kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Salamu za pole kwa ajali ya Jengo la Kariakoo

  2. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Clouds Media ombeni msamaha watanzania kwa kudanganya zoezi la uokoaji kariakoo limesimama

    Hii habari ni ya uongo hakuna zoezi lililositishwa hivi navyozungumza nipo kariakoo sababu mimi ni mdau hapa. Zoezi la uokoaji liandelea watu wanapiga kazi na baadhi wamefikiwa tayari. Media kama hii kubwa inapotoa upotoshaji kama huu inawaacha watu kwenye mshtuko na kukatisha watu tamaa...
  3. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

    Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Maafa ya Kariakoo: Ni Wakati wa Wizara ya Ujenzi kuwajibika

    Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu sote, huku tukiombea kwa dhati afya njema na salama kwa wale waliojeruhiwa na pole za dhati kwa...
  5. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

    Daaa hii post ya mdau imenifikirisha na kuniwadhisha Sana daah mungu aingilie kati aisee maana sio poa kabisa wana Wana struggle sana! Mungu aingilie kati 👇👇👇 Pia soma > Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa awasili lilipoporomoka jengo Kariakoo, uokoaji waendelea

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili Kariakoo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujionea hali ya uokoaji inavyoendelea katika jengo la ghorofa liliporomoka leo Jumamosi Novemba 16, 2024 asubuhi. Soma, Pia: • Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16 • Rais Samia atoa pole kwa...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji wa maduka ya chini kwa ajili ya kuongeza sehemu ya maduka unatajwa kuwa chanzo cha kuporomoka kwa jengo kariakoo

    Kwa mujibu wa mashuhuda, ghorofa hilo lilianguka ghafla saa tatu na dakika tano asubuhi wakati mafundi ujenzi walipokuwa kazini wakitoboa kwa ajili ya kuongeza sehemu ya maduka. "Tulianza kusikia kelele za mtikisiko, kisha kwa ghafla jengo zima likaanguka. Wananchi wameshindwa kujiokoa na...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Albert Chalamila: Gari lililobeba mitambo maalum liko njiani kwa ajili ya Uokoaji Kariakoo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari gari maalum lililobeba greda na mitambo mingine linakaribia kufika Kariakoo kwa ajili ya kusaidia uokoaji wa Watu waliofukiwa na kifusi baada ya ghorofa kuporomoka ambapo amewataka Watanzania kutolaumiana kwa sasa bali kuweka nguvu...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sare za Chadema zaanza kugombewa Kariakoo, Haifahamiki Sababu yake

    Hii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela. Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania "Watekaji" wanatoa wapi pingu?

    Nilikuwa nikifikiri pingu zinapatikana Polisi tu, lakini kumbe hata "watu wengine" wanaweza kuwa nazo! "Watekaji" waliomteka marehemu Ally Kibao na hatimaye "kumpoteza", walikuwa na pingu. Lakini Jeshi la Polisi lilikana kuwatambua, kwa hiyo "hawakuwa" askari Polisi. Waliojaribu kumteka...
  11. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wameiomba serikali iwaondoe raia kigeni (Wachina) wanaofanya umachinga

    Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja. Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na...
  12. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu chimbo la vifaa vya seremala kariakoo

    Wakuu nadhani mtakuwa wazima Afya . Ndugu zanguni nimekuja na ombi langu kwenu,na siku zote jamii forum ni sehemu imejaa waungwana kweli kweli. Ombi langu ni kufahamishwa chimbo la vifaa vinavotumiwa zaidi na mafundi seremala Kama vile tapes,misumari,msasa,gundi ya mbao aina zote,vanishi nk...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kariakoo: Dereva amtolea panga mwenzake wakigombea njia

    Watu wanahasira sana, yani jamaa kaamua kumtolea panga mwezie kisa kaingilia njia isiyokuwa yake! ================ Katika hali isiyokuwa ya kawaida madereva wawili eneo la Kariakoo mtaa wa Sikukuu, jijini Dar es Salaam, wamejikuta katika mzozo mkali wakigombea njia, huku mmoja kati yao akichukua...
  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975

    Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union)...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Wakinga Wana ajenda gani Kariakoo?

    Wakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo Lakini sasa wamegeuka kuwa hatari kwa usalama wa raia idara za usalama zinatakiwa kufatilia Iko hivi sasahivi mkinga akitaka eneo kariakoo atalichukua tu utake...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jengo moja lateketea kwa moto Kariakoo

    Jengo la biashara linalouza magodoro lililopo eneo la Mtaa wa Nyamwezi na Kipata katika Soko la Kimataifa la Kariakoo Jijini Dar es Salaam limeteketea kwa moto Jioni hii. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Soma Pia: Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi
  18. aise

    JamiiForums Tanzania Basi la Mwendokasi limeua mtu Kariakoo, Dereva Bodaboda wamshambulia Dereva wa Mwendokasi

    Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke. Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke...
  19. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kariakoo: 4th Floor 3 Bdrm Apartment For Sale - Dar

    • Direction: Kibambawe Street • Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms • Document: Sub Title • Price: TZS 130 million . ✓ inauzwa bila samani (unfurnished) ✓ Ghorofa ya 4 (hakuna lift) ✓ vyumba master 1 na kawaida 2; jiko lenye makabati; balkoni zenye grill ✓ malumalu; madirisha ya aluminium; feni...
  20. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kariakoo: 200+ Sqm New 3 Bdrm Apartments For Sale - Dar

    • Direction: Ungoni Street • Price: USD 120,000 • Terms: 50% Upfront; the rest within 3 years • VAT & Transfer not inclusive in price • Monthly Service charge: TZS 180,000 . ✓ new built (not used before) ✓ lift & power backup generator ✓ unfurnished ✓ 200+ sqm ✓ 1 master & 2 common bedrooms...
Back
Top Bottom