kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Mama Sinyali Boss la Kariakoo

    Huyo Mama Sinyali anayetrend ni mama mwenye hela za zake japo zimepungua kidogo. Ni rafiki mkubwa wa Davis Mosha pamoja na mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya nne. Narudia tena huyo mama ni alikuwa na hela sasa hivi zimeshuka kidogo halafu ni mafia, mtoto wa mjini hasa, siwezi kuandika mengi ila...
  2. Waziri wa Biashara awajibu wafanyabishara wa Kariakoo baada ya kutoka Ikulu

    Waziri wa Biashara, Ashatu Kijaji amewajibu wafanyabishara wa Kariakoo kuwa kilichotokea ni sehemu ya hatua za kimaendeleo na kwamba biashara sio Vita. Kupitia ukurasa wake wa Instragram Waziri Kijaji ameandika hayo leo ashatukijaji
  3. DOKEZO Huyu ni kati ya wanaosumbua Kariakoo

    huyu jamaa na genge lake ni kati ya wanaosumbua wafanyabiashara kariakoo
  4. UDSM, Mzumbe wana Business School lakini katika Sakata la Kariakoo wako kimya. Hapa ndio Kishimba huwa anachukua alama

    Hii nchi ina faculty ambazo zinaitwa za biashara, zikiwa na wasomi kedekede, kwa nini hawatoi muda wao kufanya research kwenye maeneo nyeti ya nchi kibiashara? Imagine, eneo linalokusanya Kodi karibu 150 billions kwa mwezi, Chuo Kikuu hakijichimbii kufanya tafiti au monitoring. Wao wanamjua...
  5. Nani kawakimbiza wafanyabiashara wa nchi jirani kariakoo? TRA au wafanyabiashara wenyewe wa kariakoo kwa ulaghai?

    Hapa ndipo waandishi wa habari za uchunguzi wanatakiwa kuingia "chimbo". Wakawasake hao wafanyabiashara wa nchi jirani wawahoji. Lakini, kinachoonekana wafanyabiashara wa kariakoo ndio wameiua kariakoo yao. TRA hawawezi kuhangaika na aliyelipa Kodi halali, wanashughulika na wakwepa Kodi...
  6. Ukweli kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo

    Na Hamza Karama, Kariakoo DSM Kwa ufupi Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo Maamuzi ya Rais Samia ya kutuma timu ya mawaziri Kariakoo yazima mgogoro Kamati ya watu 14 kutoka Serikalini, wafanyabiashara yapewa jukumu la kumaliza mzizi...
  7. Martin Maranja Masese: Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia Migulu

    Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia mtu aliyewafanya wakagoma kwa siku tatu mfululizo wakisema amehusika kuleta na kukusanya kodi kwao kwa nguvu. Hii kitaalam inaitwa Stockholm syndrome. Watanzania ni viumbe spesheli kabisa.
  8. Rais Samia, Kariakoo inahitaji Baraza maalum la Biashara ambalo litakuwa na hadhi ya Mkoa

    Nchi hii Ina Mabaraza ya biashara, kuanzia ngazi ya wilaya,mpaka taifa, kwa kuwa tumeamua kwamba kariakoo ndio Dubai yetu, namshauri Mh. Rais kwamba atoe hadhi maalum kwa kariakoo iwe na hadhi ya Mkoa katika muundo wa Baraza la Biashara la Taifa. Hii itasaidia kutatua changamoto kwa wakati...
  9. F

    Hongereni sana wafanyabiashara wa Kariakoo na nchi nzima, mmetuonesha njia Watanzania

    Watu wengi wana dhana potofu kuwa wafanyabiashara ni vilaza, wahuni, watu wasiojitambua, hawajui sheria wala kujieleza. Kinyume na dhana hii potofu wafanyabiashara mmeonesha weledi mkubwa (professionalism) kwa jinsi mlivyowasilisha na kudai ufumbuzi wa kero zenu mbele ya serikali. Mmekuwa wazi...
  10. B

    Nasubiri Uchambuzi wa Yericko Nyerere Sakata la Kariakoo na Ujasusi wa Kiuchumi (Biashara)

    Ndugu zangu tusipige tu kelele kama watu wasiokuwa na mwelekeo bali tulitazame sakata la Wafanya biashara wa kariakoo kwa Angle kubwa ikiwemo athari za Kiuchumi, kisiasa na kiusalama ktk Nchi. Natamani kusikia yule mtaalam wa uchambuzi wa siasa za kiintelijensia ya uchumi (financial matters)...
  11. Mgogoro wa Kariakoo sio rahisi kuumaliza, bado yataendelea

    Mimi ni mnunuzi bidhaa mbalimbali hapo kariakoo ukweli ni kwamba asilimia 90 ya wafanyabiara hawatoi risiti halali yani ukinunua mzigo wa mil 1 unapewa risiti ya laki 5 wafanyabiasha wa wahindi wao watakuomba wakutolee risiti ya laki 7 wanaouza bidhaa bila risiti ni asilimia 1 wanaotoa risiti...
  12. S

    Majaliwa amewaacha wafanyabiashara Kariakoo na matatizo yao bora angeenda Rais Samia Suluhu

    Nimefuatilia kikao cha waziri mkuu leo na wafanyabishara kuhusu mgogoro wa kariakoo nimesikitika sana. Licha ya kwenda na Mawaziri na Timu ya wataalamu wa Wizara mbalimbali ameshindwa kutatua matatizo ya wafanyabiashara wa Kariakoo. Amepata fursa ya kuwasikiliza wafanyabiashara siku nzima ya...
  13. Mfanyabiashara Kariakoo: TRA wanatufuata nyumbani, wanatishia kufunga biashara zetu

    Mfanyabiashara huyo amesema, "TRA wanatufuata mpaka nyumbani jamani, tunaomba namba wakija ili tuwatumie picha, wanatutishia wanazuia Biashara zetu, kwanini watufuate nyumbani? Waziri Mkuu siwezi kukwambia kila kitu, hapa sio sehemu salama nipe namba nikufuate chemba, la sivyo nitahatarisha...
  14. Wafanyabiashara Kariakoo: Askari 'Mpemba' ametusumbua sana

    Akiwasilisha kero kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, mmoja wa Wafanyabiashara amesema, "Kuna Askari anaitwa Mpemba hapo Kamata amenipelekesha sana, pia kuna mwingine mweusi yuko hapohapo wanatupelekesha sana. Inashangaza sana Askari wanakusumbua kama vile TRA hadi unajiuliza kazi ya TRA inafanywa...
  15. Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi. Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka? 1. Waziri wa Fedha? 2. Waziri wa Biashara? 3. CG wa TRA? 4. Manager wa TRA Ilala? Nani ataondoka?
  16. F

    Waalimu, madaktari, wasomi na watu wa sekta nyingine tujifunze kwa wafanyabiashara wa Kariakoo kuzungumzia kero zetu.

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk. Wasomi tunashindwa wapi! Waalimu wana kero nyingi lakini hawathubutu kuzungumzia kero zao...
  17. J

    Wafanyabiashara wa Kariakoo mmetudharau sana CCM, mnalisema hadi banda alilomo Waziri Mkuu?

    Mkutano wa aina hii kiukweli mara ya mwisho niliushuhudia Wakati wa Hayati Sokoine. Waziri mkuu anatoa nafasi kwa Watu zaidi ya 50 kuuliza maswali na kutoa maoni. Nashauri Wabunge wote Kuanzia sasa waige mfumo huu wa kuwasikiliza Wananchi Wengi zaidi. Mungu mbariki sana Waziri mkuu.
  18. Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, leo Mei 17, 2023. Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo wametoa malalamiko mbele ya Waziri Mkuu ambapo wameilaimu TRA kwa kutokufuata taratibu sahihi za...
  19. TRA matopeni, watuhumiwa kukithiri kwa rushwa soko la Kariakoo

    Kwenye kikao cha wafanyabiasha na Waziri Mkuu kilichoitishwa ili kutatua changamoto zao kufuatia mgomo wa wafanyabiara ulioanza tar. 15.05.2022. Wafanyabiasha wawatuhumu maafisa wa TRA kuwaomba rushwa wafanyabiashara. Wafanyabiashara walalamika kufuatwa mpaka nyumbani na maafisa wa TRA ili...
  20. Wachumi Washauri Kariakoo uwe Mkoa maalum wa kibiashara

    Wataalamu wa uchumi wameshauri eneo la Kariakoo, Dares Salaam liwe mkoa maalumu wa kibiashara na pia mamlaka za serikali zinazohusika na biashara ziwe na mifumo inayosomana ili kuepuka migomo ya wafanyabiashara kwenye eneo hilo. Walisema serikali inapaswa kuipa Kariakoo hadhi ya kuwa Mkoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…