya Kariakoo @yangasc1935 ilishinda mabao 3-1. Charles Boniface Mkwasa aliswazisha bao Mussa Kihwelo, Juma Mkambi na Omar Hussein wakaongeza mawili. Miaka 40 Derby inajirudia katika tarehe ileile. 😂😂 acheni uoga ndugu nawakumbush. Je tarehe 16 inaweza kujirudia tena...
  19. Mtindo mpya Kariakoo ni kubomoa maghorofa na kujenga Mapya

    Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya, kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangushwa linanyanyuliwa lingine, safi sana. Ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya, wacha nitafute pesa.
  20. Mgao umeanza upya? Leo tu umezimwa Kariakoo Mchikichini

    Kwanza ulizimwa saa tisa mpaka saa kumi na mbili jioni ukarudi, kisha ukazimwa saa moja mpaka saa hii ni saa tano na dakika mbili usiku hamna umeme kariakoo mchikichini. TANESCO
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…